Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

  • Closed
Mbongo muvi Irene Uwoya ameandika kwenyE instagram na kusema atatoa siri za Shigongo na kipi kinaendlea kati yao. Chanzo: bongo5.
0 Reactions
143 Replies
18K Views
Star wa bongo movie anae tamba ndani na nje ya nchi sasa anakuja na kipindi kipya cha Televisheni kitakachokua kinarushwa ndani ya EATV pekee.. Kwa mujibu wa ukurasa wa facebook wa Eatv, kipindi...
2 Reactions
31 Replies
8K Views
Mrembo huyu (Diva) Presenter,Producer,Marketing by proffessional Clouds Fm anakuja juu ni nani huyu? Profile yake hajielezi vya kutosha Check About Loveness Love "Diva" Diva Am a true...
0 Reactions
80 Replies
43K Views
  • Closed
Sijui kwanini wasanii wa bongo wanapenda kudanganya umri wao., hilo tumeliona kwa wasanii wachache na mmoja wapo "lulu" ambaye amefunza jamii juu ya adhari za kudanganya umri., turudi kwa faiza...
5 Reactions
86 Replies
39K Views
habari zenu wanajamvi... kwa wale wapenda hip hop sidhani kamakuna mtu hawajui hawa jamaa i.e tamaduni music..hawa jamaa nadhan ndo the best hip hop crew alive hapa bongo na nadhan ndo wenye...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
huyu bwana mdogo nakumbuka enzi za miaka ya 2000 katikati alikua anaendesha vipindi vya watoto ITV...naona sasa yupo meneja uhusiano NBC..nimependa ukuaji wake...au ni mwingine?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Huyu jamaa nilianza kumkubali tangu ngoma yake ile ya napata raha. Then nikamsikia kwenye chorus kadhaa za kwenye baadhi ya hit songs, ila hii ngoma yake mpya 'Uzuri wako' ni kali kuanzia audio na...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
  • Closed
Huyu jamaa aache kujipambanisha na jide,kwanza hata tuzo ya kushirikishwa ajapata,sasa anapiga makelele ya nini??,kama yeye anajiona bora sana si angepata tuzo ya mwana hip hop bora???,mwana fa...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Wakuu hawa jamaa ni wakali wa muziki hapa kwetu Tanzania. Hawa jamaa pia ni wakali wa kutupia pamba kali zinazowapendeza. Wewe binafsi kura yako utampa nani kati ya Jux Vuitton na Diamond Platnumz...
0 Reactions
14 Replies
15K Views
Salute, Wimbo huu wa wanafamilia kutoka chama la weusi ni wimbo ambao ni wa ukweli kuanzia kwenye beat mpaka jinsi jamaa walivyo flow kwa kifupi ni ngoma kali sana. Lakini tukiangalia kwa jicho...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Msanii wa miondoko ya hip hop alimaarufu Daz Mwalimu au daz baba...amechanganyikiwa na kuwa kichaaa hii inavyosemekana ni kuwa ni bangi na utumiaji wa madawa ya kulevya. Inavyosemekana alianza...
1 Reactions
18 Replies
9K Views
Na hizi ni takwimu zilizo kwenye youtube account ya Diamond pekee. THANX FANS WA KWELI..WCB FOR LIFE.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Madee na nyumba yake ya kujikweza!!ni kweli gharama yake inaweza kufika milioni 125? dj-sek.blogspot.com/2013/09/madee-atumia-mil-125-kujenga-nyumba.html?m=1
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba mnisaidie ili nijue ipi radio kubwa kuliko nyingine,ili baada ya hapo nifanya maamuzi sahihi
0 Reactions
10 Replies
3K Views
MWANAMKE anayedaiwa kufunga ndoa ya siri na mchekeshaji mahiri Bongo, Amri Athuman maarufu kama Mzee Majuto au King Majuto, Rahma Abdallah (20), ameibuka na kudai kutelekezwa na mumewe huyo...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Dogo ameandika tweets ambazo,zimechefuwa watu wengi,KADISS ELIMU na SHERIA za MAREKANI. source-- http://newztanzania.blogspot.com/2013/09/wamarekani-wachukizwa-na-hizi-tweet-za.html
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MWANZONI MWA MIAKA YA 2000 hawa majama hakuna anaebisha walikua on fire mbaya hebu leo tujikumbushe ama tuulizane kati ya ALWAYS ON TIME (JARULE) VS iN DA CLUB (50 CENT) ni wimbo upi ulikukosha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau naomba 2kumbushane kidogo ktk hili.hivi kund la kwanza unit lilikuwa linaundwa na wasanii wangap?majina yao ikibidi.walliohai ni wangap na wanafanya nini hiv sasa? ?
0 Reactions
21 Replies
11K Views
moja ya sifa ya huu mziki ni majibzano katika nyimbo. mmoja akitoa line flani mwngne anaijbu,either kwa kusuport or kuipinga. .1.'hata kwa biti ya kapuka ntapga michano ya hiphop by mwanafa na...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wadau hebu tuambiane ukweli,uyu mwanadada Irene Uwoya anapita nyumba kwa nyumba akitoa ushauri ili tupate jamii bora yenye kuendana na karne ya 21,akipewa ubunge viti maalum...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…