Huwa inanikumbusha mbali sana, kipindi twaandika mwaka katikati kuna double zero. Na cha ajabu sikua namjua msanii na bahati mbaya kumbe alisha fariki. This is not a beat this is memory.
Wakuu
Mtangazaji na mtu wa karibu na Diamond Platnumz, Baba Levo amesema Mbosso amepata baraka zote sasa ni ruksa kuondoka WCB Wasafi na hatolipa gharama yoyote kama ilivyokuwa kwa Harmonize...
WCB moja ya lebo zilizofanya vizuri na wanaendelea kufanya vizuri kwenye kiwanda cha muziki Tanzania na hata nje ya mipaka.
Ila hapa kati ni kama lebo ilianza kudorola haswa baada ya kuondoka...
The Lumineers You're All I Got Mp3 Download
American alt-folk band The Lumineers, consisting of Wesley Schultz (vocals/guitar) and Jeremiah Fraites (drums), released two new songs “You're All I...
Kuna channel mpya imeanza na tayari iko digital, inaitwa Sibuka TV. Kuna anayejua ni ya nani, au ndio ule utabiri ulioletwa humu kuwa mmoja wa mafisadi papa naye anaingia ulingoni kwenye media?
SURA YA KWANZA:
Ray Shaba alikuwa kwenye kikao ambacho mjumbe wake alikuwa ni yeye peke yake. Mikono yake ikiendelea kurusha ngumi kwenye begi la mchanga lililokuwa linaning’inia kwenye...
ZUWENA (Chaguo la wazazi)
SEHEMU YA: 01
MTUNZI: KHADIJA MWALAMI
WHATSAPP: 0676604830
KAWAIDA: 0783642467
ANZA NAYO........
SIMULIZI HII NI SH.1000 tu NICHEKI WHATSAPP KAMA UTAITAJI...
Siku zote changamoto ndio zinatufanya nini tuamue kwenye maisha yetu, kwenye maamuzi hayo tunatakiwa tuwe na umakini wa kutoathiri hisia za wengine. Binadamu tunakosea mno kuishi kwa kukariri...
SIMULIZI HII NI YA KUTUNGA HAIUSIANI NA MTU YOYOTE WALA KIKUNDI CHOCHOTE , MAENEO , OFISI NA MAJINA YALIONDANI YA HII SIMULIZI NI YA KUBUNI
ENJOY
SURA YA 01
Ilikuwa ni siku iliokuwa...
Bwana! Bwana! One time nilipokua in my early 20’s nilipitia changamoto moja hivi ya kikubwa, nilikua nimepanga chumba kimoja maeneo flan ivi Arusha mtaa mmoja ivi nyumba zimepangiliwa vizuri na...
TENJEE na ZINGOTA
(Sehemu ya 1)
MSITUNI KWA ZINGOTA**
Jengo la lililochakaa katikati ya msitu wa kale uliokauka.
Kulikuwa na wanawake wawili katika jengo hilo, mmoja ni binti mdogo na...
I died to save my president
Mtunzi Patrick Ck
Simu 0764294499
Season 1
Sehemu 1
Shughuli zote zilizopangwa kufanyika katika kikao cha bunge zilikamilika na kabla ya kusitisha shughuli za...
😶🌫️ - hii inapiga chabo kwa dirisha
😩 - Iko kwenye sexy vile inaona raha
🏃 - imetoka fumaniwa na mke/mume wa mtu
😂 - inachekea salio jipya kwa m-pesa
😭 - inalia vile inamdanganya mtu kwenye...
Spider man: Homecoming
>>>> Baada ya matukio ya kwenye Captain America: Civil War, Peter Parker anajaribu kubalance maisha yake ya shule kama mtu wa kawaida na maisha yake ya kupambana na viumbe...
Katika Maisha, kila mmoja anakuwa na ndoto kubwa yenye kumpa furaha Maishani mwake,hata wewe una ndoto ambayo siku moja ikitimia utakuwa ni mwenye kufurahi sana.Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa Robson...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.