Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Katoka mbali jamani.....,ngoja tu afaidi kazi za mikono yake.......
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Nachukua nafasi hii adimu kuwapa pongezi kwa mengi mnayofanya,hasa kwa hili la kufanikisha msiba wa ndugu yetu mpendwa A.Mangwair,Ni wazi mlijitoa na kujinyima ili jamii ipate kujua na kufuatilia...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Katika kipindi cha Sun Downer cha Magic FM, mtangazaji huyo amesema kwamba shangwe zilizolipuka mara baada ya Jaydee kutajwa kuwa miongoni mwa wanaowania tuzo ya msanii bora wa kike katika tuzo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwanamziki Nguli Mwana Fa aka BINAMU, ametangaza kutoa asilimia 15 ya mapato yake kwa familia ya marehemu Ngwea. kwavile mwanamziki JIDE anapenda kuiga kila anachofanya Mwana FA, aige na hili...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Kuna huyu sijui ndio msanii au nani anaeitwa Aunt Ezekiel kwa muda wa wiki nzima sasa ameleta tafrani kwenye familia yangu. Kilichopo ni kwamba kupitia gazeti la udaku linaloitwa IJUMAA la terehe...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nani anastahili tuzo ya chipukizi wa hiphop?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ile ya kampuni inayojiusisha na usambazaji wa movie apa bongo,STEPS ENTERTAINMENT imeandaa tuzo kwa ajili ya wasanii,ma director,script writer,best actress/actor,tuzo hizo zitahusisha filamu zote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika mazingira ya kutatanisha msanii wa muziki wa kizazi kipya kwa jina maarufu matonya aliwekwa ndani ktk kituo cha polis mjini songea kwa kosa la kutofanya onyesho kamaalivyoingia mktaba na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wema sepetu ametemgeneza kichwa habari akidai hajawahi kumsaliti aliyekuwa mpenzi wake,nasibu abdul(DIAMOND) enzi zile walipokuwa wamezema kwenye dimbwi la mahaba."maisha yangu yote tangu nimeanza...
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Kupitia kipindi cha hotmix EATV watanzania tunaombwa kumsaidia huyu mzee. Tena anasema Jk ni rafiki yake walikuwa wote UVccm(siyo hii ya sasa) kwahiyo anaomba naye amtembelee
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Muda sasa umepita toka utoke ule unaoitwa Waraka Wa Jay Dee dhidi ya Clouds. Nilisikia pia ufafanuzi wa Ruge dhidi ya tuhuma zilizoelekezwa, na hivi majuzi nimebahatika kusikia ama kusoma kile...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Closed
Enzi hizo ukiwa na studio ulikuwa kama mfamle . wasanii wanakuja kurekodi kwa hela zao tena kwa apointment yako lakini ulikuwa na uwezo wa kuwafukuza kama mbwa tena na matusi juu kama sio...
3 Reactions
110 Replies
13K Views
Kwa takribani miaka yote,huyu dada anashikilia tuzo ya mwanamuziki bora wa kike,yaani ni noma,wadada jipangeni sana kwa jide,hyu mwanamke hatar,msipoangalia miaka yote mtashikilia tuzo za...
1 Reactions
55 Replies
6K Views
Nimekutana na habari huko facebuk kwamba msanii wa maigizo ajulikanaye kwa jina la kashi amefariki dunia,rest in peac
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwanza nipende kumpongeza dogo kwa kukwaa tuzo za kilio lakini pia niwaombe mwenye mapenzi mwema naye wamshauri chochote kupitia ukurasa huu .itansaidia kwa njia moja au nyingine
0 Reactions
17 Replies
2K Views
  • Closed
Hongera Mengi nimeipenda hii toka kwa la azizi wako https://twitter.com/klyinn
0 Reactions
10 Replies
22K Views
“Asiyekuwepo machoni, na Moyoni hayupo – Someone who is not in sight, is not in the heart” ‘ndugu zetu wanaanza kusaulika taritibu katika tasnia ya sanaa Tanzania – hasa wa kizazi kipya, inabidi...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
MAZISHI YA MANGWEA MAMBO 5 YA KUSHANGAZA Posted by GLOBAL on June 8, 2013 at 12:30pm View Blog Stori:Mwandishi wetu HUKU Albert Kenneth Mangwea ‘Ngwea' akiwa kaburini siku ya pili leo...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Hizo awards za Kilimanjaro mbona kila siku zinakuwa na malalamiko mengi kuliko shukran, je kunaweza kukawa na uteuzi wa washindi kabla ya tuzo maana hata kwenye list za washindani haziendani kabisa..
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa kuwataja na kuwaanika hadharani nafikiri itasaidia,kwani wengi wanafanya siri na kuja kuharibikiwa mbeleni 1.LORD EYEZ 2.DAZ BABA 3.CHID BENZ 4.Q CHIEF 5.TEMBA 6.NATURE 7.BANZA 8.DIOF...
0 Reactions
100 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…