Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Me ni msikilizaji mzuri wa Radio Magic Fm, hasa kipindi chao cha Asubuhi.. Nilikua navutiwa sana na Uchambuzi wa Kibwana Dachi.. Ila sasa wanampa nafasi finyu sana, tofauti na mwanzo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Daaaa pamoja na kwamba kiasi flani mnawainua wasanii wa Hapa nyumbani ila hampo sawa kwa msanii Lady j dee! kama haujanielewa sikiliza clouds fm wiki ijayo kwenye wimbo wa BEN POL. Jikubali pale...
0 Reactions
70 Replies
10K Views
Katika sakata linaloendelea sasa kati ya Mwanadada Dayna ,kusema kwamba kaibiwa Mdundo na Diamond, Mwanamuziki mwingine wa Bongo fleva kwa jina Baba levo ameibuka na kusema yafuatayo kwenye...
0 Reactions
42 Replies
10K Views
For the past two years kama sikosei since show ya kijanja inayohusu mastaa mbalimbali apa bongo kuanzishwa,naizungumzia MKASI show. Kilichonisukuma kuandika hii thread ni jinsi mwanadada...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Leo gazeti la FAHAMU limeandika "CHEKA APEWA MKANDA FEKI" • Mkanda alioutwaa hautambuliki popote duniani • Bondia aliyepigana nae hajawahi kutwaa taji lolote duniani • Makanda wa Super midleweight...
5 Reactions
15 Replies
5K Views
Tupo kwenye robo ya tatu ya mwaka 2013. Mwaka huu muziki wa Tanzania umeendelea kuonesha mapinduzi makubwa kuanzia uwepo wa show nyingi, malipo makubwa kwa wasanii, wasanii kuwekeza zaidi kwenye...
2 Reactions
6 Replies
8K Views
Habari kutoka kwa chanzo cha uhakika zinadai kuwa msanii wa zamani wa kundi Daz Nundaz na hitmaker wa ‘Figure Namba 8′ Daz Baba amechanganyikiwa kutokana na hivi karibuni kuonekana akifanya...
0 Reactions
29 Replies
10K Views
Uyu ndio rapper mkali kwa sasa Bongo anaitwa MABESTE........ Ni mkali wa kuchana, ana mastairi ya kufa mtu, ana swaga na kila kitu cha kuitwa best rapa kwa sasa in TZ. Anatokea BHITZ...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
habari wana jamvi ni matumaini yangu wote wazima na mnaendelea vizuri na mapumziko weekend hii,nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa tasnia ya muziki wa hip hop na bongo fleva kwa kipindi kirefu na mengi...
0 Reactions
53 Replies
7K Views
Mwanamuziki saida kalori na mwenzake papa kishaju wamepata ajali mbaya muda mfupi ulipita katika mlima wa kashura wakati wakipita mitaani kunadi onesho lao lililotarajiwa kufanyika leo katika...
0 Reactions
56 Replies
20K Views
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=111012&stc=1&d=1378654158 https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=111013&stc=1&d=1378654207...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Ndio uvaaji gani huu jaman hauna hata mshauri ndugu yangu
1 Reactions
36 Replies
7K Views
Nikiwa napekua pekua my old docs nimekutana na gazeti la Tabasamu. Japo limechoka saaana nimejikuta nalisoma lote na hasa hadithi-picha ya Bodigadi. Please, aliye na namna ya kunisaidia kupata...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Richa ya wimbo mpya wa diamond kupendwa na wengi lakin kuna Stayle inayochezwa ndani ya video mpya ya my number 1..i dancin stayle mpya aliyoibuni Diamond mwenyewe n style ambayo imetokea kupendwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Supastaa wa mchezo wa kifanyana matuzi kwenye tv Feza Kessy anasema kasahau kiswahili kwa kukaa miezi mitatu kwenye danguro la BBA. Upuuzi mtupu ni sawa na baharia mmoja alirudi baada ya kukaa...
2 Reactions
28 Replies
8K Views
Wakuu. Taarifa za uhakika kutoka Jikoni. Wakati Cloudsfm wakiendelea na msimu wa fiesta twen zetu mikoani kigoma, na tabora taarifa za kuaminika ni kwamba Jide Jay Dee amepata udhamini kutoka...
2 Reactions
48 Replies
8K Views
Kwa wale waimbaji au watangazaji wa redio,, kuna kitu nataka kuwashauri(baadhi yenu)... Kabla hujaimba au kutangaza, hakikisha lugha yako iko vizuri. 7bu lengo lenu ni kuelimisha,basi elimisheni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kufuatia kutoka kwa hit ambayo inapewa sapoti na video ya mapesa mengi, My Number One ya Diamond Platinumz, Mambo yameanza kuwa mambo baada ya msanii Dyna Nyange kuibuka na kudai kuwa mdundo wa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Ndugu heaven on desert kupitia wewe natoa pongezi zangu kwa mafankio makubwa ya bwana mdogo Diamond Platnumz rais wa wasafi. Vile vie nampa pongezi zangu kwa kuonesha moyo wa kibinadamu kwa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Updated 7 hrs 7 mins ago By Njambi Mungai Barely a month after electrifying Kenyans on his Kenyan Tour, Diamond set off to Cape Town to shoot a video for his romantic single ‘Number...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom