Wakati umaarufu wa muziki wa Afrobeats ukiendelea kukua duniani kote, Mtandao wa Spotify umezindua jukwaa jipya ambalo litakuwa na habari zote za Wasanii na Maendeleo katika aina hiyo ya Muziki...
Ni nchi gani hapa ulimwenguni inaongoza kwa utoaji wa seasons/series kali kuliko nchi nyingine?
Je, nchi hiyo ni _______. ?
1. MAREKANI
2. INDIA
3. CHINA
4. UTURUKI
5. KOREA
6. UFILIPINO
7. TAIWAN
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu ametoa wito kwa vijana pamoja na watu wenye hamasa kujifunza kazi ya filamu nchini wajitokeze kupata mafunzo ya filamu...
1.Wanamuziki waliokuwa wakipiga muziki kwenye meli ya titanic, waliendelea kupiga muziki kwa saa moja Toka meli ilipoanza kuzama.
2.Gharama za kutengeneza Movie ya Titanic Ni Kubwa kuliko...
Salaam
Huu uzi ni kwaajili ya animation (cartoon) kali ambazo uwezo angalia. Pia kujulishana ambazo zitatoka.
Animation yangu ya kwanza ilikua ni Big Hero 6, hii ilinifanya niwe mpenzi na...
1. Money Heist Season 1 - 4
2. Ozark Season 1- 3
3. Sex Education Season 1 – 2
4. Power Season 1- 6
5. The Mentalist Season 1 - 7
6. Altered Carbon Season 1 - 2
7. A Million Little Things Season 1...
Giving all the love I feel for you
Couldn't make you change your point of view
You are leaving
Now I'm sittig' here, I'm wasting my time
I just don't know what I should do
It's a tragedy for me to...
Peace be upon you all sons of Zion.
Baba alipomuoa huyu mwanamke na kua mama yetu wa kambo tangu mwanzo nilijua hana nia njema na sisi, kwa kumuangalia tu macho yake niliona kuna jambo haliko...
Ipp Media na Clouds Media uzeni kampuni zenu kwa wawekezaji vijana wafumue na kuunda upya vituo vyenye muonekano wa kushawishi vijana kutazama channel zenu kwasababu mpo kizee sana channel zenu...
Habarini ya jumapili.
Mimi ni mpenzi sana wa muziki wa taarab asilia. Kwa tafsiri nyepesi, taarab asilia ni muziki wa taarab ulioanza toka miaka ya 1940 hadi hadi miaka ya 1990 mwishoni au 2000...
Unajua nlikuwa naskiliza huu wimbo kwa machale sana, nikijisemea mhhh sasa anataka kusema nini? Manake huyu naye Kwa kuropoka tu hajambo. Ina maana atamtaja aliyemuua Nyerere ambaye watu wengi...
Wakuu salama,
Katika pitapita ya nyuzi mbalimbali kuna uzi fulani siukumbuki ila kuna mdau alikoment audio yenye hili shairi, hili shairi nimelisikiliza mara nyigi sana na lina ujumbe mzuri sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.