Angalia tamthilia za kituruki za Azam TV; tangu Sultan, Wounded Love na hata sasa Ertugrul utagundua kitu kimoja tu.
Kwamba tamthilia hizi ni simulizi za historia ya nchi yao ya Uturuki...
• Mejja - Landlord
Kwenye hili song kutoka 254 hakuna chochote kinacho endana na story..
Ila kwa kuwa nimeisikia kwa dereva bajaji hapa basi imenikumbusha 2015. Experience ya kupanga kwa nyumba...
NAJILIPUA
NI kweli ni trend- setter na alitengeneza top ten lakini kwa upande wangu, midundo mitano ninayoielewa zaidi kutoka kwake ni hii;
1. MTOTO WA KIUME - GEEZ MABOVU
Dundo linaanza...
Hello,hope you are courageously going about through your daily activities.For those going through a bit of a patch,well I'm here to invite you to travel with me through extraordinary good music...
JINGLES KALI NA MATANGAZO MAKALI KABISA YA MIAKA HIYO
1. WEEKEND FEVER - RADIO FREE AFRICA- JAY MOE
Ni weekend fever
Jumamosi naisikiliza
2. BAMIZA - MAGIC FM - NGWEA
Magic Fm tuko juu, sisi...
Habari,
Weekend iliyopita nilikuwa naangalia tuzo za TMA yaani Tanzania Musics Awards na kuona vipengele tajwa hapo juu. Sasa bado sijaelewa tofauti zake. Mwenye kuelewa naomba anijuze.
ONYESHO DOGO KUTOKA TAMTHILYA INAYOITWA "WE ARE ONE", by Tanzanian British.
It is just After THE AFRICAN KING ASKED THE MISSIONARY FROM BRITAIN,WHAT DOES SLAVE MEAN!? CHECK IT please.-
MISSIONARY...
MAGORI MATATU YA MGENI!
Ngurumo na radi vilitawala,huku wingu zito likitanda,ilikuwa ni dalili kuwa muda wowote mvua itanyesha,tena siyo ya rasharasha ilikuwa ya uhakika!
Muda huo ndiyo nilikuwa...
NAKONDA SABABU WEWE.
Kwanini nijiadhibu, kama kweli sikupendi
Nikavumilia tabu, kwako imenasa gundi
Kukuacha najaribu, moyo wangu siushindi
Huku kukonda nakonda, Ila sababu ni wewe.
Kila unacho...
• Ace hood-hustle
Mama need house,
Babe need some shoes
Hustle, hustle hard!.. hustle, hustle hard!
Hakaika kila niisikiapo nyimbo hii ni lines hizo ambazo naweza kuziimba kwa sauti ya juu...
Tuzo zinazotolewa muda huu kupitia UTV wapo live mgeni rasmi ni Mh, waziri balozi Pindi Chana.
====
Wasanii waliochaguliwa kuwania Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Hiphop
Kalajeremiah
Bill_nass...
Wakuu,
Nafatilia tuzo za Muziki Tz ,aisee kinachoendelea hazina Radha kabisa.
Zinarushwa kupitia king'amuzi Cha Azam, sinema zetuaaa
#nashauri,warejee nyuma zilivyokuwa.
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Tuzo za Muziki Tanzania zinatolewa kwa ajili ya wanamuziki mahiri na sio maarufu.
Mhe. Chana amesema hayo katika Usiku...
Makaburi yamezika ndoto nyingi, ndio! wala sina uwezo kulikataa hilo ila tu ninalo la kuongezea kwenye hilo. Kama ilivyo kwa makaburi pia mapenzi nayo yamechangia sehemu nyingine kubwa ya kuzika...
Malkia wa Muziki wa #BongoFleva kutoka Label ya WCBWasafi, Zuhura Othman Soud, 'Zuchu' ameng’ara kwa kushinda Tuzo nyingi zaidi katika Tuzo za Muziki Tanzania TMA2022 zilizotolewa Usiku wa Aprili...
Msanii wa Muziki wa Asili Elizabeth Malinganya ndiye ambaye ameibuka kinara kwemye kinyang’anyiro cha Tuzo ya Msanii Bora wa Kike Muziki wa Asili.
Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Kike wa...
Hello fellas!
Baada ya safari ya Simba Sc kuishia mbele ya Wydad wamekuja watu wengi ambao hawaufahamu mpira vizuri au labda ni mashabiki nyanya ambao wanaitusi Simba na kuimwagia lawama.
Jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.