Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

hivi ni kwa nini wasanii wa Bongo wa kizazi kipya hawataki kuwa na umoja, hasa kwenye tukio la msiba wa mpendwa wetu. Albert Mangwea? hebu mjifunze ushirikiano toka Bongo Movie.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ngoja afe Shilole JK atatoa mili 300
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Kwa mtazamo wangu tu,mi nadhani hao wanaohusika na mchakato mzima wa kuchagua nani aende BBA ingekuwa vizuri kama wangetushirikisha na sisi watanzani ambao kwa asilimia nyingi ndo tunahusika kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Miraji Kikwete (kushoto) akikabidhi fulana kwa kwa ajili ya shughuli za msiba wa Mangweha. Katikati ni TID na P-Funk (kulia). Miraji akiwa katika pozi na fulana sawa na ya marehemu Mangweha hapo...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Wanajamvi, Kuna tetesi za chini kwa chini nazisikia kuwa Ruge na Kusaga wamemwekea Lady Jay Dee pingamizi kutoendelea kutoa Waraka/Nyaraka zinazowahusu wao Clouds Media Mahakamani kwasababu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi kufanya show ya kikosi tarehe 31 hata bendi na wasanii kibao wanashow zao usiku huo. Na zaidi mimi siwezi kuacha pesa wakati mziki ndio kazi yangu na silishwi na Jide wala Sugu maisha yangu...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Msiba wa jamaa umeonekana kama kuna kitu fulani kimejificha,nilisikiliza times leo hasubuhi nikasikia wanatangaza namba za simu ilia yeyote mwenye chochote aweze changia,pia nimesikia wanakamati...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
P. Funk ametoa kiasi cha Tsh.5m kusafirisha mwili wa Mangwea toka South mpaka Dar ilikuwa inatakiwa Tsh.4m na ushee.
3 Reactions
56 Replies
6K Views
Ccm inawatumia wasanii wa bongo kama toilet paper. Ccm wameshindwa kutoa msaada wowote pamoja na kwamba ngwair aliwasifia kwa tungo mahili wao na ccm yao. download na sikiliza huo wimbo HAPA kabla...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jana nilikuwa Natweet na ndugu yangu Chahali,Kuhusu Ubalozi wa Tanzania RSA,na kuniambia Urasimu wa ubalozi huo sikuamini! Na Ubalozi unasema haumjui Msanii NGWAIR(jana)!! LEO, Unashindwa hata...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari wapendwa wa jf. Kwa walio wengi wetu tumeguswa na msiba wa msanii Albert Mangwea almaarufu kama mangwea. Katika kipindi hiki cha msiba usishangae kuona na hata kusikianyimbo ambazo zile...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
naomba mwenye link yenye huo wimbo anisaidie nina shida nao sana......
0 Reactions
26 Replies
12K Views
Kamati hiyo imeundwa na inajumuisha Prof.J,TID,Lady Jaydee,P Funk,Inspector Haroun,Adam Juma,Mwana FA,J moo na wengineo. Ila sijawasikia wale wa kule upande wa pili wakitajwa kwenye kamati hiyo...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Wadau nataka kujua hali ya huyu msanii maana ni siku nyingi amekuwa anaumwa na nilisikia Serikali ilimpeleka India kutibiwa.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
  • Closed
Mh,nasikiliza clouds apa millard yupo south hospital alipolazwa m to the p,nasikia ndugu zake wanapiga ung'eng'e millard na yes na no kila wakat mweh kumbe lugha imegoma.jamaa ni mmoja kati ya...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Report iliyo jaa kwenye blog mbalimbali za bongo hata jamii forums imegundulika kwamba ni fake yaani wamecopy na kupaste kutoka kwenye report ya doctor aliyo itoa baada ya msanii amy winehouse...
1 Reactions
30 Replies
7K Views
Msanii maarufu wa bongoflaviour Langa Kileo "Langa" ameyafananisha madawa haramu ya kulevya kuwa ni kama mwalimu mkuu kwani hukufundsha kila k2 ktk maisha.Langa ameyasema hayo ktk kipindi cha...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
nimemsikiliza millady mbona ni mangwea wanamzungumzia tu na wanadai mwili kuja ni vigumu kidogo kwa sababu huko south hakuna ndugu na kusafirisha maiti si chini ya milioni nne za kibongo
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Na Saleh Ally MGOGORO wa kimuziki kati yamsanii Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ na kituo kimoja cha redio umezidikuchukua kasi huku makundi mawili, kila moja likitengeneza ngome yake nakuamini...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
wakuu,,,kwa waliobahatika kuusikia huo wimbo its realy an excellent song,,
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom