Mkurugenzi Mtendaji wa Recording Academy, Harvey Mason Jr. amesema kuwa Grammys walikuwa wanafikiria kuongeza kitengo cha tuzo kwa upnade wa Afrobeats. Akizungumza na waandishi wa habari nchini...
Kiufupi Joti amesema nyimbo zilizotesa sana B.Fleva Tanzania ni Kwangaru, Hakunaga, Starehe, Sinderela etc, bila mpangilio maalumu.
Ila kiukweli kabisa wimbo uliotamba Tanzania namba moja kabisa...
Sehemu ya 1.
Jakson Maiga.Koplo, kutoka kituo kikuu cha Polisi Arusha, alionekana na mawazo mengi kichwani kuhusu hatma ya maisha yake ya baadae, akiwa...
Ukizingumzia moja ya action kali kwa mwaka huu, basi hii ni moja wapo. Humo kuna wakali kama Brad pitt, Andrew Koji na mkongwe Hiroyuki Sanada [emoji91].
Kitu lipo chini ya Sony Picture...
Wakuu humu ndani hamna wapenzi wa BBN? Naona season hii kuna washiriki wazuri kweli na wameweka level mbili naona shindano la mwaka huu litanoga sana.
Mpaka sasa housemates wanao make headlines...
Kuna wimbo mmoja naupenda'ga' sana, sina uhakika kama unaujua, ngoja nikupe idea. [emoji362]
Jason Derulo aliwahi imba wimbo unaitwa "Fight for you", wimbo huu ulikua na Kiitikio kilichoimbwa...
Naimani ni wazima wa afya, kuna hili game linaitwa Dream League soccer. Ni game la online nani zuri sana ambapo mnaweza cheza kwa kupeana code, pia mnaweza tengeneza league ambayo mnaweza cheza...
Tupac Amaru Shakur, better known by his stage name 2Pac and later by his alias Makaveli, was an American rapper and actor. Considered one of the most influential rappers of all time, Shakur is...
Watu wanajua Lusaka hela kinoma!
Nimeisubiria kitambo sana hii muvi hatimae James Cameron kashafanya yake muvi iko tayari. Wameanza kuishoot toka Nov 27 2017
zote 2&3 kwa pamoja.
Avatar 2 itatoka...
Katika ujumbe wa video, alisema "alijawa na shukrani kwa ajili ya safari" lakini kwamba kulikuwa na "sehemu nyingine ya maisha yangu ambayo ninataka kuendelea kuifatilia".
Mchekeshaji huyo mwenye...
Habari zenu wana jamvi,nimekuja kwenu kwa wale wapenzi wa series za kikorea na zile za English nahitaji movie ONLY SERIES nina external ya ukubwa wa 1TB = 931GB nahitaji ijazwe Series,najua tabu...
Wadau kutokana na ugumu wa maisha tunahitaji Sana sehemu ya kupunguza msongo wa mawazo(stress)kupitia majukwaa mbalimbali, lakini hapa JamiiForums moja ya jukwaa nalolitegemea kupata taarifa...
Kwa wale wapenzi wa Movie, kuna huu mzigo wa Netflix, The Gray Man..., Yes, kuna possibilty watu wengi wamekwisha itazama.., Sadly imepata reviews mbovu sana from Rotten Tomatoes na Critics...
Waungwana nimeuona huu mjadala huko kwa kina Chioma, nimeufuatilia kwa karibu lakini bado sijajua ni yupi yupo juu ya mwenzake.
Kati ya Ronaldo na Beyonce ni nani maarufu na mwenye ushawishi...
HADITHI YA NJIA YA KUKAMATA MWIZI
ZAMANI za kale alikuwako mtu mmoja aliyekuwa na rasilmali yake, rupia elfu akazitia ndani ya mfuko akazifungia ndani ya sanduku lake. Hapana mtu aliyejua habari...
Salam wakuu,
Straight to the point. Nimekaa sehemu flani hapa wanapaita Bambalaga, Dj amegonga magoma ya amapiano hapa watu wote wamewehuka kwa vishindo vya magoma. S.A kiukweli wameweza...
Yote ni aina ya muziki wa kiafrika kutoka mitaani wanakoishi Waafrika wa hali ya kawaida.
Amapiano nasikia inatokea mitaa kama Soweto, Katlehong, Vosloorus ama Mamelodi huko Afrika Kusini.
Tena...
Ninaitwa Ellisha James kutoka Arusha tuliwahi kuunda kundi moja na Motra the future,Raff Emcee na Sight Moe lililoitwa KINGS- Kijenge,Ngalimi na Sekei
Hii hapa ni ngoma yangu mpya, inaitwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.