Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Dhiki 1 Naomba kuwauliza, majibu yawe mezani Hayano ndoyaniliza, sijui nimekosani Yataka kunimaliza, mwenzenu nitaabani Rafiki niliyenae, katu ataki niwata 2 Amenigomea hasa, hunitoka na kurudi...
1 Reactions
1 Replies
352 Views
Wakuu hii ndo list ya movie zakutisha, kusumbua, mazombi, mauaji, kutesa nk [emoji419]Trauma [emoji419]The human centipede [emoji419]Atrocious [emoji419]A Serbian film [emoji419]Terrifier...
3 Reactions
83 Replies
3K Views
UMASIKINI NI DHIKI, Umasikini ni dhiki, kila siku mashakani, Na tena hathaminiki, mtu kuwa masikini, Fukara hana rafiki, humtenga majirani, Ni dhiki umasikini, Umasikini ni dhiki.. Ukiwa hauna...
2 Reactions
1 Replies
427 Views
Ngoma gai unaikubali kutoka kwa P The MC.
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Mtunzi ni CK Allan Madam President Juni 1998 Ilikua jioni nzuri kabisa ambapo sehemu mbali mbali za jiji la Tanga Kuna Hali ya baridi na mvua nyepesi zilikua zimeanza, nikiwa na Rafiki yangu Jacob...
11 Reactions
217 Replies
24K Views
Pamezuka ubishi kuhusu wimbo wa "Superwoman" wa Phina na "Superwoman" wa Zuchu. Kuna mjadala mkali sana kuhusu wimbo upi umetulia kusikiliza ukiwa safarini. Nimeamua kuileta hii mada hapa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Binafsi kuanzia Sasa n shabik nambar uno wa muvi na series za kinaija Hawa jamaa wanajua na wanakuja kwa Kasi ya ajabu Kimzki wametushinda hata muvi pia wametushinda Ukitaka kuamin maneno yangu...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
THE BEST RADIO PRESENTER EZDEN JUMANNE " EZDEN THE ROCKA" KISS COLLABO MIX SHOW KISS FM SAHARA MEDIA *** Mbali na Ezden, wafuatao ni watangazaji wa Tv na radio na Djs...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Alipita kwenye mikono ya Kameta, akapita UPTOWN RECORDS na baadaye akaja na studio yake, COMBINATION SOUNDS. Nilianza kumsikia kwenye ngoma za msanii mmojammoja kama; Blue, Rhyno, Mb Doggy lakini...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Moja kati ya wimbo bora wa hip hop wa mapenzi ni huu wimbo kuanzia beat, sauti na ujumbe. Humo ndani kaimbiwa binti mmoja mkali wa kiafrika asiye na uslay queen. Endelea kupumzika kwa amani huko...
3 Reactions
0 Replies
385 Views
Habari rafiki! Je, wewe ni kijana mwenye kipaji cha kuimba, kupiga piano, au kupiga gitaa? Ikiwa ndiyo, tuna furaha kukualika ujiunge nasi katika safari ya kuendeleza kipaji chako! Tunayo akaunti...
1 Reactions
3 Replies
923 Views
HISTORIA YA EXTRA MUSICA SEHEMU YA II Sehemu ya pili inahusu (a) Kutoka Uimbaji wa kwaya/misibani hadi Extra musica na baadae kugawanyika (b) Nini wanafanya baada ya mgawanyiko...
6 Reactions
67 Replies
30K Views
NI SANAA AU UTELEZI? Anajulikana kama DOLLO MOSSES TMK HALISI. Nilimfahamu toka enzi za Radhia, Inahitaji roho ya chuma kuishi na watu vizuri na ngoma nyingine za Wachuja Nafaka na TMK WANAUME...
0 Reactions
2 Replies
476 Views
Tanzania ni nchi pekee ambayo mtoa huduma ni boss kwa mteja, na maboss wamiliki hawajali chochote kuhusu wateja. Arusha wako vizuri hapa hawasiki nawakubali 🙏🙏🙏 Mimi mpambanaji, mjasiliamali...
0 Reactions
0 Replies
705 Views
NDANI YA MISTARI BAD MAN - D KNOB FT CANNIBAL Mtumishi wa Bwana, Innocent Sahani aka kinundu kichafu "Dirty Knob" kwa kifupi D KNOB akiwa na Mla nyama kutoka Mombasani waliangusha dude hili...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
oyyy niaje wana duu aisee mjini fm ni habari nyini apa kunapindi cha Soggy na darboy dah aisee ni noma apa saizi kuna wana wana freestyle hatari sana alafu kubwa kuliko kuna beer za bure kabisa...
1 Reactions
1 Replies
699 Views
( 1-5 ) CHOMBEZO ❤️🔞 NITAKUPA LAKINI NIMEOLEWA SEHEMU YA 01 Anza nayo....... “Mke wangu ananipenda sana,” Tasriki alisema hivyo. “Kitu pekee ambacho unatakiwa ukiamini ni kuwa wewe unampenda...
4 Reactions
15 Replies
9K Views
Charles Hillary a.k.a Jitu Julius Nyaisanga a.k.a a Anko J Flora Nducha John Dilinga Sebastian Maganga Sostenes Ambakisye DJ Fast Eddy Misanya Bingi Asia Mohamed Hivi hawa watangazaji...
0 Reactions
89 Replies
34K Views
Ni level gani ilikutesa mpaka ukafikia hatua ya kutaka kuifuta hii game?
1 Reactions
78 Replies
5K Views
Nmejaribu sana kuangalia baadhi ya series za mataifa mengine nmejikuta nashindwa kabisa hasa za: 1. Spain 2. Mexico 3. Philippines 4. Turkey 5. Korea 6. China Hawa jamaa bado wana series za...
14 Reactions
59 Replies
9K Views
Back
Top Bottom