Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

mimi nilikua napenda sana kuisikili hii clouds fm na TV yao ili nimekuja KUGUNDUA hawa jamaa niwatu waajabu sana na wamekua wakiyapambisha mabifu bila hata sababu mf; LADY JAYDEE anabifu na...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
oh maii toto lina guu aisee....sio mnatuwekea michilizi ya wema sepetu hapa.....aisee angalieni toto hilo....very energetic,classic mtoto msaaafi aisee kansa ya koo hapo inakusamehe....mambo ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Yaani wanandoa hawa walikuwa wanapendezana sana sijui ni mdudu gani aliingilia ndoa yao?je hakuna la kufanya kuwarudisha?na kwa anayejua ninini chanzo cha kuvunjika?jf ni jeshi kubwa tutapata...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
  • Closed
Msanii Ommy dimpoz apigwa mawe na chupa kwenye show ya kili tour dodoma kwa kumdhihaki msanii aliyeipaisha dodoma,marehemu Albert Mangwea. Ommy dimpoz afukuzwa na Mashabiki Stejini. KTMA Tour...
0 Reactions
81 Replies
12K Views
  • Closed
nimeangalia video za nyimbo nyingi sana za mwanamuziki Judith Wambura aka Lady Jay dee lakini sijawahi kuona huyu dada akionyesha manjonjo ya kukatika huku akienda na mapigo!! pia nimebahatika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Baada ya kupopolewa mawe na chupa kwenye show Dodoma,hiki ndicho alichosema
0 Reactions
19 Replies
2K Views
du kuna watu kwa ushabiki,wote ni wakali bhana
0 Reactions
4 Replies
1K Views
rip nate doggy....maaaang this is maafaka hot......
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Yaani kweli usupastaa kazi,wewa sepetu kwenye a/c yake ya instagram kapost picha inayoonyesha giza tu,picha nzima alafu chini kaandika do u miss me!?,nilipochoka zaidi eti watu wamelike 300+ sasa...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Aliyekuwa waziri mkuu wa italia silvio berlusconi amehukumis kifungo cha miaka 7 jela kwa kosa la kufanya mapenzi na binti wa miaka kumi na saba(17)
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Full mapenzi! Feza na oneal,Nando na Selly,Hakeem na cleo ..... na kila mmoja wao alisema ana mtu uko alipotoka je wamejisahau au ni mazingira ya kukaa ndani yanawafanya hivyo.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
na hiki ndicho alicho kiandika Ommy Dimpoz Samahani tena sana na sitawacha kuomba msamaha,nimekubali makosa na hivi sasa naelekea nyumbani kwao kuomba msamaha kwa familia na nitue kwa vituo vya...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Msanii wa bongo fleva Feruzi aliyetamba miaka-ya nyuma kuna na mwana jamii anayejua habari zake?
0 Reactions
17 Replies
13K Views
Jeremy Stoppelman Company: Yelp Age: 34 Hometown: Arlington, VA Fun fact: Stoppelman has a dog named Darwin. David Karp Flickr/edans Company: Tumblr Age: 26 Hometown: New York City Fun fact: He...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Mandojo Na Domokaya acheni uchoko, kama hamkutoka na ulbum yenu ya 2004. Basi tena coz sioni umuhimu wa FA kua meneja wenu wakati ni mtu mlianza nae muziki back in days. What went wrong with...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Na Herieth Makwetta Mwanamuziki Hamis Mwinyijuma, maarufu Mwana FA amepata wakati mgumu kwa kulazimishwa na mashabiki kutaja jina la Lady Jay Dee baada ya kuliruka jina hilo alipokuwa akiimba...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mda kidogo umepita sijasikia taarifa yeyote kuhusu ile kesi hewa aliyofunguliwa lady jaydee,naiita kesi hewa kwa kuwa mshtakiwa mwenye bado hajasomewa shtaka lake mpaka leo kama sikosei,ila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Afande Sele The'King Ukisoma historia yangu kupitia WIKIPEDIA kamusi elezo huru, kuna sehemu wameandika kuwa nilishawahi kushinda tuzo za kili wakati si kweli zaidi katika historia yangu yote ya...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Katika makala hiyo Saleh ameliangalia vuguvugu la Joto Hasira linaloendeshwa sasa na Lady Jaydee dhidi ya kituo kimoja cha radio nchini na kuliita ni la kinafiki. Hivi ndivyo alivyoandika na chini...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
  • Closed
Hili jina sio geni kwa wale waliozaliwa miaka ya themanini huko,ni mkasa wa ukweli na wa kutisha,kufundisha,kuelimisha na kusisimua,mkasa huu ulikuwa unamuhusu mwanamama aliyekuwa anaitwa ASHA...
1 Reactions
13 Replies
6K Views
Back
Top Bottom