Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Hi 👋 Ningependa kushea orodha yangu ya nyimbo bora walizoshirikishana wasanii wa bongo ambazo hazichuji hata ikipigwa leo hii lazima uipende. Naruhusu kurekebishwa penye makosa, lakini pia nipende...
15 Reactions
119 Replies
15K Views
Jamaa ni wakali sana, msikilize huyo wapili alivyo flow na biti. Anaweza fanya collabo na nani?
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Msanii Trey Songz anayekabiliwa na kesi ya madai ya Ubakaji, ameandika kupitia Insta Stories akisema "Uongo hautakuwa ukweli kamwe. Haijalishi nani anachagua kuamini hivyo", ikielezwa ni majibu ya...
1 Reactions
0 Replies
576 Views
Msanii dimond platnumz ametoa kibao kipya kinachokwenda kwa jina la zuwena...wimbo mzuri sikatai ila kwa maoni yangu mimi binafsi ilikuwa sio lazima kuita zuwena...angeita hata Antonia tu...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
RIWAYA; DOA -----1----- Ulikuwa ni muda sahihi kwa kila mmoja kurejea nyumbani, muda ambao jua lilikuwa limeanza kuiacha Mashariki yake na kwenda kwa mchepuko wake bi. Magharibi. Harakati...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Kulingana na mchango wake mkubwa katika kuukuza muziki wa kizazi kipya napendekeza msanii mkongwe Chidi Benzi apatiwe PhD ya heshima sasa akiwa hai kama alivyopatiwa Babu Tale
2 Reactions
8 Replies
530 Views
Kwenu EA Radio Binafsi ni msikilizaji wenu mzuri wa vipindi vya Superbreakfast na EA Drive. Sijui ni sababu gani hasa imefanya kuwaondoa Evans Bukuku, Bobby Mongi na Chris Lugoe katika kipindi...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Dizasta vina hatia 1V.(hatia ya nne) Hii kwangu ndio ngoma bora zaidi kutoka kwa Dizasta, Sijaona ngoma ya Dizasta inayoweza kukaa juu ya hiyo. Sio Mwanajua,Shahidi,Kikaoni wala Kibabu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hapo zamani za kale, katika kijiji kidogo kilichokuwa milimani, kuliishi mwanamke mmoja aliyeitwa Mariamu. Mariamu alikuwa mtu mwenye fadhili na mpole, aliyependwa na watu wote kijijini. Hata...
0 Reactions
1 Replies
439 Views
Habari nilikua naomba msaada wakupata qaswida ya Al Madrasat Raufu Rahim inaitwa zawadi nimeangaika sana YouTube sijapata naomba mwenye nayo anitumie 0693620048 wsp
0 Reactions
0 Replies
490 Views
RIWAYA; MWIBA WA CHUMA. Na; Bahati Kisarwa Mwamba. Simu; WhatsApp 0658564341 1. Siku kwake ilikuwa inaelekea kuisha vema. Jioni ya siku hiyo aliamua kuimalizia kwa...
7 Reactions
58 Replies
8K Views
Mkali wa Bongo Flava, Toto Bad a.k.a Marioo ameshare picha ya Plaque kutoka Boomplay zikionesha idadi ya watu usikilizwaji wa albam yake pamoja na wimbo wa Mi Amore ambao umepata streams Milioni...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni bora nijuue kuliko haya yatayo nifika, nitakufa kikatili na kupoteza kila kitu nilichokipigania kwa jasho na vitisho ( Vera aliongea na moyo wake akiwa kwenye basi akitokea wilaya ya handeni...
0 Reactions
2 Replies
933 Views
Wakuu habari za asubuhi, Kwema ndugu zangu. Watu wa Hip Hop nawaomba hapa. Hivi ni kweli Album ya Profesa Jay, Machozi Jasho na Damu. Ndio Album Bora ya HIP HOP ya muda wote? Kama ni kweli kwa...
7 Reactions
32 Replies
3K Views
MISS TANZANIA SEHEMU YA 1 MTUNZI : PATRICK.CK “Patrick amka darling inakaribia saa nne sasa”Alisema Veronika kwa sauti laini ya kubembeleza. “‘Mmmmhhh”Akaguna Patrick ,akajigeuza upande wa pili na...
6 Reactions
154 Replies
62K Views
Chris Brown ameonesha hisia za kutopendezwa na kitendo cha kukosa tuzo ya Grammy kupitia albamu bora ya R&B, kwa kueleza kuwa hajawahi hata kumsikia mshindi aliyetajwa ambaye ni Robert Glasper...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Chris Brown amemuomba msamaha Robert Glasper baada ya kumkashifu kufuatia kushindwa kwake katika uwaniaji wa Tuzo ya Grammy. Mwimbaji huyo wa "Under the Influence" ameweka picha Instagram ikiwa...
0 Reactions
1 Replies
981 Views
Nahisi ni mapigo ya huko bondeni
1 Reactions
4 Replies
763 Views
Sekta ya muziki duniani inajitayarisha kwaajili ya usiku mkubwa wa mwaka kupitia tuzo za 65 za Grammy. Huku wasanii wa Kiafrika wakipokea teuzi za kihistoria katika kategori tofauti mwaka huu...
0 Reactions
2 Replies
866 Views
MKAKATI WA KUELEKEA IKULU - 1 . IMEANDIKWA NA : HUSSEIN WAMAYYA ********************************************************************************* Simulizi : Mkakati Wa Kuelekea Ikulu Sehemu Ya...
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Back
Top Bottom