Wakuu hii ndo list ya movie za zilizoandaliwa na director mkali James Cameron
[emoji419]avatar:the way of water
[emoji419]true lies
[emoji419]titanic
[emoji419]avatar
[emoji419]entourage...
SEHEMU YA 01:
Siku hiyo mvua ilinyesha sana halafu shuleni kulikuwa na mitihani na mama alinitaka nirudi nyumbani kufanya kazi fulani, kwa hiyo nikaamua kumfuata mwalimu mkuu ambaye alikuwa...
After barely surviving his previous mission, Tyler Rake retires from mercenary work to a cabin in Austria, where he is approached by a stranger and asked to rescue his ex-wife Mia's sister Ketevan...
Katika kujaribujaribu kuangalia Movie ili kupata burudani, elimu au kupitisha wakati nimekuwa nikiziangalia movie tofautitofauti lakini nilikuja kukutana na hii The Walking Dead
Nimeipenda na...
Nilianza kumuona kwenye saga maarufu za fast & furious. Bt sikumtilia mkazo sana maana nilikuwa kama namuona mzembe mzembe fulani hivi.
Siku ya jana ndio nikadaka movie moja inaitwa "Army of...
RIWAYA: KIROBA CHEUSI
MTUNZI: LAURA PETTIE
SEHEMU YA KWANZA
1
PALISHAKUCHA.
Pakuche mara ngapi?
Ni vile tu huyu Morena alilala chakari. Asubuhi hii ya saa nne, kwake ilikuwa ingali liamba. Alilala...
Hii ndo list Kali inayotamba kwasasa kwenye playlist yangu ya bongo flavor(kizazi cha Sasa tu), list ipo ndani ya hiyo miaka haitatoka nje!.
tulieni tuwafundishe mziki kwa wale msiojua mziki...
Kila nikiangalia hii video nafurahi, yule dada aliweza kuinogesha, haimaanishi kuna cha ajabu amekifanya ila mimi naona kuna cha utofauti na mavideo queen wengi tunao waona.
.
Naomba kuuliza ni...
yangasc
THANK YOU @miltonnienov
Tunamshukuru Kocha wa magolikipa Milton kwa mchango wake katika kipindi chote alichofanya kazi kwenye benchi la ufundi la Klabu yetu na tunamtakia kila la kheri...
DEAR SON#
Nilipanga uje mapema iLa mipango ya Mungu na..
Ni kweli nilitafuta kwa jasho na ulikuja kwa uchungu na..
Muda ni asset ila haidumu na inakuja kimafungu..
kama kuna kosa kubwa nilifanya...
DEAR SON#
Nilipanga uje mapema iLa mipango ya Mungu na..
Ni kweli nilitafuta kwa jasho na ulikuja kwa uchungu na..
Muda ni asset ila haidumu na inakuja kimafungu..
kama kuna kosa kubwa nilifanya...
Je, kuna ukweli wowote kuhusu ndoto zinazojirudia?
Wakuu uzi huu ninaouleta kwenu unahusu mengi kuhusiana na ndoto ikiwemo ndoto za kujirudia pamoja na ndoto zengine tusizozielewa zina maana gani...
MAPICHA YANGU...
THE RAP MONSTER, LYATUU
Ee bwana weee! Huyu niliye naye pichani alikuwa bonge la mtu kwenye rap na mwonekano wake.
Picha linaanza, jamaa ni mtu wa chuga, rudi nyuma mpaka kwa...
Simulizi Ya Maisha na Upelelezi; ISHINI BADALA YANGU WANANGU
Mwandishi; GILBERT EVARIST MUSHI
PHONE: 0765824715
Sehemu ya Kwanza
Sauti ya maji ndiyo iliyokuwa ikisikika ndani ya masikio yake...
Heat! Of course, it's the first thing my sensitive skin felt. The temperatures which could worsen hell's description and make the whole mankind to instantaneously cease sinning. Secondly, stale...
Idea ya wimbo huu ni unique mtunzi ni kama ana maswali kwa mwenyezi mungu hususani yanayohusu kifo kwa nini watu wema wanakufa then wabaya wanabaki sasa katika wimbo wake akapendekeza watu...
UTANGULIZI
Ni hadithi inayohusu kijiji kilichopo mkoa wa simiyu wilaya ya bariad ambacho kiko umbali wa takribani kilometa 12 za mlaba kutoka simiyu mjini, kama hili jina litakuwa geni kwako na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.