Men, unaweza kumwambia mwanaume mwenzio "I Love You"?
Embu chukua simu yako nenda kwenye sehemu ya kuandika ujumbe mfupi mwandikie rafiki yako wa Kiume,
Anza na salamu, umwambie you Love him then...
Kwa heshima na taadhima namleta kwenu kijana wangu Imuh Zuzu na ngoma yake ya Endelea. Ni upcoming artist bado ana safari ndefu sana, hivyo nawaomba support ngoma yake hii kwa kuisikiliza tu na...
Are you ready to run the show?
You want this, don't front Que Que Que...
Speak up cual es la cosa...
Ven aqui let's get closer and closer...
Bite your lips cause you know that you feel it...
Ni kipindi kilichojaa ubunifu mkubwa na burudani za kutosha.
Ikiwa ni ep ya pili tu tayari The MVP lil ommy ameprove kwamba yeye ni king katika industry ya burudani akiwa sambamba na Ray Mshana na...
August Alsina kuacha kufanya muziki?
Staa wa Pop na Rnb kutoka Marekani @augustalsina Ametangaza kuwa kazi zake mpya zijazo ndio za mwisho kutoka kwake baada ya hapo ataacha kufanya muziki.
-
Ktk...
Mwimbaji wa Bongofleva toka WCB Wasafi, Rayvanny amemtambulisha msanii wa kwanza aliyesainiwa chini ya lebo yake ya Next Level Music (NLM), Mac Voice tangu kuanzishwa kwake Machi 2021.
Kabla ya...
Ukiangalia TV ya wasafi 95% ya vipindi vyao wamecopy na kupest kutoka EATV
Hata redio yao kwa kiasi kikubwa wamekopi earadio
Ukiondoa ile logo ya W ukawa unaangalia tv utajua unaangalia EATV...
Netflix imetangaza mpango wake wa kutoa huduma za kutazama filamu na series bure nchini Kenya 'Free Mobile Plan' katika harakati za kukamata soko la watumiaji wa internet zaidi ya milioni 20...
Habari zenu wakuu humu jamvini.
Nisiwachoshe wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada yangu.
Muda huu naandika uzi huu nipo hapa Forty Forty Tabata Bima, ila kiukweli watu tuliopo hapa ni wa...
Ndugu wana jamii nakuja kwenu kuwaomba kwa mwenye nyimbo za kundi la bongo fleva la hard blasters crew(HBC) lililokuwa linaundwa na Niger J,Fanani na Big Willy ambazo ni 1.Funga kazi
2.Tuko nyuma...
RIWAYA: BOMU
MWANDISHI: HALFANI SUDY
SIMU: 0652 212391
Sehemu ya Kwanza
DANIEL Mwaseba aliamka ghafla kutoka katika usingizi aliodumu nao kwa saa zisizozidi tatu. Alifumbua macho kwa haraka huku...
MJUE MBILIA BEL
Mbilia Bel (Mbilia Mboyo, Marie-Claire), Marie Claire Mbilia Mboy, maarufu kama Mbilia Bel alizaliwa jijini Kinshasa, tarehe 14 Agosti, 1959 au Januari 10, 1959 tatizo linakuja...
Kwa wale wapenzi wa series pitia hii link utapata series zote unazohitaji kwa kutumia simu yako ya mkononi tu.
KUMBUKA: Jambo la kuzingatia ni kwamba unapoingia kwenye web hii tumia operamini na...
Habari wakuu,
Nilikuwa na namba za wachambuzi wa muziki Kama Rajab Zomboko, Chacha Maginga lakini bahati mbaya nimefanya reset ya Simu sizioni Tena.
Naomba mwenye namba hizo na za wachambuzi...
Katika vipaji vikubwa katika bongo fleva bas ni pamoja na huyu dogo Marioo, kwa muda mrefu muziki wetu umekuwa ukienda kwa mihemko ya uteam na kufanya wasanii wakali wachukuliwe poa.
Ila safari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.