UONGOZI WA JUU....WA THT kwa sasa wameandaa mkakati mzito wa kuwafukuza...wanamuzi hawa baada ya
kukubabali kushiliki show ya miaka 13..ya lady jay dee...na kuonekana kwenye video ambayo...
Miaka ya tisini ..ilikuwa ukisikia miss tz yaan ni bonge la event..lakn tangu kipindi cha kina richa adhia kama sio kadhia things zime fall apart....kw mfano binafsi cmjui miss tz wa mwaka...
jamani kwa wale..vijana enzi zilee za utoto kila jumapili tulikuwa tunapenda disco la club germ session lilokuwa likifanyika
club billcanas pale mlangoni mnakumbuka nini
1.mi nakumbuka kiingilio...
Baada ya kuwekwa benchi since 2007 kama tajiri namba moja duniani,Founder wa Microsoft corporation
Bill Gates amerudi tena kwenye namba yake,namba iliyokuwa ikishikiliwa na billionea wa...
Akihojiwa na Gabriel Zakaria wa Televishen ya TBC1leo asubuhi19/5/2013 katika kipindi cha JAMBO. msanii wa filamu, Kemi, (Julieth Samson) alisimulia
jinsi alivyotegewa kunywa pombe ili akilewa...
MWANAMUZIKI Mahiri wa Bongo Fleva, Judith Wambura 'Lady Jaydee' leo alifika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
kufuatia kufunguliwa kesi ya madai katika mahakama hiyo.
Katika...
Ndugu wana jf,naomba kumpongeza sana Prof Jay kwa kujiunga na CHADEMA kwani ameonyesha njia kwa vijana wengi na pia naomba kutumia fursa hii kumkaribisha hapa kwenye jukwaa la maoni huru na aje...
MASUALA YA JAMIIAngelina Jolie aondoa matiti yote mawili
Mcheza sinema maarufu wa Kimarekani, Angelina Jolie, ametangaza kwamba amefanyiwa operesheni ya kuondosha matiti yake yote mawili ili...
Picha ya 1: Washiriki wa shindano la Miss Mwanza 2013, wakisikiliza
kwa makini maelekezo dhidi yao kutoka kwa Mkurugenzi wa kampuni ya
SISI Intartainment inayoandaa shindano hilo, John Dotto...
TeddyKalonga
Monday, June 30, 2008
TK
Pichani : Ni mimi (samahanini kama nimewatia kinyaa)
Najua wengi wenu mmenihukumu vibaya sana kutokana na mambo yaliotokea last week. Kwa kweli hamkufanya...
"NILIJIUNGA CHADEMA ILI NISAIDIE HARAKATI ZA UKOMBOZI WA TANZANIA NA SINA MPANGO WA KUGOMBE UBUNGE" ... PROFESA JAY
Mchawi wa rhymes, Profesa Jay amesema hakujiunga na CHADEMA ili mwaka 2015...
Nimepewa habari ambayo inashtua kuwa jamaa ana wake sita ingawa wengine wapo nje ya nchi. Kwa maisha ya kawaida hapa Tz na magonjwa haya huogopi?.kwa sisi wapenzi wa soka bado tunahitaji mchango...
hizi ni habari kutoka kwa watu wake wa karibu anaoishi nao sinza na habari kua ana mpango wakubadili staili yake ya nywele ili awe kama mzungu hivyo ameanza kuzibadiklisha taratibu kwa kuweka...
ni show ya kina Kala pina, Kalla Jeremaya, Mansul na wengine kibao siku ile ile ya show ya Lady Jay dee na zote zinapigwa promo ya nguvu na Cloulds fm, au ndo yale yale ya mwenye nguvu mpishe
na...
"Nadhani baada ya hii, maswali yatapungua kama sio kuisha kabisa...Nafahamu kila mtu anasoma kwa wakati wake pengine hamkuona sababu nilizoelezea kwanini sijatoa waraka mwingine Tar 15 kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.