Mwanamuzik chipukizi Ommy Dimpozi,ameonyesha kuwa na kiwango cha juu sana cha dharau kwa kumdhihaki na kumtusi mtu aliyetangulia mbele ya haki."SITAKI NIKIFA YATOKEE KAMA YA NGWAIR,AMEKUFA AFRIKA...
namshauri mdogo wangu Sugu akuwe sasa aachane na mambo ya starehe na uuni wa kishamba afanye kazi ya jimbo....watu wa mbeya wenyewe wanamfananisha na jiwe kwa kusema"tunachagua jiwe kuliko mtu...
Nimekuwa nikijiuliza sababu iliyomtoa msanii na mwanahabari mwenye kipaji cha aina yake pale radio ya watu bila kupata majibu yake. Je kuna mdau anayejua au yeye mwenyewe anawezakua humu ndani atujuze
Ama kweli hii nchi haipendi maendeleo,mzee Tido alikuja kufanya mapinduzi Tbc,but wakampindua yeye hii sirikali sijui ikoje....ONA SASA LEO TUNA KOSA MECHI ZA MABALA CUP.....
Tiketi za ile show kabambe ya 'The FINEST' ya mwanaFA bado zinapatikana kwa wingi maeneo mbalimbali ya jiji la Dar na zitaendelea kupatikana hadi mlangoni mwa ukumbi wa mahali ambapo show...
Nimefurahia show ya JIDE hapa Nyumbani Lounge, hakika ni mapinduzi makubwa JIDE akiwa na mama yake mzazi ameonyesha njia kwa wasanii wa kike kufanya kazi zao kwa bidii na kuwa na heshima. JIDE...
Ni jambo la kustaajabu na kusikitisha kwa wasanii JIDE NA MWANA FA ambapo wakati wenzao wakiomboleza na kulala kwenye msiba wa LANGA wao wanapiga show za nguvu.
uko wapi utu waliouonesha kwenye...
Aisee yale taliyotabiriwa yametimia,mwana dada lady jaydee alijaza watu wengj sana hadi ukumbi ukawa mdogo mpaka mashabiki.wake wakakasirika,magari mpaka barabarani parking zilikuwa za kuvizia...
Leo ktk ukurasa wake wa Facebook Mpoki ameandika "Kufauru ufauru wewe,Msuli upige wewe,halafu JKT wakupangie wao.Majanga"...hii kauli inakuja pengine ni kutokana na tangazo la JKT kuwataka vijana...
Ratiba ya mazishi ya marehemu
LANGA KILEO itakuwa kama
ifuatavyo . Msiba upo nyumbani
kwa wazazi wa LANGA ambapo ni
maeneo ya MIKOCHENI nyuma ya
hospitali ya AAR .
Mwili wa marehemu utaagwa siku...
Ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapenzi wa burudani ya muziki wa LADY JAYDEE imewadia yaani itakuwa shangwe,vifijo na mayowe kusherekea na kumpongeza mwanadada huyu kwa kutimiza miaka...
Huyu jamaa amechangia sana kuuwa muziki wa kizazi kipya na wanamuziki kuwa masiki akisaidiana na mke wake ambaye bado hawajafanikiwa kupata mtoto.
Walianzisha kampuni iliyoitwa JAG ambayo...
msanii wamuziki wa kizazi kipya hamis mwinjuma aka mwana fa amesema kuwa mapato ya show yake ya ter14 june 15% itaenda kwa familia ya marehemu ngwear
Je,huko sio kutumia jina la ngwear ili kupata...
Nimekua nikijiuliza kwa muda mrefu tangu niusikie wimbo wa YAHAYA wa mwanadada Lady Jay Dee nikaona kama ndo mwendelezo wa lile bifu lake na clouds FM husuani walengwa wakiwa Kusaga na Ruge...
Habari wanajamvi,
Sina uhakika, inawezekana uzi kama huu umewahi kuletwa jamvini, lakini nimependa nijuzwe kuhusu huyu Mtangazaji.
Namkumbuka kipindi hicho akiwa na Masud Kipanya wakiwa...
Ameandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook;
"its official : catch me live on stage ijumaa hii kwenye show ya miaka 13 ya lady jay dee kwenye game...be there or be no where...ni noma!!!"
Nasikiliza Radio DIAMOND,anaongea kuhusu kushindwa kuwekwa katika Categories zingine amabazo yeye alidhani anastahili kuwekwa,Mfano VIDEO BORA YA MWAKA. so anadhani kama hakuwekwa huko bora...
Wema isaac sepetu ambaye alikuwa pia ni former miss tanzania in 2006 alishawishiwa kuingia bongo movie na the late kanumba na kubahatika kufanya baadhi ya movie ambazo zimemtambulisha vyema kwenye...
Ile show ya Jide ambayo itatawaliwa na anaconda style sasa kimeeleweka baada ya prof J na Juma Nature kuthibitisha kwamba watamuunga mkono na kupiga nyimbo zao zote ambazo mashabiki wataomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.