Ukikutana na Diamond mtaani akiwa na mchuma mpya wenye rangi nyeusi, usishtuke sana, jua ni courtesy of Cocacola.
Inavyoonekana ni kuwa Cocaboy kama anavyojiita siku hizi, amenunuliwa gari jipya...
Sijawahi msikia mwadada huyu kuudhuria kwenye misiba ya ma celebrity wenzie,kuanzia ule wa sharo milionea,kanumba ambaye alikuwa anapenda sana kutembelea nyumban lounge pia sikumsikia wala kumuona...
GrandPa Records Ya Kenya Imevunja Mkataba Wake Wa kazi na Msanii Mr Nice kutoka Tanzania Baada ya miezi michache ya kufanya nae kazi. Fahamu Mr Nice alipewa mkataba na GrandPa Records huku...
Mwili wa albert mangwair umeairishwa tena kufika leo jumapili kama ilivyotangazwa apo awali,sababu za kufanya bado hazijajulikana,tarehe sahihi ya kuja kwa mwili huo itatangazwa soon....mhh apa...
Wafuatao ni baadhi ya wasanii wakike wacheza film bongo wanaofanya vizuri zaidi wawapo kwenye camera
1.monalisa(pay back)
2.riyama ally(fungu la kukosa)
3.wastara(hekima)
4.aunt ezekiel(young...
Leo nilikuwa nasoma nyimbo mpya ya mwanadada aliyerudi kwa kasi kwenye bongo fleva judith wambura ukipenda mwite jide au binti commando au ANACONDA.mashairi ya huu wimbo mpya ambao utatolewa soon...
Nilikua maeneo flani hivi;nikakuta jamaa wamekusanyka wakitazama video moja ya mtu akipasuliwa tumboni akitolewa dawa za kulevya eti ikisemekana ni ngwair;jamani nani mwingine kaiona video...
Hili ndilo jeneza ambalo mwili wa marehemu albert mangwair umeifadhiwa,bado mwenzetu aja rest in peace mpaka apo watakapoamua kumuifadhi kwenye nyumba yake ya milele,bwana ametoa na bwana...
Mara baada ya kutangaza kustaafu kucheza soka,david beckam ambaye kwa mara ya mwisho alichezea klabu ya paris saint-german ya ufaransa,yupo marekani na habari ni kuwa kuna uwezekano wa kujitosa...
Ni judith wambura mbibo au LADY JAYDEE,huyu mwanadada ana a.k.a zaidi ya tatu alianza na BINTI.MACHOZI,akalia weeee hatimaye akawa COMMANDO,kwenye ucomando akafaulu hadi kufikia kuitwa ANACONDA...
Wakati shoo ya mwana fa na lady jaydee ikiwa imearishwa ili kupisha msiba wa msanii mwenzao albert mangwair,habari mpya ni kwamba tarehe mpya ya shoo hizo imegongana tena kama ilivyokuwa...
Muigizaji mwenye mvuto wa kipekee lulu michael au hotlulu michael ameonyesha kubadilika kitabia miezi michache toka atoke jela.siku hiz lulu humkuti kwenye club ovyo au sehem zozote za stareh kama...
ni lini watanzania asilia kama kina Mpoki, jide, mpoto, na wengineo wataiwakilisha nchi yetu huko kwenye jumba la big brother??
Hii ni mara ya 4 mfululizo mwanaume shombeshombe (mixed...
Katika maisha kamwe usije mdharau au kumtesa mtu ambaye anakupenda,kukuthamin na kukujali kwa dhati,ogopa sana.mara nyingi inatokea unakuta mtu anakupenda kwa dhati na unalijua hilo,anafanya mambo...
MAREHEMU ANAPOGEUZWA MTAJI. . . . . . . HILI NI TANGAZO KATKA KIPEPERUSHI. . . . . '' Hakikisha unanunua tisheti orijino, tisheti za kampuni yetu zina ufito unang'ara pale chini ya neno R.I.P na...
Nilifurahi sana kwamba zamu yangu ya kwanza ilihusiana na mambo ya muziki, kwani nilikuwa mpenzi mkubwa wa muziki, muziki wa aina mbalimbali na kwa hakika sehemu yangu ya kwanza ya maisha ya...
Wasanii wa Tanzania hususa hawa wa bongo fleva mmekosa hata kuanzisha mfuko wenu wa kusaidia mpaka mnafikia hatua ya kuomba rambi rambi kwenye media si vibaya kufanya hivyo inabidi mjifunze sasa...
Leo hii nimekaa chini na kisha kuiandika barua hii kwenu, nataka mkae chini na kuisoma pamoja, mkimaliza kuisoma najua mtajua kipi kinachotakiwa kufanyika kwenu. Kama mpo kwenye ugomvi, hebu...