Nilikuwa nacheki bongo movie mchana wa leo kupitia azam 😁 dah ni fedheha sana, ni aibu mno, mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa ERTUGRUL na kwa sasa OSMAN, kwakweli waturuki wapo mbali sana, hii...
Yeroo subhai
Game ya watani wa jadi mwenyeji YANGA SC dhidi ya SIMBA FC naona muamuzi wa kati Ramadhani Kayoko anatembeza kadi za njano hatari,huu mchezo una msukumo mkubwa sana kwa wachezaji...
Yapata wiki mbili sasa toka kwa Rapa mkali hapa bongo Young Killer atoe albamu yake ya kwanza toka ameanza kuimba muziki. Nyimbo zote zinazopatikana kwenye albamu yake nimezisikiliza, kiukweli...
Kuna huyu mwamba raia wa Sweden anazitendea haki ngoma za asili hususani zile za kabila kubwa la nchi hii.
Huyu mswidish kabadili hadi jina lake la kiswidish anatumia jina la kisukuma ambalo ni...
Habari wakuu, mimi ni mpenzi wa nyimbo zote nzuri. Mwezi Septemba Barnaba na Marioo walitoa wimbo wao unaitwa "Marry Me".
Kwakweli ni wimbo mzuri sana. Unaweza kuusikiliza ukiwa sehemu yoyote na...
Mashabiki wa mtayarishaji wa muziki (Producer), mwenye uwezo wa kipekee, aliyetayarisha wimbo wa Leka Dutigite wa Kigoma All Stars na zingine nyingi, Tudd Thomas, wamekuwa wakiulizana maswali...
99.9% ya Nyimbo za Singeli zimejaa Maudhui ya Matusi tupu na nimeshangaa kuona Msanii wa Nyimbo za Singeli Sholo Mwamba akipewa nafasi ya Kutumbuiza katika Hafla za Rais Samia huku Matusi...
Filamu ya Kitanzania imeorodheshwa kuwania Tuzo hiyo, na hivyo kuhitimisha subra ya takriban miongo miwili kwa nchi hiyo kushiriki katika tuzo hiyo.
Filamu ya Vuta N'kuvute - inayomaanisha...
Kwa wale wa wapenzi wa aina hii ya muziki tukutane hapa.
Baadhi ya nyimbo ningependa usikilize pia;
1. Hollow Coves - coastline, these memories
2. Haevn - we are, the sea
3. Out of my hair - In...
Manara tokea ameingia Yanga hakuna alichoongeza wala kupunguza, zaidi zaidi amekuwa akipigwa mifiani na TFF pamoja na kula burn. Pesa za mshahara mnazomlipa bora mkazigawe kwa kina vigelegele...
Ndege ya shirika la ndege la Tanzania ilitua katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam ikitokea nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.Ndege ilisimama mlango ukafunguliwa na...
Na Bishop Hiluka
Yalikuwa yamemfika kooni baada ya kuitafuta haki yake kila mahali na kushindikana, akafikia uamuzi wa kuwaita wazazi wa pande zote mbili ili aweke wazi kuhusu msimamo wake juu ya...
GENGE
EP1
JULAI 15, 1991 DIAMOND JUBILEE
SAUTI KUBWA YA MUZIKI ilisikika kutoka katika ukumbi huo maarufu jijini Dar es salaam, katika kitongoji maarufu cha Upanga. Ni harusi ya kukata na...
Sikia hii!
UTANGULIZI
Huyu bibie ni classmate o level miaka hiyoo, nilianza kufahamiana naye kipind nipo 4m III darasa la science A.
Tulifahamiana ghafla tu mara tukawa marafiki wakubwa, huyu...
Mzuka wanajamvi?
Sina mengi ila nilitaka kushare haka kataarifa kafupi niliko nako kuhusu hii movie ya Action, Crime na Drama.
Kuna yule mtoto katika hii filamu anatumia jina la Vee ambaye mama...
Tukio la kutengeneza huu wimbo ni moja ya matukio adhimu sana kupata kutokea. Kuanzia utunzi,uimbaji na uchakati wa vyombo husika. Unanikumbusha ule wimbo wa kama Japenga.....nao ulikuwa mmoja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.