KUBWA KULIKO ZOTE WEEKEND HII
Wacha weeeeeee hii ndio habari ya Dar mitandaoni kwa sasa
baada ya la hapo juu mambo yakawa mambo haya sasa jionee Drama in Dar City
Hizo...
ABY SYKES
ABBY SYKES
DULLY SYKES
Baba mzazi wa mwanamuziki nyota wa bongo flava nchini Dully Sykes Mzee Sykes hivi karibuni alinaswa na kamera ya Xdeejayz akichambua bangi mikononi...
Huyu mbondei wa muheza mwenye ndoto za kugombea ubunge hapo muheza 2015 kupitia ccm naona anazidi kuchuja hii nyimbo yake ya kama zamani alianza kuipa promo toka mwaka jana mwishon mara...
SABABU ZA MATONYA KUTOSHIRIKI SHOW YA MIAKA 13 YA LADY JAYDEE
Tetesi zinaweza kuwa za ukweli au pengine zikawa ni story za kujitungiaLakini tetesi zinasema kuwa Matonya alipigiwa simu na...
Hii ni kwa utafiti wangu mdogo kwa nguli huyu wa Hip hop lakini pia akiwa mtunzi na mtayarishaji maarufu wa Muziki bila kusahau ni DJ vile vile.
Binafsi sikujua huyu mwadada ameshiriki kuandika...
Kupitia season mpya ya Clouds Fm, ndani ya 'So so fresh' na DJ Fetty, Mh Halima Mdee (Mbunge wa kwa - CHADEMA) amefunguka juu ya swali aliloulizwa kuhusu story zilizosambaa kuwa anashiriki...
Nimeangalia hii yutybu aisee nimesikitika sana wasanii wa bongo hawana pa kutokea kabisa.....wakiambiwa wagonoe wanagonoa.....
MAZUNGUMZO YA MAKUBALIANO YA LINAH NA BARNABA KAMA IFUATAVYO
<span...
Waziri Nchimbi ametakiwa kuwakutanisha lady jay dee na Ruge ili wamalize tofauti zao. Hayo yamesemwa na esther bulaya alipokua akichangia. amesema wote wanajenga nyumba moja kwanini wagombanie...
watu wanataka Jide aachiwe wateja "bure bure",mi nahitaji apambane vilivyo kwani ndo biashara inavyotaka iwe...Wanamuziki wooote wafanye maonyesho yao siku hiyo it doesn't matter to me ila kwa...
kutokana na sakata na claus kumekuwepo na uzushi baadhi ya blogs kuwa channel five hawatarusha pia kipindi cha
lady jay dee..na kutopigwa nyimbo zake...katika kituo hiki....
leo mkurugenzi wa...
Leo kwenye XXL ya clouds nimemsikia mwana FA akitangaza shoo yake itakayofanyika trh 31 maeneo ya makumbusho kwa kumbukumbu zangu siku hiyo nayo Ladyjdee atafanya shoo yake nyumbani lounge ya...
Ni nchini Congo on ziara yake ya music..akiwa kwenye msafara uliokuwa ukilindwa na maaskari na wanajeshi wa nchi hiyo ili tu diamond asipate madhara yoyote toka kwa umati mkubwa wa watu...
ANTiVIRUS DAWA YA Virus WA Hiphop in Tanzania
WARAKA NAMBA 1(ZIPO 88) KILA WIKI UTAPATA WARAKA MMOJA
Ni wazi na dhahiri kabisa kesi iliofunguliwa mahakamani dhidi ya Lady JayDee haina maana...
msanii aliyejishindia tuzo kibao ,alitamba na muv kibao kama vile salt,ameondolewa matiti yake yote mawili kumuepusha na cancer,julie mwenye watoto sita pia ameondolewa kizazi chake huku mumewe...
Wahusika hapo juu yaani gary(maraclara) na andrew(second chance) wote wameigiza role moja kwenye tamthilia hizo tofauti kila mmoja amejaribu kuvaa uhusika vilivyo huku visa vya vyao wote...
JULIUS NYAISANGA kwa wanaomjua ni mmojakati ya watangazaji magwiji sana hapa nchini, alifanikiwa kutangaza redio na Tv stations mbalimbali hapa nchini Tanzania. nimekutana nae hivi karibuni...
Hakuna ubishi kuwa kwa wanamichezo wanaochipukia na kuwa mahiri katika michezo wanayoshiriki, wengi wao ndoto zao ni kumiliki vyombo vya usafiri vya gharama kubwa vyenye uwezo wa kuwa na kasi ya...
Duh kweli ukistaajabu ya matonya na mwana fa utayaona ya tid.nilikuwa nasikiliza nyimbo ya jide iliyowahi kutamba na kwa sasa itatamba upya baada ya yale maneno aliyoyaimba kuzaa matunda,wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.