Tupeane series za kuangalia nzur pls za action/upepelezi/ugaidi
Naomba zinazofanania na hizi
Homeland
Prison break
Lastship
24
Naomba anayejua series zinazoelekea kma hizo pls nataka kuangalia...
Kwema wakuu,
Hii thread ni special kwa wale wana JF wenzangu wanaopenda movie mbali mbali za kizungu, kihindi na kichina. Lakini kwa bahati mbaya wamesahau majina ya movie husika, pamoja na wale...
Marioo achana na huu mpango wa kumshirikisha Mondi.
Huyu jamaa ukimshirikisha tuu umekwisha, ngoma itahit ndio lakini hautakuja utoe ngoma ingine ikafanya poa sokoni.
Ni wewe pekee kwa sasa...
Rappers that have been influenced by Tupac:
Kendrick Lamar
Dax
Eminem
Kanye West
Siddhu Musewala
Drake
Nas
J. Cole
50 Cent
DMX
Nipsey Hussle
Freddie
Gibbs
Polo G
Meek Mill
The Game and more...
Kituo cha Radio cha Nigeria Info 99.3 kimeripoti kwamba Polisi wa Lagos wamewakamata Wasaidizi wa kazi za nyumbani wa Msanii Davido na wanaendelea kuwahoji kufuatia kifo cha Mtoto wa Mwimbaji huyo...
kuna wimbo wa zamani umeimbwa na mwanamama akiimba '' sugar daddy sugar daddy...heri kufa masikini kuliko kusimangiwa heri kufa masikini kuliko kusimangiwa na walimwengu ee, tamaa iliuwa...
Habari wakuu,
Naomba kunanza na Track hii ya Fid Q ft Juma nature, SIRI YA MTUNGI.
Naandika mistari ya hii ngoma nitakapoishia atendelea mwingine hadi track kuisha, kisha mkuu mwingine anaweka...
Nimeangalia clip yake ya maigizo inayoitwa(kazi na ngono)katika igizo hili limeanza vema lakini ktk kumaliza nadhani lina utata. Joti aliigiza kama binti mwenye elimu ya digrii anayetafuta kazi...
Kitu kingine ukiachana na kuongea ukweli kuhusu wayahudi, Kanye amedai kuwa wasanii wengi walio Marekani ni waoga sana kiasi kwamba hawana sauti juu ya haya makampuni makubwa. Miaka miwili...
Hii tathmini nimeifanya kwa muda mrefu sana, takribani miaka 20 sasa. Nimejiridhisha kabisa baada ya miziki ya dini basi mziki unaofuata ni Hip Hop.
Hip Hop ni jina lenye maana kubwa, pana na...
Sehemu ya 1:
Nyasule Suleiman, mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari ya wasichana ya Jangwani, alimuaga mama yake aliekuwa kwenye genge lake la kuuza nyanya asubuhi hii ya...
Denis ni kijana mwerevu mwenye uwezo mkubwa wa kuamua na kutenda mambo mbali mbali kwa hali
ya juu sana. Ni kijana ambaye amelelewa na familia ya Mr John Kapinga waziri mkuu wa nchi ya
KONGOA...
Haueleweki hata uki-shine kwa punchlines on Facebook/
Haiwi-fine ka' Rayvan, we' fake tu/
Sikuoni B.E.T au MTV wak-play tunes/
Miaka nenda we' msanii, MC una play tu/
Makida, we' sio king kama...
Kwa sasa kuna Commedy huko Star Tv inajulikana kama Futuhi, kimsingi Futuhi ni neno la kiswahili linalomaanisha Commedy, yaani tamthiliya ya ucheshi, jamaa kipindi chao kinarushwa saa 3 Usiku...
Hii sasa imekuwa too much ingawa mimi sisaidii kulipa mishahara hao watangazaji wenu na mnatumia hayo matangazo labda kulipa hao watangazaji kiukweli vituo vya radio vya Tanzania vinakera sijajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.