SITALISAHAU KABURI LAKO MADALITSO
Mwandishi:Saadala Muaza
---
Ilikuwa ni saa kumi na mbili takribani na dakika arobaini na saba za jioni.Sauti yako ikapenyeza hadi kwenye ngoma za sikio langu...
Jamani mwenye kulifahamu hili kundi la Muziki wa Kuiga lililokuwa na Maskani yake mjini Mbeya lilikuwa likiimbo nyimba za english hasa R&B Kwa lugha ya kiswahili huku wakiweka ujanja ujanja hadi...
Hii ni story tu kama story zingine, ila unaweza isoma. Tunapata uzoefu wa maisha kupitia watu na story zao.
Yote ya hapa ni story tu. Ila si mbaya ukasoma. Ina sehemu tatu, sehemu ya pili ndio...
Kila nikiangalia game kwa angle zote, na kwa wataalam wote, matokeo yanasomeka USMA 1-3 YANGA.
Kila mkulungwa niliyemuuliza anajibu Yanga tayari ameshachukua Kombe hilo.
Nami nawatangaza RASMI...
Kundi hilo linaloundwa na Watoto wenye vipaji vya kucheza na kuimba kutoka #Uganda limefanikiwa kuingia Fainali za mashindano ya vipaji ya #BritainsGotTalent ambayo kilele chake ni Juni 4, 2023...
Wakuu! Nimerudi mapema kuliko nilivyotarajia.
Hii ni kutokana na sababu kadhaa
Mosi, nilifanikiwa kupata device nyingine japo sio yenye vile viwango nilivyotaka lakini inaweza!
Pili , watu wengi...
Mwanamke mmoja asubuhi akiwa na mtoto wake wa miaka 4 baada ya kutoka ukweni kumsalimia mama mkwe alikokaa kwa siku 2, ikabidi afanye kurequest uber mtandaoni ili impeleke kumrudisha nyumbani...
Habari
Kuna filamu moja ya kihindi, televisheni ya Capital tv walikuwa wanapenda sana kuionesha, ni nzuri sana, kwa muda mrefu Nimekuwa nikiitafuta ila sijawahi kufanikiwa kupata jina lake
Muvi...
Chombezo : Mpangaji Sehemu Ya Kwanza (1)
15 Feb
IMEANDIKWA NA : FRANK MASAI
*****************
Naitwa Prince au Prince Mukuru kwa jina langu lote kwa ujumla. Baba yangu alikuwa ni mfanyakazi...
Song: i took a pill in ibiza by mike posner
Huyu jamaa alikwenda huko ibiza na rafiki yake anayeitwa avicii ambaye alikuwa ni maarufu wakati huo.
Walipofika akashangaa kuona watu hawana shobo...
Known for his stage names Mr. II, Sugu and 2Proud, Joseph Osmund Mbilinyi is one of the founders of Hip hop music in Tanzania.
His lyrical style, which is methodical yet quick, has been mimicked...
Kwa wale mnaofatilia tamthilia hii mtaungana nami kuwa director Lamata analazimisha kuongeza matukio ili ivutie lakini katika uhalisia ilipaswa iwe imeisha siku nyingi.
Bill kashajua mama yake ni...
[emoji3591]Nimemaliza kusoma kitabu cha mchezo wa kuigiza, kinachoitwa "Aliyeonja Pepo" kilichotungwa mwaka 1973 na mtunzi Farouk Topan, nikajikuta nakumbuka kisa cha kweli.maishani kilichomsibu...
Sasa tuko pekee yetu, room iko bright kama mchana, nimekodolea dem smooth skin macho namkagua akiunbutton blouse. Hakutoa. Akainua rasa akaunzip skirt nyuma. Hakutoa. Bado nimesimama kidwanzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.