Niseme tu kwa upande wangu ile filamu ilikuwa bora sana. Waigizaje wake walivaaa uhusika vema pia director alijitahidi.
Ile kwa mm ndio project na tamthilia bora toka nchini kwetu. Huwezi...
Baada ya kufariki kwa kushtukiza kwa rapa namba mbili wa Wenge BCBG yake JB Mpiana aitwae Faustine Nzinga Yankobo (jina la Kimuziki CELLULAIRE) ilichukua muda mrefu kumpata mrithi wa kumsaidia...
Jamaa kaandika sana, ni kama kaandika kitabu cha kukufundisha njia za mafanikio. Jamaa ni MWAMBA KWELI.[emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487]
Ngoma yake ya Makasia ina vigezo vyote vya...
Nasikia Kiingilio ni Bure na Bia nazo ni bure kwa idadi uitakayo halafu Wanawake wote wanatakiwa Kuvaa Madela ila ndani wawe Watupu tu
Vile vile Watumbuizaji wakuu ni Christian Bella na Mboso na...
Habarini za saa hizi ndugu zangu!!
Natumai afya zenu ziko salama kabisa
Ngoja niende tu moja kwa moja kwenye mada husika.
Hili swali linanipaga utata kidogo maana naonaga tu akina fulani...
Kama hujui hip hop au Kama umeujua muziki baada ya Diamond au kama umejua muziki wa hip hop baada ya kumsikia Nikki mbishi au Songa basi naomba uachane na huu uzi Maana itakuwa hujui nyimbo...
Familia zinazotumia NETFLIX majumbani kuweni makini kwani propaganda za ushoga zimeshamili ili kuandaa watu kisaikolojia ususani watoto wetu.
Ushoga umeingizwa hadi kwenye cartoons za watoto...
Rapa huyo aliyebadili jina na kujiita 'Ye', ametangaza nia hiyo licha ya kufanya vibaya katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka wa 2020 aliopata Kura 60,000 kati ya Milioni 158.4 zilizopigwa.
Katika video...
imesisikitisha sana hii series maana niliingojea kwa hamu. Jamaa wamechukua story nzuri na kuiharibu kabisa. Uigizaji mbovu scenes nyingi za kitoto sana. pengine labda huko mbele itabadilika...
Nawasalimu Great Thinkers,
Kama kuna watu waliojaliwa vipaji na wamevitumia ni hawa jamaa wawili Diblo Dibala na Dally Kimoko, hawana utani wanapokamata mpini, mfano Diblo Dibala (Extra Boy)...
Nikiwa nasikiliza nyimbo hizi machozi hunitoka machoni, na kuona Dunia ni bure kabisa na ninahisi uwepo wa Mungu ndani yangu.
1. Matendo ya Mungu
Hii beti hii;
"Na kama Eliya upesi kabisa...
Nipe tano, salamu, gwara,.. wala si uhuni, peace and love kitu muhimu sana.
Huu Ni wimbo wa Daz Baba akitoka Kama msanii aliejitegemea akiwashirikisha kundi lake Daz Nundaz,
Ninavyokisakama...
HEKAHEKA - 1
Mtunzi: Japhet Nyang’oro
Phone: 0762204166
“Jacob, napenda kuolewa ila haiwezekani” Alisema ilhali mikono yake ikiwa bado inaminya minya misuli ya mwanaume huyu huku pia machozi...
Dedication kwa Walamba Asali !!!!
So much trouble in the world
So much trouble in the world
Bless my eyes this morning
Jah sun is on the rise once again
The way earthly thin's are goin'
Anything...
Leo nimeona niwakumbushe wale wakongwe wenzangu wa enzi za miaka ya 1980 ambapo kulikuwa na Bendi iliyojulikana kama DAR INTERNATIONAL aka Super Bomboka ambayo iliongoza na Marijani Shaaban...
Salaam wazee wa kambi.
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, japo nilikua mdogo ila baadhi ya maneno katika nyimbo hizo nayakumbuka.
1. Muongo mbeya anauaa
2. Nyumba ya jirani yetu inateketea...
Kampuni mitindo ya Balenciaga wamejiondoa kwenye mtandao wa Twitter ikiwa ni wiki chache tangu mtandao huo ununuliwe na billionea wa masuala ya teknolojia Elon Musk.
Balenciaga hawakuwa tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.