Nawasalimu katika jina la Bwana,Muumba mbigu na nchi na vitu vyote vilivyomo,vinavoonekana na visivoonekana.
Ndugu zangu,ktk fumbo ambalo mwenyezi Mungu katuwekea basi ni usingizi,iwe tajir au...
Salamu kwenu nyote!
Naomba nisianzie miaka ya 1990, kipindi ambacho ntakuwa natoa historia ya kusimuliwa au kusoma tu. Naanzia kipindi ambacho nilikuwa na uelewa mzuri wa mambo kwa kiasi fulani...
Ukiisikiliza hii nyimbo ya Salio utagundua kuwa Marioo yuko vizuri sana katika uandishi wa nyimbo zake.
Salio ni nyimbo yenye mafunzo kwa mabarobaro waache kukimbizana na mikongo wakati mifuko...
Mficha uchi hazai/mificha maradhi kifo kitamuumbua na kuuliza siku zote sio ujinga.
Hii nyimbo Ina miaka kadhaa Sasa lakini Kila ninapo zungukia kwenye sherehe hasa kijijini haijarishi iwe Kwa...
NDOA YANGU
😭💔
Sehemu ya ( 01)
(Selemani Sele)
Niliwahi kuambiwa kwamba katika maisha kuna mtihani ambao unazawadiwa cheti halafu kisha mtihani unafuata,na mtihani wenyewe huo si mwingine bali ni...
Hi! once again fellas, mimi ndiye yule mwandishi wa simulizi za kijasusi kama ULIMWENGU WA WATU WABAYA, I WANT TO DIE JUDGE, GEREZA LA HAZWA, NYARAKA NAMBA 72, JIJI LA KAMARI, NAFSI ZILIZO...
JINSI MPIGA BAO (RAMLI) ALIVYOTIWA NGUVUNI
Kutoka kitabu Masimulizi ya Mtawa Maporini kitabu cha pili. Unaweza kisoma bure ndani ya app ya Maktaba Sauti. Ipo Playstore.
Siku moja Juma aliniomba...
SEHEMU YA 1
Danieli aliingia bila hodi,nyumbani kwa mpenzi wake alichokiona mbele ya macho yake aliamua kuyafumba, huku mwanaume aliyembele yake akiokota nguo zake kwa haraka zilizotapakaa...
Leo nimesikiliza nyimbo za Chameleon kama Jamila, Naumia, Shida za dunia na nyingine nyingi, nmegungua kua EastAfrica itaichukua muda mrefu Sana au isipate kabisa msanii aina ya josee, kutunga...
Mpo salama!
Huyu jamaa kwa mara ya Kwanza niliangalia picha yake ya Kwanza Miaka ya 2009/2010 huko katika Series Moja iitwayi IRIS. Hapo ndio mwanzo wa kuzipenda na kuanza kufuatilia baadhi ya...
SISTER P - ACHANA NAO.
Nafungua ubongo natoa fikra za utumwa kichwani/ kipawa cha toka Kwa mola na wala sija tumia ubani/ sister p kupata chart watu wanadhani langu utani/ Rap biashara bwana...
Hii simulizi, kwa namna moja au nyingine, ina link na simulizi yangu ya kwanza kabisa hapa jukwaani Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...
Maswali mengi ambayo hamkuyapatia majibu...
The Day of the Jackal
2024 ‧ Thriller ‧ 1 season
Muhtasari
Mshambulizi maarufu, Jackal, anapokuwa akitafuta kurudi kwa Nuria, anakuwa miongoni mwa wahalifu wanaotafutwa, huku Bianca akipewa fursa...
Katika dunia ya leo, vipindi vingi vya kisasa vinaanza kuingiza maudhui yanayoweza kupotosha maadili, hata kwenye burudani za watoto.
Ni jukumu letu kama wazazi na walezi kuchuja na kuhakikisha...
KITOTO CHA AFU MBILI
Mtunzi: Robert Heriel
#+255693322300
Age. 18+
EPISODE 01
"Unafikiria nini Mpenzi"
" Mmmh! Sio Jambo kubwa!"
" Upo mbali Sana. Kama sio...
Huu wimbo wa Mwanajua unapatikana Katika Album yake ya The Verteller, ndani ya huu wimbo kunamistali ambayo dizasta ananukiluliwa akisema
."walimwita mwanajua maana alijua yvote,,
hakwenda shule...
Filamu ya Like Stars on Earth ya mwaka 2007 ni moja ya kazi bora za sanaa zinazogusa kwa undani masuala ya malezi, elimu, na namna tunavyowahukumu watoto katika jamii ya kisasa. Imeongozwa na...
Niliwahi kuandika hapa: Yanayonikuta London (UK) mwaka mwishoni mwa 2023. Baada ya hapo niliamua kukaa kimya na kuendelea kupambana yanayonikabili.
Lakini mambo yameendelea kuwa mabaya kwa upende...
Wakuu
Kwa yeyote anayejua, naomba msaada jina la wimbo unaosikika kama background kwenye podcasts za "Salama Na".
Karibuni wakuu mwenye kufahamu wimbo huo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.