Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Hio video sio ya kukosa kuitazama wakina mama wamefurahi na me nimeipenda mitikasi Yao sichoki kui repeat..kwa nyuma naona banc ABC kwenye bango sa sijui walikuwa kitchen party au kwenye uzinduzi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Binti Christina ni afisa wa Benki bibi Ganush nyumba yake inatakiwa kuuzwa ameshindwa kulipa mkopo na ameshaongezwa muda mara mbili, Chritine ana uwezo wa kumuongeza muda bibi lakini hii ni...
1 Reactions
7 Replies
886 Views
Salaam wana Jamvi! Kuna speculations nyingi sasa kwamba, yapo mahusiano makubwa kati ya LOGO ya Big Brother Africa (BBA) na alama za Illuminati. Je kuna ukweli wowote katika hili? Ni nani...
0 Reactions
29 Replies
9K Views
chama la wana simba ni kiiiibokooooo siiimba ni nooma eeheeeee siiimba siiiimba aaaah aweweweeee walete waleteeeeeeeee Niki report toka kurasini bandarini ni mimi Nzagamba dume a.k.a MZEE TOZI...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadjda Binti wa miaka 10 anatamani sana baiskeli, wadjda hawezi kununuliwa baiskeli kwa vile jamii yake inakataza mwanamke kuendesha baiskeli, anaamua kujifua na kuingia kwenye mashindano ya...
1 Reactions
0 Replies
587 Views
Justin Bieber amepewa jina jipya 'Prince of Pop' baada ya muziki wake kupata wasikilizaji Milioni 83.3 ndani ya mwezi mmoja katika mtandao wa Spotify na kuweka rekodi mpya ya msanii aliyesikilizwa...
1 Reactions
0 Replies
665 Views
Habari wana jamvi...kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikitafuta full performance ya clip ya huu wimbo au hata original song lakini hadi sasa sijapata...naomba msaada niweze kufanikisha...I love the song
2 Reactions
4 Replies
887 Views
Naanza kuona haya mashindano ya Kili marathon kama yanaelekea kubaya sasa na sio tena base ya mataifa makubwa katika ukimbiaji kuja kupima wakimbiaji wake. Leo nmeona kitukokwa mmoja wa wakimbiaji...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
UTANGULIZI Hadithi hii ilipigwa chapa kwa lugha ya Kiingereza katika mwaka 1885. Katika mwaka 1905 Bwana H. Rider Haggard aliandika maneno haya: 'Sasa katika mwaka 1905 naweza kuzidisha maneno...
7 Reactions
80 Replies
18K Views
Samahani mwenye kufahamu jina la wimbo na mwimbaji wa huu wimbo anifahamishe, nilikusudia kupost jukwaa la dini ila silioni.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tayari movie ya FF9 imeachiwa clean version, wazee wa kudownload kazi kwenu! Kama ushaoiona njoo utupe maoni yako, tumepigwa au laa?
7 Reactions
75 Replies
7K Views
Kama wewe ni mpenzi wa animation basi hii series ya Marvel ya What If si yakukosa episode ya kwanza mambo yanabadilika Kwenye mashine ya kutengenezea superpower badala aingie steve anaingia agent...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani natafuta huu wimbo muda mrefu Bila mafanikio sijui jina lake staili ya uimbaji ni kama ya magic system au papa Wemba ile nyimbo kama sio mkongo aliyeimba Basi ni watu kutokana West Africa...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Jamaa nilimkubali kwenye ile Filamu ya train to bunsan Lakini nilikumbali kwenye out of laws 2017 Alivyocheza kama Polisi asiyeogopa chochote huyu mwamba anakono zito mzee kofi Alimpiga muuni...
3 Reactions
2 Replies
753 Views
Movie inaaction za kutosha wale wapenzi wa action Muje Huku kuna watalaam wakina Iko uwaisi Andre Koji Yule Alicheza character ya bruce lee kwenye series ya warrior Ah sahm na wengineo Story...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari nyote Ninaomba kufahamishwa uzi makini unaojadili tabia za wanyama na maumbile ya dunia na vilivyomo hapa JF. Mimi ninapenda hizi mambo. Hunitoi National Geographic TV, Discovery...
0 Reactions
0 Replies
612 Views
Movies zao karibia zote lazima ziwe na characters ambao ni gays. Nlikuwa nangalia Bridgerton, nmeangalia mpk episode ya 3 sijaona scenes zenye hyo mambo mpk nkajisemea wamejtahidi kweli 😂 Hee...
4 Reactions
58 Replies
6K Views
Wanajamvi Habari,unaweza usiungane na mimi ila ukweli utabaki kua ukweni,nia,lengo,utekelezaji na manufaa/faida ya shughuli ya Young Africans SC "Yanga" kuanzia kwenye wiki ya wananchi mpaka...
0 Reactions
1 Replies
527 Views
Back
Top Bottom