Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Mh Rais najua Kuna baadhi ya watanzania hawakutakii mema na upo nao HAPO Serikalini Mama Dr. Rais Samia Hizi ndo nyimbo ZINAZO pigwa mtaani kwetu huku Mae. Kula ngomaaaaa Mh Rais Pasaka njema...
0 Reactions
9 Replies
770 Views
Habari, Kwa wale wenzetu waliowenyeji na South Africa naomba mnisaidie hili. Nimekutana na Makaburu wawili nyakati tofauti na wote niliwauliza kuhusu huu mziki, wote hakuonyesha kuujali kabisa...
0 Reactions
9 Replies
758 Views
Salamu, Hiki kipaji inaonekana Mungu hajawapa hawa akina Hawa, naona labda kwa wenzetu wazungu. Hata kwa wazungu sijaona, hapa bongo nawaona tu kina joti na wenzake kina mpoki na Masanja. Hebu...
2 Reactions
57 Replies
2K Views
Kutoka Kwenye Ukurasa wa Instagram Wa Msanii @rayvanny Kuhusu Tuzo Za "TMA" Baada Ya kutangaza Vipengele "TMA Tunajivunia Kwamba Mna-Support Muziki Ila Hiki Sio Nilichokitegemea. Nimesikitishwa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu hii ndo list ya movie za mapigano [emoji419]kungfu panda [emoji419]the big boss [emoji419]the one -armed swordsman [emoji419]the master of flying guillotine [emoji419]tai chi master...
4 Reactions
50 Replies
1K Views
Ni kama wewe ni muwindaji haujawahi kumuona simba, au ni mvuvi haujawahi kumsikia nguva. Okay maybe utasema simba wapo mpaka leo na sio mfano halisi, basi niseme ni kama wewe ni palaeontologist...
0 Reactions
4 Replies
744 Views
Wasanii waliochaguliwa kuwania Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Hiphop wa Mwaka kwa upande wa Wasanii wa Kiume katika Tuzo za Muziki za Tanzania TMA2022 ni Kala Jeremiah Billnass Countrywizzy Fid Q Joh...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Jaman naombeni mnitajie movie nzuri zenye comedy ndani yake iwe ni season ama single yote poa tu ilimradi iwe yakizungu
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu. Nimekumbuka hizo movies hapo juu niliziangalia nikiwa mdogo, sasa nimezikumbuka nahitaji kuziangalia tena zote in series kuanzia ya mwanzo mpaka ya mwisho. Najua wadau...
1 Reactions
6 Replies
917 Views
India?s pioneer in Express Distribution and Supply Chain Solutions, Gati Limited offers a customers? conjunction platform with Gaticonnect takes online jewellery shopping india to the next level...
0 Reactions
1 Replies
748 Views
Zilitukuza enzi hizo mimi na jamaa zangu tulikuwa tuna ratiba nzima. Ilikuwa kila siku za juma3 had ijumaa kuanzia saa 15:00H - 18:00H channel 10, tv Mozambique, TIM, ITV na Agape TV walitupa...
12 Reactions
116 Replies
6K Views
Wakuu mwenye huu wimbo naomba anisogezee... Old skulaars...
2 Reactions
2 Replies
295 Views
Habari za mda wakuu leo nimewaletea list bora kabisa ya movie za upelelezi nk Naanza kutililika sasa The Bourne identity The Bourne supremacy The Bourne ultimatum The Bourne legacy Jason...
19 Reactions
110 Replies
6K Views
Kisa nisameheni 01 Tunu na. Tunda ni mabinti waliozaliwa familia yenye maisha mazuri kiasi kwa kumaanisha kwamba haakuna shida hapana, bali walipata kile walichokitaka, walipata mahitaji muhimu...
5 Reactions
189 Replies
17K Views
Nimeipenda sana hii movie. Kumbe game la vitofali linahistoria ndefu!!? Unaipa ngapi?
1 Reactions
0 Replies
257 Views
Baada ya moonlight serenade 👇👇👇 Ambapo nilipokea maoni mbalimbali ambayo naendelea kuyafnyia kazi. nikukaribisheni tena kusikiliza wimbo mwingine uitwao therapy ambao nimeufanya mwenyewe mwanzo...
4 Reactions
9 Replies
337 Views
Na Album yenye wimbo huu ndio kazi ilimfikisha hapo Bila kusahau kazi yake nyingine nzuri kwenye same Album Na Shout out kwa walimuunganisha kwa Producer wao J. Dupri
0 Reactions
0 Replies
328 Views
TUTAYAMALIZA YOTE KUMHUSU AU TUTAYATAJA MACHACHE NA KUYASAHAU MENGI? 1. Kutokana na wimbo wake wa GHETTO LANGU, vijana wakaziita nyumba au vyumba walivyopanga kwa jina la NGWEA. Ilikuwa kawaida...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Hakuna Boys 2 Men bila Wanya, Yule mwenye bass aliugua ajajitoa now wako watatu sio wanne tena. Dizijui nyimbi zao mpya ila zile za zamani sauti ya Wanya moris inatafakarisha sana,ilikuwa sauti...
0 Reactions
7 Replies
556 Views
Back
Top Bottom