Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

kwa lugha rahisi kabisa mwanadada agnes masogange alipita na kilo 150 za madawa ambazo ni sawa na mifuko mitatu ya cement kwani mfuko mmoja una kilo 50 sasa sijui alibebaje
0 Reactions
32 Replies
6K Views
LOS ANGELES (Reuters) - R&B singer Chris Brown had his probation revoked on Monday by a judge in Los Angeles after he was charged in a hit-and-run traffic accident last month. Brown, who has been...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Angnes katika poziiii Tuache tofauti zetu.....ila tufanye tuwezalo watanzania tumtoe huyu mtoto lupango sauzi....
2 Reactions
48 Replies
25K Views
Naomba tu kueleweshwa wakuu.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii ilikuwa kabla hajadakwa na mzigo alipost hivi kwenye mtandao Picha aliyoipost Agnes Masogange katika mtandao wa Instagram kabla yeye na mwenzake hawajakamatwa na shehena ya madawa ya...
0 Reactions
52 Replies
11K Views
Kwa mujibu wa DjChoka kupitia ukurasa wake wa instagram ni kuwa mama yake msanii nguli Prof Jay amefariki usiku huu hospitali ya Tumbi baada ya ajali ya gari Mbezi Mwisho. .I.P mama Joseph Haule.
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Inaelekea President Obama kaacha upepo mzuri Tanzania manake taarifa zilizotufikia muda mfupi uliopita baada tu ya bondia Evander kuthibitishwa na yeye kuja Tanzania, mtangazaji staa wa dunia...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Adai kwamba hana sababu ya yeye kutumia pesa nyingi kutendeneza video maana ahitaji kujipaka poda, lipstick, mkorogo na kadhalika Mara nyingi anatumia laki 5 hadi 7 kuandaa video, kwanza soko la...
2 Reactions
28 Replies
8K Views
bandughu nilikua nafuatlia kipindi cha take one jana ambapo ilikua ni mahojiano na Lulu, alipoulizwa kuhusu mafanikio yake akasema amefanikiwa kuwa na kampuni yake my take pamoja na kumpongeza...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Ana kisura kizuri sema kinachomharibu ni mkorogo tu. Wimbo wa majanga pia mzur sana.
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Kwa wale waliomiss mkasi anahojiwa na mboni.....enjoy !
0 Reactions
11 Replies
2K Views
KUPITIA taasisi yake ya kutoa misaada, nahodha wa Ivory Coast na gwiji wa Chelsea Didier Drogba atasaidia ujenzi wa kliniki tano za watoto na wanawake katika nchi yake. Tangazo hilo lilitolewa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Du aisee huyu mtoto yaani kuanzia kuimba,style yaa muziki hadi muonekano hana tofauti na Ray C da........
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Ni kitambo sasa sijamsikia, or rather hatujamsikia. Allivuma sana enzi za Misa Tan na uhariri Gurdian na jukwaa la wahariri, sasa hatumsikii tena. Kipindi anasikika sana alikuwa na vyeo hapa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heading for No1 ... Jay-Z By GORDON SMART, Showbiz Editor Published: 13 hrs ago 7 USUALLY it’s your parents who embarrass you with school photos but JAY-Z has the wife to thank for...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Saada Saada na SintahSaada na Kanumba Jana msichana huyu aitwaye Saada alifikishwa kizimbani katika Mahakama ya Kisutu kwa kosa la kutaka kusafirisha Madawa ya Kulevya kupitia Uwanja wa ndege wa...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Aisee huyu dada yuko poa sana,nilikuwa namuangalia juzi kati kwenye mkasi,dah anajielezea vizur sana yupo muwazi na maisha yake,hana majivuno kabisa,mrembo,kwa kweli nilitamani niendelee tu...
1 Reactions
40 Replies
10K Views
WEMA SEPETU ANASAKWA NA POLISI BAADA YA KUMTUKANA MENEJA WA HOTELI WAKATI POMBE IKIWA UTOSINI DIVA wa filamu za Bongo ambaye pia ni Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu anasakwa na Jeshi la Polisi...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
jamaa bado anaweza ingawa alinkera kukubali kutumika kibwege lkn bado nkubli mziki wake esp song lake la sasa na AY N J MARTINS...CHEZACHEZA BILA...natagemea deo la ukweli sana
1 Reactions
17 Replies
3K Views
  • Closed
WanaJF Haka katoto kanaitwa Lulu Michael nakaona Mwenyewe au na nyie mnakaona?!Manake naangalia vipicha vyake ni kachanga bado ila kanatamanisha kwa mwanaume rijali kakikuahidi ni vigumu...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…