A diss track or diss song is a song primarily intended to disparage or insult another person or group. While musical parodies and attacks have always existed, the trend became increasingly...
Kuna uzi ni sawa na Story ila visa na mikasa yake kulingana na vile ilivyo msomaji ndio anaweza tengeneza jina la kile kitakacho andikwa.......
Story isiyo na Jina
Ni miaka takribani 36...
SIMULIZI; TAHARURI
Imeandikwa na Halfani Sudy
Whatsapp; 0652212391
Hii ni Sehemu ya Kwanza
Kwa mara ya tatu sasa simu ya Catherine iliyokuwa imelala pweke juu ya kitanda chake ilikuwa inaita...
Kuna uzi ni sawa na Story ila visa na mikasa yake kulingana na vile ilivyo msomaji ndio anaweza tengeneza jina la kile kitakacho andikwa.......
Story isiyo na Jina
Ni miaka takribani 36...
Mwanaume mmoja alienda kukata miti kwa ajili ya mkaa, bahati mbaya panga likadondokea mtoni, akaanza kulia sana. Malaika akatokea na kumuuliza kwanini analia. Jamaa akajibu; “Panga langu...
Kwenye list yako ya filamu za kuziangalia hakikisha umeweka hizi hapa;
1. All That Breathes
2. Emily
3. Wendell & Wild
4. Black Adam
5. The Banshees of Inisherin
6. My Policeman
7...
Jamani wapi naweza kwenda penye band zinazopiga miziki ya zilipendwa hapa dar? Zamani sana nilikuwaga naenda Mawenzi garden tabata kulikuwa na band ya BANA MARQUIZ na sijui hata wao kwa sasa...
Wale Wapenzi wa Movie, "SLAY" aliyoshirikishwa msanii Mtanzania Idris Sultan (Mogul).
Inatarajiwa kuruka muda sio Mrefu.
Kwa Dar mzigo utaruka Pale Little Theatre Oysterbay kuanzia Saa Moja...
Hizi ni moja ya filamu zilizobamba mwaka huu
1. Silverton siege 2022 filamu imechezwa south africa moja wapigania uhuru wanaiteka bank kubwa ndani ya hiyo kuna mtoto wa kigogo mkubwa na ni...
Habari.
Nitakuja kueleza mkasa wangu ilikuaje mpaka nikaamua kuwa mdangaji na kujiuza hii ni stori ya kweli kabisa.
Kwa majina naitwa Chaupele, ni binti pekee katika familia ya watoto watatu na...
Mary Jane Blige is an American singer, songwriter, rapper, and actress. Often referred to as the "Queen of Hip-Hop Soul", Blige has won nine Grammy Awards, four American Music Awards, and ten...
Kuna nyimbo hazitakuja kupotea vizazi mpaka vizazi kwa sababu maDJ wanarithishana kadri miaka inavyokwenda mbele. Kuna nyimbo moja ya sebene au rumba ya congo nimeisahau inaitwaje lakini itakuwa...
Wadau wa nyimbo za zamani zile Kali Kali Naomba mniandikie hapa chini nataka kumchukilia mzee wangu Flash then nimuwekee nyimbo .
Pia na za ki-congo na hata za kizungu za miaka ya zamani zile nzuri.
Hadithi hii ni ya kweli Kuna vitu vingine siyo halisi imebidi niviweke ili kuleta radha pia mimi sio mwandishi ila nimeweka tu kwa lengo la kujifunza na kutoa mafunzo kwa jamii
ilikuwa siku ya...
Mzuka Wanajamvi!
Wimbo mzuri wa Riziki ulioimbwa na K Basil akimshirikisha Bizimana na mwanamama Stara Thomas. Huu wimbo ni special dedication kwa Shujaa wetu mpendwa ndugu Majaliwa Jackson...
The African Giant, Burna Boy ametangazwa Msanii Bora Afrika katika Tuzo za Muziki za MTV Ulaya (MTV Europe Music Awards – EMA) kwa mwaka 2022, na kuongeza unyoya mpya kwenye kofia yake kubwa...
Black Panther: Wakanda Forever.
Lipi linakujia kwenye fikra zako ukijaribu kuiwaza Afrika bila ya mipaka? Afrika ambayo haitafsiriwi tena na tukio la kihistoria lililotokea Berlin mnamo mwaka...
BEYOND PAIN
SEHEMU YA 1
MTUNZI : PATRICK .CK
Ni saa kumi jioni nikiwa maeneo ya Kimandolu nikielekea Usa river katika baa iliyotulia ya Roterdam garden mahala panapofanyika vikao vya harusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.