Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

PICHA YA KWANZA MBABES WA KIBONGO ALIYEKUFA ITALY KWA KUPASUKIWA NA UNGA ALIOUBEBA TUMBONI!! dada yenu huyu ame dead kisa??? drugs Ilikuwa ni kutoka UK kwenda Italy na mauti...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Closed
napenda kuzibitisha saida karoli ni mzima wa afya. nimeongea kwa simu na watu wa kwao.kwanza yuko dar si visiwa vya goziba uko kagera. nimeona kwenye blog ya mjengwa kuwa saida kafariki tena kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu kweli nimeamini Nazi haiwezi shindana na jiwe. Lady umekimbiza mbaya kwenye show yako pamejaa hadi watu walikuwa wanazuiliwa kuingia. 1.Juma Nature as usually kukimbiza 2.Sugu ndo usiseme...
3 Reactions
79 Replies
10K Views
  • Closed
Huu wimbo ukiusikiliza haumgusi Ruge wala Kusaga wala Mwana Fa kuna mtu mwingine ambaye unamgisa yule mtu wa tatu ambaue jay d kasema alimsamehe Kwa intelijensia yangu kila nikichekecha hivi...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
AY Tanzanian Finest Interview at BBC World News 2013 06 14 18 52 40 - YouTube
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna taarifa zimezagaa hapa mjini ifakara kuwa mwanamziki Diamond ameachwa solemba kwenye hotel aliyofikia ya Mbega Motel iliyopo hapo kibaoni. Taarifa zinatonya walikuwa na makubaliano na ccm...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wasanii classic,next level na wenye majina makubwa apa bongo,wema sepetu na jackline wolper wamemwagwa kwenye kinyang'anyiro cha muigizaji bora wa kike,waliokuwa wanawania tuzo za mwigizaji bora...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
  • Closed
Haitaji kutambulishwa,kila mtu anamjua,ila kidogo tu alikuwa miss tanzania,baada ya apo akaanza kuigiza movie ambazo hata hivyo hajawahi kufanya vizuri kihivyo zaidi ya kibebwa na umbo lake na...
0 Reactions
54 Replies
10K Views
Siku ya Ijumaa Usiku ilikuwa ni siku ambayo MwanaFA alikuwa akifanya show yake ya 'The FINEST'. Huenda ikawa ni moja ya siku chungu zaidi kwa mwanamuziki huyu maishani mwake kila atakapoikumbuka...
1 Reactions
60 Replies
6K Views
Wadau, nimefuatilia threads mbalimbali humu jamvini tangu show mbili zilizo andaliwa na moja ya wakongwe wa muziki wa kizazi kipya hapa Bongo kupita. Ukweli ni kwamba, nashangazwa sana jinsi...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
eti the finest SHOW ILIHITAJI WATU 400 TU!! Acha uwongo kaka! SHOW YA MWANAFATUMA ILIKOSA WATU!! Ayo maneno yako kwenye blog yako yanadhihirisha jinsi ulivyo mtumwa wa fikra!! Tunajua ni RUGAY...
1 Reactions
57 Replies
14K Views
PICHA ZA MAZISHI YA MSANII LANGA KILEO - MPEKUZI HURU
0 Reactions
6 Replies
10K Views
Jana ulikuwa ni usiku wa jide,kwani alikuwa anasherekea miaka kumi na tatu ndani ya game apa bongo,vile vile alikuwa anazindua albamu yake ya nothing but the truth,show ki ukweli ilikuwa kubwa...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Hii ni hadhira iliyohudhuria onyesho la mwanamziki lady jay dee usiku wa kuamkia leo.. Haya ni matukio ya mwanzomwanzo kabla shughuli yenyewe haijaanza..Nyumbani Lounge
13 Reactions
123 Replies
13K Views
Hakuna kitu kibaya kama nguvu ya umma. Kuna vitu mnavyofanya kwa wasanii vinatukera sana sisi wasikilizaji wa radio yenu kama kuendeleza ugomvi na wasanii. Binafsi naacha rasmi kusikiliza radio...
10 Reactions
38 Replies
3K Views
Nimeshangaa sana eti kusikia show ya mwana fa haikufanya vizuri kutokana na kuwa eti kuna watu walitangaza kuwa ticket zimeisha ndo maana wengi hawakwenda,aliyetangaza kuwa ticket zimeisha ni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jana mwana fa na show yake haikufanya vizuri kama ilivyokuwa kwa jide,jide kafunika aiseeh,parking haikutosha watu mpaka nje wamesimama ilimradi tu wampe support anaconda,kwa kweli imeleta sana...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Miongoni mwa wanamuziki ninaowakubali ni Bushoke mwana wa Maxmillan(?)..sauti na idea zake mara nyingi huleta burudani kwa msikilizaji..Moja katika nyimbo zake nzuri ni "Msela jela",wimbo...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Steps wanatoa tuzo kwa wasanii wa movie walio kwenye kampuni yao
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom