Wakuu habarini,
Nimeamua kutoa punguzo kwa members wa JF au rafiki zao kwa wale wote wanaohitaji kufanya party fupi ya birthday au event yeyote isiyozidi watu 100 kwa muda wa masaa 2 hadi 3...
Wanajamvi heri ya pasaka na mfungo kwa islamic.
Direct kwenye mada, wakuu ukiacha series zilizo sifiwa sana kama Iris na Game of Throne ambayo nilijaribu kuifuatilia ila maudhui yake yakanifanya...
Hamjambo humu ndani😉nimewamiss haki tena.
Bhana sijui ndio nataman kuwa kwenye mapenzi ama laa🫣🫣maana huu wimbo tangu saa sita mchana mpka sasa ninaupiga na sijafikiria kuuchoka.
Huu wimbo...
Kwa wale wa Originality, Different, and Creativity, with a bit of one liners and humorous dialogues ; A Case every Episode while looking at a bigger picture...
One of the Best Series at the...
23 years ago today, Britney Spears released ‘‘Oops!... I Did It Again.’
The Grammy-nominated pop classic served as the lead single off her blockbuster sophomore album. It was a #1 hit in the...
Mwanzoni nilikua napenda kuishi sehemu ambayo haina makelele lkn sasa nimekuwa mtu wa stress sana siishi na familia yangu nimekuwa mtu wa mawazo sielewi hatma yangu kuondokana na stress nakunywa...
Kenge kwenye moja na mbili
Hivi ni kweli MTAJI WA MASKINI NI NGUVU?? Kama ni kweli acha nikawe mwizi..Ngoja kwanza nikiwa mwizi si ZA MWIZI NI AROBAINI?? Amakweli NGOMBE WA MASIKI HAZAI,NA AKIZAA...
Habari zenu wana JF
Natumai Pasaka imeisha salama. Miaka kidogo iliyopita kulikua na uzi watu walipost bongofleva zile old school. Ziliwekwa mp3 hapo lakini ule uzi sijui ulifutwa au la.
Mimi...
Mmiliki wa hii Pub hapa Iringa ana kazi kubwa ya kufanya. Niko hapa saa hii, huduma ni Mbovu ajabu, wahudumu wana lugha za ajabu na dharau hadi unashangaa.
Kama ilivyo kwa Liquor store nyingi...
Jioni baada ya kutoka mihangaikoni nimekaa geto, nikitafakari siku yangu imeendaje. Wakati huo wa kutafakari huwa napenda kusikiliza muziki na miziki yangu mara nyingi ni Hip Hop na Reggae ila leo...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Album ya Msanii wa Muziki wa Injili Christina Shusho Aprili 9, 2023 katika Tamasha la Mtoko...
Kabint niliwah kukatongoza kakanikataaa
Baada ya miez kadhaa siku km ya leo nikakuta missed call yake kwenye kimeo changu
Nikaenda kwenye simu ya kijiji ili nimrukie hewan
Tunaiita sim ya kijij...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amewasili Mlimani City Jijini Dar es Salaam, tayari kwa ajili ya Tamasha la Mtoko wa Pasaka Aprili 9, 2023 linalowakutanisha...
Simulizi : SAFARI NDEFU KUELEKEA KABURINI
Mwandishi : NYEMO CHILONGANI
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
Muda ulikuwa ukizidi kwenda mbele huku dereva wa gari ndogo aina ya Prado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.