Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Matairi meusi ya ndege ya shirika la ndege la kimataifa la Kenya (Kenya airways) yaligusa taratibu katika ardhi ya uwanja wa kimataifa wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere, jijini Dar es salaam...
12 Reactions
210 Replies
75K Views
Verse 1 (Wahu) sikiza mpenzi mi nikueleze yalo moyoni ni mengi si machache roho yangu imejaa uchungu you never miss the water till the well is running low imekuwa muda tangu tuonane nilitaka sana...
0 Reactions
5 Replies
955 Views
Baada ya Harmonize kutoka hadharani na kutamba kwamba, hataongea na Msanii yeyote wa Afrika Mashariki ambaye hamiliki gari aina ya Range Rover! Leo Diamond Platnumz ni kama amerusha kijembe kwa...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni muda mrefu sana kwenye hizi anga za simulizi, sasa hatimaye nimerejea na hadithi hii. Kwa wale wageni, waweza tazama hizi ... ni kazi ya mikono yangu ...
21 Reactions
601 Replies
53K Views
KALI KUTOKA AM RECORDS Hapa kuna majina mawili; MANECKY na BOB MAKNECKY na hizi ndizo kazi kali kutoka AM RECORDS; 1. NIMEDATA - JUX 2. NAPATA RAHA- JUX 3. NITASUBIRI - JUX 4. UTANIUA - JUX 5...
0 Reactions
1 Replies
616 Views
Habari za muda huu wapendwa. Nimekuja kwenu naomba mnijuze kuhusu muvie iwe single au series ambayo ni nzuri kuangalia mkiwa na mpenzi wako tu. Yaani ambayo iko romantically [emoji39]. Mimi kuna...
2 Reactions
109 Replies
31K Views
VIREFU VYA MAJINA 1. K.R. _ KAKA RASHID 2. J.O.S.E.P.H. - JIFUNZE, ONA, SEMA, ELIMIKA, PITIA, HAMASIKA 3. LANGA - LYRICAL AND NATURALLY GIFTED AFRICAN 4. RAF MC - REALITY AND FEELING MC 5. BINAMU...
3 Reactions
5 Replies
979 Views
On Air with Ryan Seacrest
0 Reactions
0 Replies
250 Views
Nilikuwa kwenye daladala jioni hii na buzuki time hewani redioni. Umechezwa huo wimbo zaidi ya dakika 8 kwenye ile sebene tu. Kuingia youtube wimbo una dakika 12:40. Sasa mdau wa muziki kuna...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Moja ya mistari yake unaimbwa hivi, "maji yakimwagika hayazoleki, itabidi ukakae ufikiri, yaliyotokea ukiri"...kuna binadamu wa ajabu... Na huo wimbo Sio wimbo wa taarabu Mwenye kujua kuna la...
0 Reactions
0 Replies
706 Views
Nliona video ya huu wimbo mwaka 2007, Moja ya mistari yake unaimbwa, (usione twaendeshaa, tunafanya kazii) ×2..video yake ntaipata wapi
0 Reactions
0 Replies
301 Views
American Top 40 [03/18/2023] 36 40 Nicky Youre/Dazy - Sunroof 01 [3 weeks @ #1] 42 34 39 Doja Cat - Vegas (From "Elvis" Soundtrack) 01 [3 weeks @ #1] 33 39 38 Reneé Rapp - Too Well 38 02 29 37...
1 Reactions
3 Replies
608 Views
“Nina Idea kadhaa nilikua nataka nziipeleke kwenye vituo vya TV, Naomba kujuzwa mambo haya.. -Nifanyeje ili niwafikie wahusika wanaohusika na kupokea Ideas(labda content managers, production...
1 Reactions
8 Replies
418 Views
Mtajwa hapo juu alikuwa msanii wa kaole sanaa group mbona simsikii yupo kweli?
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Hii ni Moja ya muvi Bora za wakati wote... Mark Dacascos alitembeza mkono kwenye hii muvi mwanzo mwisho.... Huyo Rasta fundi gereji muoga muoga.... Ni Moja ya ubunifu Bora kabisa kuwai kutokea...
27 Reactions
422 Replies
14K Views
SEHEMU YA KWANZA. Nikiwa nimerudi kutoka shuleni nilikutana na mama nje ambaye alinambia tumepata mgeni ambaye atakua akitusaidia kazi za ndani yaani dada wa kazi, kutokana na uchovu na fimbo za...
14 Reactions
127 Replies
14K Views
NITAKUPA TU SEHEMU YA 001 ********* Alihisi ilikuwa sauti ya mwanamke, sauti ambayo mwanzo alidhani haikuwa ya mwanamke kutoka na usiku ule kuwa vigumu. Lakini sauti ile bado ilikuwa ikisikika...
2 Reactions
76 Replies
9K Views
SEHEMU YA KWANZA: JINA langu naitwa Togolai Mahimba, ni mtoto wa mwisho kati ya watoto saba wa baba yetu, Sinai Mahimba ambaye kwa sasa ni marehemu. Baba yetu alifariki miaka mitatu iliyopita...
14 Reactions
258 Replies
155K Views
Long story short wanaanza vizuri tu episodes 5 za mwanzo mpaka mwenyewe utapenda. Akishapata kijiji sasa ndio dharula zinaanza, mara mbuzi wangu wameingia kwenye shamba la watu, mara mtoto...
13 Reactions
90 Replies
4K Views
Watu wa mziki tukutane kidogo kwenye hii battle. Ngwair She got gwan vs Mb Dog Latifa. Ipi ilikuwa hatari zaidi? #forgive me
0 Reactions
0 Replies
261 Views
Back
Top Bottom