Saiv wema yuko hewan eatv na kipind chake.
Ila sasa jaman huyu mtoto ni muongo cjawah kumuona,yaaan anadanganya vitu kibao.
Angejua kama tunajua ishu zake nyingi.......
Lol...
Awali nilitoa taarifa kuhusu Diamond kufanya onyesho la music,mjini Guangzhou China..
taarifa kamili ni kuwa..
onyesho litakuwa siku ya ajumaa tarehe 18.
ndani ya Rich club
..the president z goin...
Dah kuna kipindi huyu muigizaji alikuwa juu sana apa bongo,alikuwa hakamitiki kwa ustaa na level ya juu aliyokuwa nayo apo awali,ki ukweli aunt anajua sana kucheza na camera asikwambie mtu,she is...
1. Ndoa yao ina miaka 65.
2. Hawana skendo yoyote.
3. Mtoto wao wa kiume ambae ni Mrithi wa Ufalme kwa mujibu wa katiba ya nchi yao, mpaka sasa ana miaka 65, akimsubiria mama yake afe ndio awe...
nashindwa kuelewa kama walielewa haswaa maana ya hizo id hapo juu! 'the great' na mwingine akapiku na 'the greatest'!
jamani mwenye ufafanuzi kuhusu hawa watu na majina yao ya ziada...
Huyu dada Mtangazaji wa ITV nadhani inabidi apewe pongezi kwa jinsi alivyojitoa muhanga kutangaza habari za CDM wakati wa uchaguzi hadi sasa, amezunguka mikoa yote na viongozi lakini kikubwa ni...
Namkubali sana huyu binti jinsi anavyoripoti matukio mapya na alivyo "committed" kwenye kibarua chake; jinsi anavyoibua habari mitaani. Ni kama Jerry Muro wakati uleeee kabla ya kukwaa kisiki. Big...
Naomba msaada wa kujulishwa maendeleo ya ujauzito wa huyu 'former classmate' wangu. Ni muda tangu nimesikia ana kibendi na tangu hapo sijapata taarifa kama ameshajifungua au bado.
Bonge la track kati ya jcb na prof jay. Ngoma inaitwa drive slow. Prof.jay kazungumzia kifo cha mamake jinsi alivyogongwa na gari naJCB kazungumzia washkaji zake. Iko pouwa sana. Hiphop for life!
Habari za chini ya carpet ni kwamba Lady Jay dee # ANACONDA... Atamleta bwana mdogo Lil wayne, Tarehe moja na tamasha la fiesta.... Tusubirie Clouds watamdaka msanii gani atakayekua ana show South...
Kuna tetesi za chinichini hapa mjini kumhusu Bibie Mh Halima Mdee kwamba yu mjamzito..........
sina kinyongo na Mh na ikiwa ni kweli napenda kumtakia kila la heri, nakumbuka katika mahojiano...
Kwa uku kwetu bongo ukimuuliza mr blue msanii anayemkubali pande za obama atakwambia ni JAYZEE,na angetamani siku moja awe kama yeye au hata kuimba nae tu(japokuwa ni ndoto),wema sepetu atakwambia...
habari wana jf,
Jijini Dsm kuna mengi ndugu zangu, mi nimejitokea zangu mwanza, najisemesha nina kipaji kwenye sanaa ya uigizaji!
Nimeishia kuingizwa mjini na huyu mama wa buguruni (ana kundi...
Mara nyingi huwa najiuliza sababu ya wasanii wa kike kushindwa kufanya vizuri katika muziki wa hapa nyumbani almaarufu kama Bongo Flava. Wasanii wengi wa kike wamekuwa wakiibuka na kupotea, ni...
Kwa wapenzi nn mashabik wa music wa Tanzania mjini Guangzhou China....for the first time.
WCB president,Diamond weekend ijayo atakuwa na maonyesho ya music mjini humo.
Tarehe na detail zingne...
Sijui ni kwangu tu,naona kama wananiboa,mfano kuna movies za mzee majuto kuna jamaa anajiita zumbekuku,kuna movie nyingine ya "garage" anajiita chilisosi.
Wapo wengi sijui ndo sauti zao halisi au...
Diamond akiwa na Wema na binamu yake aitwae Romeo
Kuna sababu zaidi ya 100 kuwa ile inayoitwa movie ya Diamond na Wema Sepetu iliyopewa jina na Diamond, Temptations haipo na kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.