Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Staa classic wa bongo movie irene pancras uwoya, ameandika kwenye mtandao wa instagram kuwa msanii anayefanya vizuri bongo fleva,nassib abdul au diamond ndiye msanii atakayemrithi mkali wa pop...
0 Reactions
34 Replies
8K Views
Msanii Prezzo amefananishwa na king muswati kwa tabia yake ya kuwa na mausiono na madem wengi mfano inasemakana alikua na mausiano na gold , diva, na yule mshiriki wa BBA toka kenya jina...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
anafaa kuwa mwandishi wa hadith,mistari yake mingi ni ya kiujanjaujanja mno.ila kwa kua mziki wa bongo umehama kwenye thems na contents ...funs wanashabikia mno kava la nje, bongo music is not a...
1 Reactions
45 Replies
18K Views
sio siri wenzetu wa west hasa Nigerian music kwa sasa ipo juu sana kwa ma-bang y akutisha.......... naomba msaada huu wimbo huwa nausikia sana mara nyingi clubs etc ila sijabahatika kuujua kapiga...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wale ndugu zangu kutoka musoma na majirani zao bila shaka na watanzania kwa Ujumla mliopata au kuwai kuusikia, huwezi kuutofautisha wimbo wa Lady jay Dee na ule aliokopi. Joto hasira ni kopi...
0 Reactions
68 Replies
11K Views
Shamsa Ford
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Ni kitambo kidogo tokea mwanamama huyu alipohama fani ya bongo fleva kwenda muziki wa injili na sasa kurudi tena bongo fleva,kitu ambacho sikumwelewa ni pale kwenye kipindi cha leo tena-clouds...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
Wana JF tufunguke, je unaona msanii gani anakipaji cha kawaida sana lakini msaada wa promo kwenye Media Ndo Unamfanya Awe Juuu. Binafsi naona KALAPINA media ndo zinambeba
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Vilio na simanzi vilitanda Jumatano iliyopita Mwananyamala Kisiwani, jijini Dar kufuatia mtoto wa mwaka mmoja, Rahim Rajab kufariki dunia kwa kuangukiwa na watu watatu, akiwemo baba yake...
0 Reactions
29 Replies
10K Views
wadau mwenye kujua link ya moja kwa moja kuangalia hizi awards online,anisaidie
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wasanii wakubwa wakongwe wameendele kuonyesha hawazeeki vipaji vyao. na wale wanasema JD kakopy sikilizen na hii na mwaka huu anaconda ataendelea kuwameza wale wenye roho za kwanini, pakua hiyo...
0 Reactions
7 Replies
69K Views
Wiki iliyopita wapenzi Nando wa Tanzania na Selly wa Ghana waliucheza ule mchezo wa kikubwa katika Big Brother ‘The Chase’inayoendelea, na inasemekana baada ya Ghana na Afrika kwa ujumla...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
ikiwa ni siku kama nne ivi tangia wimbo unaoitwa PERSONALLY utoke na ambao ni wimbo utakao kua hit dunia nzima kwani wimbo huo umeimbwa kwa maadhi ya kiafrika kabisa hata midundo ni ya ki afrika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wa2 wa Dodoma wamshushia kipigo cha mawe na makopo msanii Omy Dimpozi ktk show ya Kili Music Award Tour ya mwaka huu baada ya kusadikika kuwa Omy Dimpozi baada ya kifo cha Ngwea kumponda wana Dom...
0 Reactions
51 Replies
8K Views
Hivi huyu jamaa sijui siku izi yuko wapi,kuna nyimbo moja ivi aliimbaga inaimbwa hiv. Wanawake wazuri wazuri Wameolewa Wamebaki manunga maembe wanahangaika
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kwa mara ya kwanza muigizaji wa filamu, Elizabeth Michael aka Lulu jana alifanya interview ya kwanza tangu atoke gerezani January mwaka huu. Lulu aliye na muonekano wa ‘udada' zaidi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
  • Closed
Kwa wale mashabiki wa Lulu mnaweza kuangalia clouds tv mahojiano ya Lulu.Anazungumzia maisha yake ya sasa baada ya kimya kirefu kidogo. Ila anaongea kiswa-english inakera sana, maana kiingereza...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Lile la taarifa ya habari "Nimeshinda nimeshinda" yule dem anaweza kuwa kabila gani? Maon si matusi
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Young tuso aliimba nyimbo inayoitwa JACQUELINE WOLPER.Watu weng wakajiuliza maswali meng juu ya ile nyimbo. Watangazaji walipomuuliza kwanini kaimba vile ile nyimbo ya wolper, akasema anahisia za...
0 Reactions
24 Replies
12K Views
Jamani nani kasikia wimbo wa dokii wa Obama? Nimeusikiliza wimbo huo nimeona aibu.
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…