Presha ya show kubwa za magwiji wa muziki hapa nchini MWANA FA "The Finest" na lady jay dee" miaka 13 ya jide" imezidi kupanda baada ya show hizo kutawaliwa na wanasiasa, Zitto alisema yeye...
Naongelea mazoezi ya viungo.
Nilivyokuona kwa mara ya kwanza kupitia shindano la BSS, na baadae Tusker ya tatu na Tusker all Stars (ulikua umeanza kunenepa) na jinsi nilivyokuona juzi kupitia...
Mpekuzi blog waendesha kipimajoto kati ya Mwana Fa na Jay Dee show ipi utaudhuria.
Lady jay dee kashinda kwa asilimia 80+ huku mpinzan wake akiburuza mkia
Kwa mtazamo wangu rahisi naona mgogoro huu ukimnyayua zaidi Jide kutoka utukufu hadi utukufu huku ukimuacha Ruge akijengea maadui.wengi zaidi, na wafuasi wake wakionekana ni wasaliti na...
Hii inaweza kuwa aibu nyingine kwa upande wa wasanii wa bongo fleva,na ndio maana mnadharauliwa na watoto wa kike na kuitwa majina ya ajabu kama hayo ya mwanafatuma,nimekaa nikawaza nikapata jibu...
Huu wimbo wa mpoto CHOCHEA KUNI mashairi yake yana ujumbe gani? "...chochea kuni .... muwaite mamluki...wakija wasubiri" "..mtu anatapika nyongo yake anarudia tena kuila mnamwangalia?"...
Huyu ni mtangazaji REDIO TUMAINI ya Dar, anaboa sana kwani anatangaza kwa kuvuuuuta sana maneno, Utasikia errr msikiiiii lizaji kaaaaaribu errrr katika kiiii pindi chaaaaa errr leo.
BAADA wadau na mashabiki mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya kushambulia msanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania Mwana F.A katika mitandao ya Tweeter na Facebook kuhusu bifu lake na...
Mimi ni shabiki mkubwa wa muziki wa Bongo Flava haijalishi Hip Hop ama kuimba.
Wote kwangu ni wasanii na siwabagui.
Ni ukweli usio fichika kuwa kwa sasa huko tz nchini mwangu msanii Diamond...
Alikuwa akiongea juu ya vita kati ya Ruge na Lady Jay Dee na kushangaa kwanini serikali haifanyi kitu juu ya JF, ambayo inaruhusu watu kutuma posts zinazomchafua boss wake na kituo chake.
show imeanza, kikundi bora cha taarabu ni JAHAZI
mtunzi bora wa taarabu ni THABHIT ABDUL
mtayarishaji bora wa mwaka taarabu ni
HENRICO,
msanii bora wa kike ni
ISHA MASHAUZI
msanii bora wa...
ALLY CHOKI NA ASHA BARAKA WATOA KAULI NZITO KUHUSU MISIBA YAO.
Ally Choki
MKURUGENZI wa Extra Bongo Ally Choki ametoa kauli nzito kuhusu waajiri wake wa zamani, Asha Baraka...
Maafisa Ushuru na Forodha Nchini Spain katika mji a Catalunya wamesema Mshindi wa tuzo ya Baloon d' Or mara nne mfululizo Lionel Messi anashukiwa pamoja na baba yake kwa kukwepa kodi na...
Naomba nianze kwa kusema, binadamu tumeletwa duniani si kwa ajiri ya kuleta matatizo, bali tupo kwa ajiri ya kutatua matatizo. Kuyakimbia matatizo hakujawahi kuwa suluhisho la matatizo hata siku...
Shikamoo brother mwana fa??,naamini u mzima wa afya,wewe ni mwanamziki mkongwe tena msomi,hongera sana,kwani umeonyesha nia ya kutaka kujikomboa kimaisha,wewe ni kati ya wasanii classic apa...
Hawa wadada walikuwa mabest sana,yaani wema sepetu snura mushi(mama majanga),ila baadae walikuja kuzinguana had kufikia hatua ya kutoleana maneno machafu kwenye vyombo vya habar,sasa leo nimesikia...
1.Ikumbuke kuwa Jide aliwahi kufanya kazi ya Utangazaji ktk kituo cha Clous Fm Miaka ya nyuma sana....
2.Awali Jide alikuwa ni Manager wa Luge..Baada ya Jide kuamua kijitoa na kusimam yeye kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.