Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Moja KIJIJI cha Tung’aine kinapatikana mkoani Mara katika wilaya ya Tarime mpakani kabisa na nchi jirani ya Kenya. Huko unapatikana mto mkubwa unaojulikana kama mto mesani. Ni katika bonde kubwa...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Nyota wa Bongo Flava kutoka Tanzania, #DiamondPlatnumz ameendelea kushikilia rekodi ya kuwa msanii wa Afrika ambaye kazi zake zinatiririshwa (Streamed) zaidi kupitia YouTube akiwa na 'Streams'...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
WAVULANA JILINDENI NA MABINTI JICHUNGENI (Epsode 01) Kijana aliyesoma miaka 17 kutoka shule ya msingi mpaka chuo kikuu bila kuwahi kutongoza mabinti, kuzini na mabinti wala kujichua aandika...
0 Reactions
1 Replies
505 Views
Namsikia Maulid Kitenge akiejea Wasafi FM akiwa na Gerald Hando. Nadhani mtakumbuka kilichompata Hando pale hivi karibuni. Maulid kaanza na upembuzi wa magazeti lakini leo kaingia kwenye upembuzi...
0 Reactions
3 Replies
930 Views
Database of Movie Dialogs You Only Live Twice (1967) | It's a movie | Find on IMDB Full transcript in English languagePermalink here (line 1) Calling Cape Com. Cape Com? This...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kama haujaiona hii Movie nashauri iangalie ni movie moja Nzuri sana (Good Story; Good Actions; and a Bit Emotional) kwa kuogopa kutoa Spoilers ngoja nikupe Theme Song yake kama Dondoo...
1 Reactions
0 Replies
501 Views
Siku chache baada ya kuachia ngoma mpya ya “Red Ruby Da Sleeze”, Rapa huyo kutoka Marekani ameweka wazi ujio wa Label kupitia #QueenRadio inayoruka kupitia Amazon Amp. Amesema Lable hiyo itakuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Twende kazi, Songea Ilikuwa mwaka 2011 majira ya saa Tisa mchana nikiwa na rafiki yangu mudy watoto wa wanajeshi tukiwa tunatoka tution....tution tulikuwa tunasoma mtaa wa pili kutoka mtaa wa...
8 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu kwema natafta movie Kali za kijasusi , ikiwezekana wazee wa black market wawemo , drug dealer , kusalitiana na kugeukana , bila kusahau kuwe na vyuma ( risasi) za kutosha , movie ziwe...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Ilikuwa tarehe 25 mwezi wa 5 mwaka 2012 safari yangu ya kwanza kwenda South Africa, nikiambatana na dadaangu ni Mdogo kwangu tukielekea kwa madiba, tena ikiwa yeye dadaangu ndo mwenyweji wangu uko...
7 Reactions
93 Replies
8K Views
Hebu fikiria hapa una GENTAMYCINE , kushoto una Mshana Jr na katikati kakaaa mkaka wa haja, Bujibuji Simba Nyamaume , Simba halisi wa kiume. Watu wanataka kusikia madini, fanya mabadiliko bro Majizo
3 Reactions
15 Replies
875 Views
Kwanza niweke wazi mimi sio mpenzi wa hizi Tamthilia za kifipilino, Kikorea, sijui kituruki zinazorushwa Kwenye hivi vituo vya TV zetu zinazoingizwa maneno ya kiswahili. Nakumbuka nilikua...
1 Reactions
1 Replies
804 Views
SOMA EPISODE 2, POST # 282 SOMA EPISODE 3, POST # 655 SOMA EPISODE 4, POST # 852 SOMA EPISODE 5, POST # 1115 SOMA EPISODE 6, POST # 1656 SOMA EPISODE 7, POST # 1773 SOMA EPISODE 8, POST...
114 Reactions
5K Replies
826K Views
Chombezo : Dunga Dunga Sehemu Ya Kwanza (1) Kila siku katika maisha yangu nilikuwa najiona kuwa mimi ndiye kijana ambaye nilikuwa naongoza kwa kutembea na wanawake katika mtaa wetu wa Magomeni...
3 Reactions
76 Replies
6K Views
Kitu gani kilikufanya uache kuangalia Movi za kibongo? Na una lipi la kuwashauri?
0 Reactions
2 Replies
473 Views
Masanja mmoja ni sawa na Kitenge, Hando na Zembwela. Masanja kaziba pengo mpaka mwanya na kashawafunika, ze comedy show yote kahamishia pale unacheka mwanzo mwisho. Big up Majizo kwa kuwa...
13 Reactions
86 Replies
4K Views
Wanapenda kusaidiwa ila hawapo tayari kusaidia wapenzi wao, ni wachoyo, wana roho za korosho. Wakipata hela wanaenda club kukesha na wanaume wenzao wakinunuliana vinywaji adimu vya bei mbaya huku...
5 Reactions
40 Replies
1K Views
Kama Kuna mtu ana hii riwaya inaitwa Mkimbizi iliandikwa na Hussein Tuwa (Kama sijakosea) naomba anipatie au aiweke hapa. Niliisomaga zamani sana kwenye magazeti pendwa wakati ule yaliyokuwa...
7 Reactions
36 Replies
7K Views
35 years ago today, Whitney Houston's "Where Do Broken Hearts Go" reached #1 on the Hot 100. It became Whitney's seventh #1 hit in a row, making her the artist with the most consecutive #1's in...
0 Reactions
6 Replies
479 Views
Daah aisee movie za kihindi zamani zilijua kutukamata kulikuwa hakuna watafsiri lakini tulizielewa balaa. Miaka ya 80's huko wazazi wetu na wenyewe walikuwa na mastaa ambao waliwakubali Kama...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom