Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Best song Bad Bunny, Chencho Corleone – “Me Porto Bonito” Harry Styles – “As It Was” Jack Harlow – “First Class” Lizzo – “About Damn Time” MSHINDI: Nicki Minaj – “Super Freaky Girl” Rosalía –...
0 Reactions
4 Replies
910 Views
1 Reactions
1 Replies
329 Views
Top ten Bongo movie series of all time. Licha ya tasnia ya bongo movie kukubwa na changamoto nyingi kama ukosefu wa soko, badget ndogo ya kutengenezea film, Ukosefu wa watu wapambanaji na...
1 Reactions
3 Replies
815 Views
Kila mtu anajua leo hii kuwa Wasafi Tv na Wasafi FM ndiyo media ambayo zimepata nguvu ya kushabikiwa kwa muda mfupi na kupata watazamaji na wasikilizaji wengi. Huenda labda ushawishi huo umekuja...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Hawa viumbe kila mmoja alikuwa Bingwa kwa Ulingo wake, Mike tyson alisumbua ulingo wa boxing na kujizolea umaarufu kwa kushinda mechi 50 (KO 44). Bruce Lee alisumbua ulingo wa martial arts...
0 Reactions
41 Replies
3K Views
KIKOKOTOO David Ngocho Samson UTANGULIZI Hakuna aliyejua sababu ya madhila yaliyomkumba mstaafu, tena ambaye enzi za ujana na maisha yake ya Kazi, alikuwa mtu aliyekuwa na nafasi nzuri, na...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Angalizo: Nchi inayotajwa kama Nchi yetu, haina uhusiano wowote na nchi ya Tanzania. Sehemu ya Kwanza Komandoo Mako alikimbia akiwa kashika kidege kidogo kisichokuwa na rubani, baada ya umbali...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Matamasha makubwa ya wasanii tuliyokuwa tunayaona miaka ya nyuma kama Fiesta na mengine ya Vituo vya Redio naona yanazidi kupoteza mvuto, shida nini wadau? Matamasha haya mengi imekuwa kiingilio...
0 Reactions
13 Replies
952 Views
..Nyimbo zenyewe ni hizi hapa chini. Cc Mohamed Said, Kichuguu
1 Reactions
9 Replies
2K Views
SULUHU CONCERT 2022 Tamasha kubwa maalumu lililoandaliwa na Msanii Lady Jaydee suluhuconcert kufanyika Tarehe 12 November 2022 Hyatt Regency Dar es salaam. #NaSimamaNaMama
1 Reactions
9 Replies
681 Views
Msanii Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz ametangaza kuachia album yake leo Ijumaa Nov 4, 2022 ambapo katika kuizundua amesema Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ataongoza shughuli hiyo "Tuna-launch rasmi...
3 Reactions
6 Replies
806 Views
Mtunzi Juma Hiza Sehemu ya 01. Huu ni mkasa ambao sitoweza kuusahau katika maisha yangu mpaka siku nitakayokufa. Kwa jina naitwa Stella ni mtoto wa pili na mwisho kuzaliwa katika familia yetu...
12 Reactions
67 Replies
16K Views
HUYU NDIE MWANAUME[emoji67] 1. Anapenda maisha mazuri na anaamini kuyapata ni kufanyakazi kwa bidii 2. Anapenda mwanamke mwenye akili na utashi wa maisha ili amsaidie kutimiza ndoto zake na sio...
2 Reactions
4 Replies
6K Views
MFUASI 01 * * Usiku ni rafiki wa giza! Naam. Giza hupambwa na nyota! Ndivyo. Lakini usiku huu haupo hivyo! Giza limenuna hakuna pambo za nyota wala nuru ya mwezi. Wingu zito limeteka utawala wa...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
- "MY AMERICAN EXPERIENCE" kitabu changu kipya ambacho baadhi ya chapters zake zilisomwa sana humu JF, sasa kipo tayari kutakuwa na uzinduzi rasmi mwisho wa mwezi huu, na nitatangaza namna ya...
35 Reactions
172 Replies
17K Views
Wadau, hiv kuna mtu ana uzoef na M- KOPA(wakopeshaji wa TV) Wanaaminika??
0 Reactions
1 Replies
319 Views
Gwiji wa muziki wa Zaire hayati franco luambo makiadi aliwahi kuwa na mdogo wake wa kiume aliyeitwa Bavon Marie ambaye alikuwa mwanamuziki kama kaka yake,ila yeye anatajwa kuwa aliimba nyimbo za...
14 Reactions
93 Replies
17K Views
Habari kwa wakuu wote na wapenzi wa mziki wa reggae. Lengo la uzi huu ni kukutatisha nakukusanya nyimbo zote na vionjo ya mapigo/mdundo wa reggae. Hapa nitaanza kwa kuweka nyimbo...
2 Reactions
45 Replies
9K Views
Nikisikiliza vizuri kiitikio cha huu wimbo kama kuna wimbo unanijia akilini wa miaka ya kama 2005 au 2007 ila siukumbuki ni wimbo wa nani na unaitwaje,. Tena bila ya shaka utakuwa umefanana kila...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Bosi wa lebo ya Konde Music, Rajab Abdul ‘Harmonize’ leo Jumamosi Novemba 5, 2022 amethibitisha taarifa za kuachana na msanii wake Angelina Samson ‘Anjella’. Angela alitambulishwa kwenye lebo...
2 Reactions
3 Replies
966 Views
Back
Top Bottom