Lady JayDee (@JideJaydee) tweeted at 4:16 PM on Sun, Jun 09, 2013:
Wanadai sina fans, nategemea fans wa MwanaFAtuma, jana walikuwa wapi kumshangilia? #Kujipa moyo kwapunguza stress...
Waungwana wapenzi wa Muziki, hapa nilikuwa katika kujiburudisha kwenye Youtube, kwekweli show nzima ni ya kufa mtu, ila sehemunilyouchoka ni pale ambapo waliweza kutumia technology na kuweka image...
Huyu mdada Betty wa ethiopia na Msieraleone (Bolt) naona wao wameenda kungonoka tu. Video za VIP ukizicheki ni wao wakila mambo flani.....kweli day 3 tayari tundi linaliwa? toka mchezo uanze...
ni yule mkali wa hiphop ya ukweli BONTA A.K.A maarifa,mkali huyu utumia lugha yenye kufikilisha kwenye tungo zake,hakika hana mpinzani kwa sasa..ametoa ngoma mpya inaitwa MATUSI..
Kwa hli bro omba...
Ni ukweli usiofichika kuwa ushindi wa kala jeremiah kunyakua tuzo tatu mfululizo ni faraja sana kwa madam ritha ambaye ndo aliyemuibua rapper huyo anayefanya vyema na ngoma yake ya dear god,ki...
Jamani ebu tumpe sifa zake huyu kijana he deserve!
Kwanza anajituma,anaheshima,hana makundi,ni mkarimu,
Anapigania life yake step by step ili atoke kwa njia salama
Ni handsome,akismile na wewe ni...
Mume wa Malkia wa Mipasho Khadija Kopa ambaye pia ni diwani wa Kata ya Mogomeni Bagamoyo kupitia CCM Jaffar Ali Yusuf amefaiki dunia mapema asubuhi ya leo katika Hospitali ya Lugalo.
Kwa mujibu...
Leo watanzania watapata kutambua nani ananyakua tuzo gani ya kilimanjaro music award 2013 katika ukumbi wa mlimani city,baadhi ya vipengele vinavyowaniwa ni MSANII BORA WA KIKE ambacho kinawaniwa...
HUDDAH APOKELEWA NA PREZZO >> Jana jioni mrembo Huddah
Manroe aliwasili nchini
Kenya mida ya jioni
akitokea nchini Afrika
Kusini na kama ulikuwa
hufahamu alipokewa katika uwanja wa ndege
na...
Mshiriki wa big brother the chase week hii imekuwa mbaya kwake kwani ameingia kwenye danger zone,watanzania na wana afica mashariki inabidi tumpigie kura mwenzetu ili aweze kubakia mjengoni
Wasanii wa movie apa bongo hususani wa kike wengi, wameonyesha juhudi za kutaka kumiliki kampuni zao binafsi za kutengeneza filamu.hili wazo ni zuri sana kwani inaonyesha jinsi walivyo improve...
Kati ya movie ambazo wabongo wamecheza ki umakini zaidi ni hii ya men in love ambayo inahusu mapenzi ya jinsia moja,nimependa characters na director jinsi alivyojitahidi kuchezesha character...
Mama khadija nakuhurumia kwa jinsi mlivokua mmeshibana na mumeo, na jinsi ulivokua ukimrusha hewani kila wimbo. Mume anauma, sisi wenye waume tunajua. Uchungu wa mume hakuna mfanowe, pole mama!
Jina lake halisi anaitwa issa mussa,anafahamika zaidi kwa jina la cloud.huyu ni muigizaji wa long time kidogo,aliwahi kushiriki michezo ya kuigiza apo awali kabla ya kuamua kujikita kwenye...
Tulihamasishwa sana kuchangia mpaka ile namba ya tigo ikawa inagoma kupokea masalio kwa kujaa.
Marehem kishazikwa, sasa tunaomba mchanganuo wenye ushahidi wa mapato na matumizi.
Ni hayo tu.
Taarifa hizo nimezinyaka kupitia clouds FM.
Inasemekana kwamba jamaa anasumbua sana maana anataka kuongea na mshikaji wake lakini hampati,na kutokana na hali yake ya sasa wameshindwa kumwambia...