Ney akiwa anahojiwa katika TV moja hapa TZ, amesema hataweza kumsahau dem mmoja wa bongo katika mapenzi yao. Ney amesema dem wake alikua anampenda sana lakini alikua mlevi.
Dem huyo katika ulevi...
Nimekuwa nikiuona wimbo wa mwanadada maarufu nchini Dokii, ambao kamwimbia Obama. Kama jina la wimbo lilivyo, na mashairi yake, anasema "Obama welcome Tanzania.. Obama welcome Africa"...
Napenda kuuliza na kupata maana sahihi na utofauti wa maana hizi hapa mbili
1.Emcee
2.Raper
Na ukweli ni upi HIP HOP ina element tano(5) au nane(8)
NAWASILISHA
Aiseee kingereza za kikwete aisee........enewei hakufaa kuongea kiingereza ambacho hakijui hakukuwa na haja ya kulazimisha kuongea lugha asioiweza.......maana jana kajitahidi kajitahidi saana ila...
Actor Jim Kelly, who played a glib American martial artist in Enter the Dragon with Bruce Lee, has died. He was 67.
Marilyn Dishman, Kelly's ex-wife, said he died on Saturday of cancer at his...
Hii ni nyimbo mpya ya jide,inaitwa YAHAYA,kwa kweli hii ngoma imetulia,mziki wa kijanja wenye hadhi ya kisasa,haijakaa kishari,ukikaa chumbani na kuitafakari hii nyimbo aiseeh inagusa,hongera Man...
ni wazi kua mwisho wa shindano la big brother afrika mshindi atatoka tz kutokana na tabia anazoonesha feza na ukweli kwamba wawakilish wa kiume kua tishio hivyo nando pia ni hatare
Niki/artist wa pili mwanafunzi wa masters UDSM na mkufunzi jokate mwegilo /modal wamekuwa wakionekana pamoja mara nyingi, na jana tu walikuwa pamoja coco beach. Kiukweli hatufahamu kinachoendelea...
'Chocheeni kuni mbichi moto ukolee......
Unawaulizaje watu magongo ya ni nini wakati umesema kuna nyoka?
Mjomba wewe uliwapaka wanja, ngoja wao wakupake pilipili, alafu kwenye kombolela iwe zamu...
Wakuu hii tabia naona sasa inaeendelea hapa bongo kwenye music, maana vijana wanapenda sana mteremko na kutoka kwa kutumia migongo ya watu, sasa huyu jamaa anajiita JAY MASWAGGER, ame copy huu...
Mtu maarufu ungependa sana kukutana nae na neno moja ambalo ungependa kumwambia 1. Zitto kabwe 2. Diamond 3.Ben pol 4.Dr slaa 5.AY 6. FA 7.Wema sepetu 8.JB 9.bell 9 10.shaa 11.Jonh Mnyika...
alikua akihojiwa kuhusu wimbo wake wa Obama, akaulizwa kwanini kwenye ule wimbo hajamtaja kikwete?. akajibu kwa mishauo kwamba alimuomba ruksa kikwete, alimfuata akamwambia nina wimbo...
Mimi sikutegemea kama unaweza kucheza kiduku kiasi kile. jumapili lazima nije kwenye show uloandaa pale maisha club. Leo umenifanya nifurahi sana. big up sana mkuu. mia
Msanii wa muziki wa kizaz kipya ambae anafanya vizur kwa sasa Diamond platnamuz, amesema kwamba yeye kama kwenda nje au kufanya shoo angekua anafanya kila siku.Diamond amesema kwamba lazima afanye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.