RAFIKI WA MANGWEA M to The P NAYE AFARIKI DUNIA
-Pigo tena kwa muziki wa Bongo Fleva baada ya ripoti kusema, M To The P aliyekuwa na Mangwea jijini Johannesburg naye amefariki dunia.
Taarifa...
BAADA ya kutumia dawa za kuondoa sumu ya madawa ya kulevya mwilini mwake, aliyekuwa Mnenguaji wa Bendi ya Extra Bongo, Aisha Mbegu Madinda amegeuka kuwa muhamasishaji kwa mateja ambao bado...
Tune sasa hivi umsikie Lady Jaydee akitoa msimamo wake juu ya msiba wa mwanamziki mwenzake Mangwair.
Hii inakuja baada ya Mwana FA kuahirisha shoo yake ya the Finest iliyokuwa ifanyike ijumaa...
DIAMOND amefunguka kuwa yuko mbioni kushiriki move ambayo anatakiwa kucheza na Girlfrend wake wa zamani WEMA.
anasema alipata tabu kidogo kukubaliana na wazo hilo ila baadae alikubali baada ya...
Acha ubishoo wa kujitangaza kwa bibi wa Dubai.
Huwezi kujiita designer na fundi wa kushona wakati huna duka wala online shop
nakushauri utulize ball na uwaone walio serious kama alika peter...
An injected mixture of cocaine and
heroin, known as speedball is a
particularly dangerous
combination, as the converse
effects of the drugs actually
complement each other, but may
also...
Nafasi nachukua,shairi kukuandikia,
Albert Mangwea, uliyetangulia,
Asili ya Songea,mzaliwa wa Mbeya,
Mangwea tangulia!
Nilianza kukusikiliza,ili kukuelewa,
Mengi ukanifunza,hadi kunogewa,
Kwa...
Siku itapofika Watanzania watakapoanza kununua filam za kibongo kwa sababu ya Producer flani ka-produce hiyo movie au Director flani ka-Direct hiyo Movie ndo Film zetu zitaweza kuchukua hata tuzo...
Hv ngwair na daz baba nani mkongwe kwenye game na album ya kwanza ya ngwair imetoka mwaka gani na album ya daz baba imetoka mwaka gani na nyimbo zao za kwanza zimetoka mwaka gani ??kama geto langu...
Jay dee atafanya show yake tarehe 31 ndani ya kaukumbi kadogo ka nyumbani lounge,mimi nasema hivi kama kweli yeye ni anaconda kwa nini asingeenda diamond jubilee ama pta ama mlimani city? Ili...
Wana jamii forum naombeni msaada,nahitaj kununua kin'gamuz sasa sijajua kipi ni kizur zaidi(exluding dstv),yaan kati ya zuku,easy tv,easy tv,star times,digitek,continental nk,niliuza easy tv...
kwa lipi hasa mpaka iwe na title THE FINEST.....
Nani amelipitisha hilo.....mmeshadadia kuipa class iyo show while mhusika mwenyewe ni wale wale na tunamjua HANA JIPYA........
50k..are you out...
Jamani kuuliza si dhambi...hivi ndoa ya kajala ndo imeshavunjika.??? Maana sielewi helewi...maana anatoka na kakijana kanaitwa petit menwakuacha(nick name)...kanafuga dread hivi....mwenye kujuwa...
Nikiwa kama mdau mkubwa wa sekta ya habari, kwa kipindi kirefu nimekosa ladha ya kipekee ya mtangazaji mahiri na ripota mahiri TanzaniaBen Kiko. Kwa anayejua alipo anifahamishe tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.