Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Jana nlikuwa YouTube naangalia freestyle ya mex cortez kupitia wanene Youtube channel. Chini ya recommendations nikaona video yenye title "Rapcha- Kisanga" Nikajua tu hizi zitakuwa za ma...
3 Reactions
27 Replies
9K Views
Treyzah ni msanii wa muziki wa kisasa ambaye ameweza kuweka alama yake katika anga la muziki wa Afrika Mashariki. Kupitia sauti yake iliyoshiba, mashairi yake yenye maana na usanii wake wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habariiii members hii ni story moto sana naishusha wala msijali. Hii story nitakuwa kila siku naleta vipande viwili kutokana na muda inaweza kuwa kimoja mchana na kingine usiku. Stay tuned...
13 Reactions
109 Replies
7K Views
Kwahii michano ya Roma mkatoliki kwenye hii Ngoma aliyoshirikishwa na izzo bizness ya Mr Xmas Ni halali jamaa akimbilie marekani maana ni noma Kuna watu wamechanwa humo na hawaelew kama wamechanwa...
3 Reactions
5 Replies
795 Views
Anasema" Mmekataa kusimulia, mema yangu mimi, japo mwayajua mmenyamaza, mkotayari kuelezea ubaya wangu mimi, ili nafsi zenu zifurahi. Mmekataa kuthibitisha, yupi mwenye haki, japo mwamjua...
4 Reactions
4 Replies
716 Views
Namuona sana,anatrend mitandaoni si Tiktok, Facebook Instagram hadi Twitter kwa video zake. Kuna Moja hiyo ameiwekea caption ya "ZA KICHWA". Nyie hii dunia...
1 Reactions
3 Replies
273 Views
THE KENYAN TRIO I GIVE MY DUE RESPECT (CURRENTLY) Natamani sana kusikia kolabo inayobeba vichwa hivi vitatu ninavyovisikiliza zaidi kutoka KE kwa sasa. Nimekuwa nikimwelewa Shinski toka enzi za...
0 Reactions
2 Replies
496 Views
Leo ndio lie pambano kati ya Gervota na Ryan Gracia
0 Reactions
1 Replies
444 Views
Wakuu kwema? Naombeni leo wajuzi mnijuze hawa jamaa wana siri gani? Kiwango chao cha uimbaji ni extraordinary. Nimesikiliza sauti hizi mpaka nikafumba macho kwa utamu. Nini siri ya hawa jamaa...
10 Reactions
36 Replies
3K Views
Wadau na hizi sikukuu ingependeza tungepata nyimbo zenye vibe wakati wa kupata moja moto moja baridi, si unajua pombe=nyama choma=mziki=women, ni vitu vinavyoendana. Mimi nitatupia baadhi Pesa Mr...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Salaam kwenu. Naulizia hiyo movie hapo juu kwa mwenye direct link au hata torrent ambayo sio CAMRip au WebCam iwe HD naomba anijuze please. Natanguliza shukran.
0 Reactions
6 Replies
972 Views
KUNA LA KUJIFUNZA HAPA Nakumbuka siku moja nilipigiwa simu kwenda kumuona jamaa fulani niliyekuwa nataka ashughulikie suala langu la N.G.O ninayotaka kuanzisha. Jamaa akanipanga niende kuonana...
20 Reactions
22 Replies
7K Views
Ndugu zangu, Mwanamziki wa kizazi kipya wakuitwa ROSA LEE ametoa wimbo mpya unaojulikana kama "I AM NOT FINE" ...Ndani ya wimbo huo ...Mimi nimependea mistari ifuatayo ambayo kiukweli ni ujumbe...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Short thread! Wadau nimezikumbuka sana ngoma za Lunduno zilizokusanya wasanii wengi sana rappers katika movement ya Tamaduni music 2005-2015. Ngoma zao nyingi zilikuwa zinatoa darasa na kumpa...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
NILINUSURIKA KUCHOMWA MOTO 2 Kelele za watu wakiongea kwa nguvu apigwe! Apigwe! Apigwe! zilizidi. Wakati huo napambana sanaa kujitetea kuwa huyu mwizi mimi simjui, na sielewi kwanini...
1 Reactions
8 Replies
770 Views
KALI KUTOKA AM RECORDS Hapa kuna majina mawili; MANECKY na BOB MAKNECKY na hizi ndizo kazi kali kutoka AM RECORDS; 1. NIMEDATA - JUX 2. NAPATA RAHA- JUX 3. NITASUBIRI - JUX 4. UTANIUA - JUX 5...
0 Reactions
1 Replies
805 Views
MKASA WA KWELI; KIBUYU CHEUSI MWANZO ………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………… Kwa majina naitwa justice simangwa mkazi wa mkoa wa songwe katika wilaya ya mbozi kijiji cha...
3 Reactions
82 Replies
6K Views
[14:58, 18/02/2017] Ibrahim Masimba: NITAKUPA TU SEHEMU YA 001 Mwandishi Ibrahim Masimba ********* Alihisi ilikuwa sauti ya mwanamke, sauti ambayo mwanzo alidhani haikuwa ya mwanamke kutoka na...
21 Reactions
1K Replies
416K Views
Ilikuwa ni majira ya pata saa Saba usiku,nikiwa katika hali ya usingizi mzito sana gafla nilishtushwa na sauti ya mke wangu. Mke wangu aliipaza sauti yake kwa nguvu sana kuashiria hali ya hatari...
9 Reactions
44 Replies
6K Views
bolingo eza maladie mab?,dokotolo na ngo motema,symptome n'ango souci kasi kisi ezali s? pr?sence ya moto oyo ozali kolula,lokola nalula masiya y? nd? kisi na nga (jesus christ) bolingo lokola...
3 Reactions
133 Replies
39K Views
Back
Top Bottom