Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Through mahojiano ktk Star TV, Diamond kaahidi kumfunika Prezzo ktk Tamasha la Matumaini 2013. All right, it's ur time kid, Go.
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Ule ushoga wa mastaa wa kike bongo,wema sepetu na kajala masanja umefikia pabaya kisa kikidaiwa ni maneno ya wapambe wa wema.hivi karibuni wema alimlalamikia wazi wazi shosti wake huyo kuwa...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
  • Closed
Matumizi mabaya ya vipodozi yameanza kumuathiri wema Sepetu ambaye ni miss Tanzania 2006.. Wema ambaye umri wake bado haujamtupa , hivi sasa anakabiriwa na tatizo la ngozi...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Wimbo mzuri,wimbo mzuri kama huu sidhani kama hata wafu FM wanaweza kuzuia usihit,kitu kizuri lazima ikubalike tu hata kama wenye maslahi watapinga. Huu wimbo Proffesor kaonyesha anajua,level za...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Omary Faraji Nyembo ‏@ommydimpoz 3h Nilipigiwa simu Ya kibiashara kwa ajili ya kufanya show na global publishers kwasababu Hatukuhafikiana...
0 Reactions
50 Replies
8K Views
  • Closed
Habari zilizopo mujini ni kwamba mastaa wawili,lulu na wema sepetu,wanashiriki tendo la ndoa na bwana mmoja anaedaiwa kutumia pesa nyingi ili kuwarubuni,jamaa huyo ambaye ni kigogo wa serikalini...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Alianza ruge miaka ya 2000 bifu mpaka leo,gadner kuna kipindi amamwandikia wanaume kama mabinti usiumee moyo na siri yangu,jamaa akajirudi,credo mwaipopo,mzee kimei baada ya kumtosa alipompa dili...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mabondia hao ni Case Ramadhani Fills, Nathanael Elia Charles, Ally Rajabu Msengwa na Petro Charles Mtagwa. Wakati kesi hiyo ilipoanza kusikilizwa, wote walikiri makosa ya kuingiza mihadarati...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Siku kadhaa sasa zimepita na hakuna update yoyote kuhusu msiba wa msanii Langa Kileo kutoka Clouds (Vimbelembele) wala media yoyote hapa nchini! Je, hakuwa msanii kama wakina marehemu Steven...
0 Reactions
55 Replies
7K Views
Kijana masanja mkandamizaji as known as Pastor to be akijituma uko ubaruku, inasemekana anazalisha 200 bags per year kwenye hii investment tu, sa soon tu huyu si mwingine kabsa, huu ni model kwa...
12 Reactions
119 Replies
59K Views
Dia Mwn FA natumai u mzima,dhumuni la barua hii ni kutaka kujua lin utaweka waz mapato ya show yako "the finest"uliyofanya ijumaa ya tar 14.6.2013 na kuwaeleza waTZ 15% ya show ni kiasi...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Wimbo mpya wa mwanadada machachari Shah pale kwenye chourus panaposema kupenda upendwe wewe halafu anayabinua kwa nyumba masaburi yake mmh!!! Napapenda
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Licha ya umaarufu mkubwa aliyonao,wingi wa filamu alizokwishashiriki pamoja na zile alizotengeneza mwenyewe,achilia mbali uwezo wa wazazi wake wanaoishi mbezi beach dar,lakini super star kiwango...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nilikuwa nasubiria kwa hamu gazeti la leo litachapa nini kuhusu show ya lady jay dee na kaka yetu mwana fa,ni gazeti la IJUMAA WIKIENDA,ila nilichokisoma kwa kweli kimenishangaza,tena imeonyesha...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Binafsi napendezwa na UZALENDO wa ZZK katika TAIFA STARS amekuwa na morale ya aina yake katika Timu yetu!!Nakiri kupendezwa nalo,Amekuwa Mmoja wa WANAHARAKATI wa kutetea HAKIMILIKI za Wasanii...
0 Reactions
2 Replies
932 Views
Kwa kweli hawa jamaa wanaitaji pongezi sana kwa kufikia apa walipo,napenda programs zao,ni wabunifu sana,nilikuwa nasikilizaga apo awali(sio sasa),kuanzia power breakfast,hekaheka,xxl,na kile cha...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
jamani tuiombee nchi yetu isipatwe na majanga kama haya!tudumishe amani yetu.hayo mabomu sis ni mambo tuliyokuwa tunayasikia na kuyaona kwenye sinema sasa ivi tunayashuhudia.WaNACELEBRITY...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakizungumza na mzee wajikoni blog wamedai kipindi walipotimuliwa na majani na kuhamia kwa jaya dee na gadner kupitia kampuni yao ya jag waliwanyonya sana kwani pamoja na album yao ya taswira...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Wadau kumekuwa na habari ambayo hadi sasa inasambazwa kwa kasi kuwa Saida Karoli alifariki jana katika ajali ya boti, lakini habari za kuaminika kutoka kwa jamaa zake pamoja na wasimamizi wa kazi...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom