Star wa bongo movie anae tamba ndani na nje ya nchi sasa anakuja na kipindi kipya cha Televisheni kitakachokua kinarushwa ndani ya EATV pekee..
Kwa mujibu wa ukurasa wa facebook wa Eatv, kipindi...
Mrembo huyu (Diva) Presenter,Producer,Marketing by proffessional Clouds Fm anakuja juu ni nani huyu?
Profile yake hajielezi vya kutosha Check
About Loveness Love "Diva"
Diva Am a true...
Sijui kwanini wasanii wa bongo wanapenda kudanganya umri wao., hilo tumeliona kwa wasanii wachache na mmoja wapo "lulu" ambaye amefunza jamii juu ya adhari za kudanganya umri., turudi kwa faiza...
habari zenu wanajamvi...
kwa wale wapenda hip hop sidhani kamakuna mtu hawajui hawa jamaa i.e tamaduni music..hawa jamaa nadhan ndo the best hip hop crew alive hapa bongo na nadhan ndo wenye...
huyu bwana mdogo nakumbuka enzi za miaka ya 2000 katikati alikua anaendesha vipindi vya watoto ITV...naona sasa yupo meneja uhusiano NBC..nimependa ukuaji wake...au ni mwingine?
Huyu jamaa nilianza kumkubali tangu ngoma yake ile ya napata raha. Then nikamsikia kwenye chorus kadhaa za kwenye baadhi ya hit songs, ila hii ngoma yake mpya 'Uzuri wako' ni kali kuanzia audio na...
Huyu jamaa aache kujipambanisha na jide,kwanza hata tuzo ya kushirikishwa ajapata,sasa anapiga makelele ya nini??,kama yeye anajiona bora sana si angepata tuzo ya mwana hip hop bora???,mwana fa...
Wakuu hawa jamaa ni wakali wa muziki hapa kwetu Tanzania. Hawa jamaa pia ni wakali wa kutupia pamba kali zinazowapendeza. Wewe binafsi kura yako utampa nani kati ya Jux Vuitton na Diamond Platnumz...
Salute,
Wimbo huu wa wanafamilia kutoka chama la weusi ni wimbo ambao ni wa ukweli kuanzia kwenye beat mpaka jinsi jamaa walivyo flow kwa kifupi ni ngoma kali sana. Lakini tukiangalia kwa jicho...
Msanii wa miondoko ya hip hop alimaarufu Daz Mwalimu au daz baba...amechanganyikiwa na kuwa kichaaa hii inavyosemekana ni kuwa ni bangi na utumiaji wa madawa ya kulevya.
Inavyosemekana alianza...
Madee na nyumba yake ya kujikweza!!ni kweli gharama yake inaweza kufika milioni 125?
dj-sek.blogspot.com/2013/09/madee-atumia-mil-125-kujenga-nyumba.html?m=1
MWANAMKE anayedaiwa kufunga ndoa ya
siri na mchekeshaji mahiri Bongo, Amri
Athuman maarufu kama Mzee Majuto au
King Majuto, Rahma Abdallah (20), ameibuka
na kudai kutelekezwa na mumewe huyo...
Dogo ameandika tweets ambazo,zimechefuwa watu wengi,KADISS ELIMU na SHERIA za MAREKANI.
source--
http://newztanzania.blogspot.com/2013/09/wamarekani-wachukizwa-na-hizi-tweet-za.html
MWANZONI MWA MIAKA YA 2000 hawa majama hakuna anaebisha walikua on fire mbaya hebu leo tujikumbushe ama tuulizane kati ya ALWAYS ON TIME (JARULE) VS iN DA CLUB (50 CENT) ni wimbo upi ulikukosha...
wadau naomba 2kumbushane kidogo ktk hili.hivi kund la kwanza unit lilikuwa linaundwa na wasanii wangap?majina yao ikibidi.walliohai ni wangap na wanafanya nini hiv sasa?
?
moja ya sifa ya huu mziki ni majibzano katika nyimbo. mmoja akitoa line flani mwngne anaijbu,either kwa kusuport or kuipinga.
.1.'hata kwa biti ya kapuka ntapga michano ya hiphop by mwanafa na...
Wadau hebu tuambiane ukweli,uyu mwanadada Irene Uwoya anapita nyumba kwa nyumba akitoa ushauri ili tupate jamii bora yenye kuendana na karne ya 21,akipewa ubunge viti maalum...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.