Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
APPLE-01 NA Tumain Ernest Stanslaus Test van pream(Tvp) Phone;0684024387 ‘’Narudia tena, siwezi kumuamini mwanamke yeyote hapa duniani hata siku moja , labda mama yang utu ambaye kidogo nayeye...
3 Reactions
30 Replies
7K Views
Nikki wa Pili kwa Mara ya kwanza aliingia studio na kufanya kolabo na Joh Makini mwenye wimbo wa Niaje Nivipi na nathubutu kusema sijawahi kusikia mashairi mazito na yenye ujumbe kama haya katika...
5 Reactions
45 Replies
6K Views
Kamwene wakuu. Wakati tukiwa tunaendelea na riwaya ya 'Mkono wa Chuma' iliyotungwa na Alex Kileo, kwa mara nyingine napenda kuwakaribisha tena katika riwaya nyingine ya kusisimua. Riwaya hii mpya...
16 Reactions
860 Replies
116K Views
Habarini wanajamvi: Hakika kwa mafanikio ya hii album ya RAYVANNY-SOUND FROM AFRICA na diliki kusema kuwa GRAMMY AWARD huu mwaka RAYVANNY atabeba kiuraini na pia kuchukua MTV MAMA Kama listener...
1 Reactions
56 Replies
6K Views
Huwa najiuliza hili swali mara kwa mara wakuu, leo lazima mnipe majibu mtake msitake. Hivi ni kwanini kwenye show za Michael Jackson watu walikua wanazimia. Katika nyimbo zote basi huu wimbo...
4 Reactions
34 Replies
5K Views
Sikiliza Video clip hii - hawa ni Orchestre Kiam wimbo unaitwa Moni. Sikiliza kutoka 6:40 hadi 7:50
0 Reactions
6 Replies
766 Views
Msanii wa Bongoflava bwana Naseeb Abdul alias Chibu ameachia nyimbo ya kumsifia mama Samia, isikilize hapa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] and give your review/critcs
6 Reactions
48 Replies
5K Views
Mtu anakwambia hilo no jina la kiislam,kikristo n.k Kuna majina ya Kiswahili, kingereza, kifaransa,kiebrania, kigogo, kipare, kimatumbi n.k Muhinu mpe jina mtoto lenye maana nzuri liwe la...
0 Reactions
10 Replies
786 Views
Wadau habari,kumejengeka utamaduni usiofaa wa kubeza,kukejeli na hata kutusi pale wawakilishi au muwakilishi wetu kwenye shindano au mashindano fulani anapo_fail. Binafsi sijui roho hii mbaya...
2 Reactions
1 Replies
468 Views
Msikilize huyu jamaa ana ujumbe kwako jioni hii ya leo
0 Reactions
0 Replies
571 Views
Wadau kama uzi unavyosema,Kila kitu ni fursa kama ukitaka kiwe fursa Hapa kuna burudan na fursa. Kwa maaan kama kutakuwa na kundi la watu weny uwezo wa kuview na kusubscribe basi itafikia hatua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The giant Julius mwenye urefu wa futi 7 na nchi 5 aliyezaliwa wilayani Chato miaka 26 iliyopita ametajwa kuwa ndiye binadamu mrefu zaidi nchini Tanzania kwa sasa. The giant Julius amesimulia...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Mimi ni mpenzi wa Muziki aina cha Chakacha , Leo nilikuwa natazama katika youtube nikapata vibao vifuatavyo . Tafadhali angalia hizo chakacha Spider – Ningejua Mzee Yusuf – Unanyodo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi ndo vipindi vikubwa vya burudani kwa sasa. XXL-Adam Mchomvu,KenedyTheRemedy,Meena Ally,MamyBaby.cloudsfm Empire-Bdozen,Jonijoo.Efm The switch-Lilommy,ray,amygal.Wasafi fm Kura yako...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Oohh..leo nimepata muda kidogo asubuhi hii. Nimeutumia muda wangu wa masaa mawili kutazama movie ya The Huricane iliyoigizwa na mwigizaji maarufu Denzel W..Hii ni movie ya maisha ya aliyekuwa...
2 Reactions
1 Replies
281 Views
Kabla mwaka haujaisha una list ngapi ya game nzuri za kwenye simu yako iwe Android au iOS , Kuna hili game linaitwa BUS SIMULTOR ULTIMATE limeletwa na kampuni ya ZUUKS GAME . Lina nafasi ya 600+MB...
3 Reactions
0 Replies
482 Views
Japo ziko black and white, kuna movies zina akili na waigizaji mahiri sana. jaribu udownload bluray na utafute subtitles kutoka subscene.com harafu uenjoy movie hizi kali. 1. Gone With The Wind...
14 Reactions
226 Replies
57K Views
#TBT Album gani ya Bongo hasa zile za kitambo ilikuwa kali kiasi cha kushindwa kuskip hata ngoma moja. Najua Album zilikuwa zimeenea sana.. Mimi Album ya A.K.A Mimi ya Albert Magwair kwangu...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Vita imana na 1 Kilo Google zinagoma ku download
1 Reactions
12 Replies
925 Views
Back
Top Bottom