Hellow
Kataa kubali wanaume wengi wanapenda taarabu sema kwasababu tu ya jamii ilivyo mjengea mwanaume kuishi ndiyo ina mpa shida kushow love kwenye mziki huu.
Na hili nimeliona kwenye sauti za...
Here they talk let ’em talk girl
Now what they talk
Here they talk let ’em talk girl
Now what they talk
Here they talk let ’em talk girl
Now what they talk
Here they talk let ’em talk girl
Ah haa...
Oh yeah tmk feel this song
Chege
Wowo woooh woooooo
Wowo woooh woooooo
When I close my eyes picture yako inajirudiya ah Tena
Nasita kusahau kwa matusi ulio nimwagiya ah Yaya
Tena mbele za...
Verse 1
Mara ya mwisho mimi na wewe Kuonana kipindi kile twasoma Shule ya msingi kigoma. Najua ulinipenda Ila hukutaka penzi kulilinda. Ungesema mapema Iliniuma sana. Mimi leo niko Dar...
Mwaka huu kuna muvi kali zimetoka ila watu wanashindwa kuziangalia kutokana na kushindwa kuziaccess kwenye internet au kwa kutozijua
Leo naleta muvi chache tu na kama una zako nawe tupia hapo...
Naomba kufahamu wimbo unaohit kwa sasa wa Chibu Dangote.
Sababu za kuuliza swali langu ni huu mfululizo anaoufanya kuachia nyimbo kama fungu la.mchicha.
Itakuwa vyema kuwa na chati ya TopHit kwa...
Saa saba juu ya alama saa nikiitazama
Nimeshaachana na Jacki sasa namfata Salama
Saa kumi na mbili n'na appointment mademu wawili
Achana na Lily ambae tutakutana saa mbili
Jenny wa Mikocheni ambae...
MICHIRIZI YA DAMU 01- Nyemo Chilongani
GIZA, Misri
Zilisikika kelele kutoka ndani ya piramidi moja lililokuwa katika Mji wa Giza uliokuwa nchini Misri. Watu waliokuwa humo ambao asilimia kubwa...
HABARI WANA JF.
SEHEMU YA 1
MWANZO BAADA YA MWISHO ....
Watu walikuwa wakifa, wengine wakikimbia, wengine wakijikuta kuna miguu mikubwa kama ile ya vunjachungu(parying mantis) ikitenganisha...
Wakuu hii shoo ya badgirl Riri ni noma kwanza mipangilio imepangika mavazi, madensa sound, lights.
Yaan ni noma shoo imetulia ina ladha huumii masikio na wala huchoki tazama. Wasanii badilikeni...
Justin Kalikawe, ni moja ya waasisi wa muziki wa reggae ya Kiswahili. Na moja ya wasanii wa muziki wa Kiswahili waliosumbua sana mwanzoni mwa miaka ya 1990.
Justin Kalikawe, alitamba zaidi na...
Wanabodi,
Mimi ni miongoni mwa wanabodi ambao hupenda kupongeza pale panapo stahili pongezi as "encouragement" ili kuendeleza mazuri, na hukosoa pale panapo stahili critique kama mambo hayaendi...
Oiii wadau, sijui ni mimi tu ila sikuhizi napigiwa sana simu na watoa huduma wa makampuni mbalimbali hasa haya ya kubettisha na kiukweli huwa mara nyingi nawamind kwasabab nakua niko busy na...
Angalizo: Kabla ya kuanza nitoe angalizo na maoni kidogo. Ila pia nianze kwa kuomba samahani kukatisha riwaya iliyopita kwa wale ambao mlikuwa mnaifuatilia uwanja wa mauaji.
Sababu ni nyingi na...
Simulizi: NGUVU YA MAPENZI
Mwandishi: ATUGANILE MWAKALILE
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
Mdada mmoja mrembo sana aliyeitwa Angel alionekana siku hii akiwapeleka wadogo zake kuripoti...
Sehemu ya kwanza
Kwa Mary Robert.2010
Nayajua mengi kwakuwa nimempa kila mtu nafasi ya kuwa mwalimu wangu,,kila mtu hunifunza kwa
yale atakayo,,naheshimu kauli na mawazo ya wote kwa uzito sawa...
Ilikua Siku kama ya leo mwaka 2019 pale familia,wadau,na wapenzi wa muziki wa hip-hop tulikumbwa na majonzi kufuatia taarifa ya kifo Cha msanii kingzilla (king of freestyle bongo.)
Godzilla...
Nimekuwa Muhudhuriaji wa Night clubs mbalimbali hapa kwenye jiji la makala Na Jiji moja kule kaskazini mwa Tanzania.
Imeibuka Tabia ya Madj wetu wanaoburudisha mioyo yetu kupiga nyimbo za Dini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.