Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Simulizi: Kaburi la Mwanamuziki Mtunzi: Robert Heriel WhatsApp 0693322300 Sehemu ya 1 “Kazi yangu bila shaka kila mmoja wenu atakuwa ameifanya vizuri, nilifurahishwa na Richard, yeye aliimaliza...
8 Reactions
132 Replies
27K Views
Black emanuelle
0 Reactions
1 Replies
263 Views
Son of Tanganyika How do you feel When I call you a coward How do you feel When I call you a traitor How do you feel When I call you a betrayer You have betrayed the land The sons of our...
0 Reactions
1 Replies
641 Views
UGANDA CENTRAL ( +256) Hili lilikuwa jina la kipindi cha ngoma za Uganda pale East Africa Radio miaka hiyo (sijajua kama bado kipo maana sisikilizi tena redio). Umewahi kusikiliza muziki wa...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Ni huyu msanii wa injili ametokea kunikosha sana na nyimbo zake ila hii NIMEACHILIA ni ya moto sana...inagusa hisia sana za vijana tunayopitia... Nyimbo ina liwaza, elimisha na inaponya.binafsi...
1 Reactions
3 Replies
681 Views
Bayser, umeelewa kauli ya mkeo kama nilivyo ielewa mimi ? Mke wa Blue amenukuliwa akisema; "Mimi namsapoti mume wangu kwasababu tumejenga nyumba nane kupitia muziki, kwahiyo mimi nasapoti sana...
3 Reactions
11 Replies
4K Views
Hapo zamani, kulikuwa na hadithi maarufu katika ulimwengu wa kufikirika wa bala la Westeros, ulimwengu wa series ya "Game of Thrones" iliyo zungumzia Usiku mrefu(the long night) na uwepo wa White...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
MALKIA WA KUZIMU..... 01 MTUNZI: LOVI PIUS KIJOGOO WHATSAP: 0757 238 304. 0622 738 310. TANGA. SEHEMU YA KWANZA Baada ya miaka mingi kupita, bado alizidi kuikumbuka historia Mbaya na Chungu...
6 Reactions
104 Replies
27K Views
Habari zenu wakuu. Kuna swali nilikuwa najiuliza mara kwa mara hasa nikiona CD za Kikorea zinauzwa kama nyanya mtaani. Nikawa najiuliza hivi wakorea wanapata vipi faida kwenye series zao? Maana...
8 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna Hawa madogo wa country wizzy wanajiita fresh boys Wapeni sikio mtoe marks Wanakuja kuja
3 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu habari ninahitaji katuni ya kirikuu (swahili version) kwa ajili ya watoto hawajawahi kuiona na wameniomba niwaletee. Tafadhali kama kuna mwenye kunisaidia niipate nitashukuru.
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna mtu aliwahi kuniambia Jina lake ni EDWARD SHEKIONDO lakini akalifanyia usanii akajiita EDDY SHEGGY. Namzungumzia kaka wa Christian Sheggy, mwanamuziki wa zamani wa Orchestra Super Rainbow, na...
3 Reactions
84 Replies
26K Views
SURA YA KWANZA 28/3/1989 Ulikuwa ni msafara wa watu watano, wawili kati yao, pamoja na mimi mwenyewe, tukiwa ni waandishi wa habari waajiriwa wa kampuni ya Film Tanzania ambayo ilikuwa ni...
1 Reactions
25 Replies
9K Views
Wakuu habarini za muda huu kama wewe ni mfuatiliaji wa Korean dramas naamini kutakuwa na maneno mawili matatu ya kikorea utakuwa umedokoa Nimeainisha hapa maneno 15 ambayo yanatumika sana kwenye...
14 Reactions
43 Replies
7K Views
Nipo nasikiliza nyimbo ya dini tumeletewa ya huyu msanii, hii nyimbo unaweza kufundishia mavyuoni kabisa na wanafunzi wakakuelewa nini ambacho mwalimu umekusudia kulenga. Kuna ile inaitwa heshima...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
I am not a qualified physician And I dont want to give this injection I am not a qualified physician And I dont want to give this injection Dorothy is begging for trouble She insist I should give...
2 Reactions
0 Replies
443 Views
Wakati naaangalia filamu ambayo ipo Katika mfumo wa series inaitwa From the Scratch Kuna baadhi ya vitu nilianza kuvipata ambavyo kwa namna moja au nyingine nikaona kati ya watu wanaweza kutumia...
3 Reactions
11 Replies
646 Views
Kiukweli inanishangaza sana huyu chama mechi kubwa anakuwa kama panya aliye toswa kwenye bakuli la maji kalowa,hajiwezi kabaki kutapa tapa,shida ni nini uzee au pensheni zimemzidia?
0 Reactions
6 Replies
493 Views
" Asante kwa kujiunga nami leo. Leo, nataka kushiriki nawe hadithi - hadithi ya azimio, uimara, na kutafuta furaha. Ni hadithi inayogusa kila mmoja wetu kwa sababu, ndani kabisa, sote tuna ndoto...
2 Reactions
2 Replies
727 Views
Mwanzo “Huyu tumuue kwani bosi amemleta huku lengo lake afe tu”. “Hapana nafikiri kumuua sio jambo jema, kiubinadamu pia huyu ni mwanaume mwenzetu” “Kibarua kitaota nyasi shauri yako,sasa...
8 Reactions
50 Replies
5K Views
Back
Top Bottom