Na Smartdunia.
‘’FURAHA NILIYOKUA NAYO TANGU NIKIWA MDOGO,ILIANZA KUFIFIA’’,Jessica alisema huku akifuta machozi kisha akaendelea.
Nakumbuka siku ile, tarehe za mwanzoni mwa mwezi wa saba miaka...
Habarini wana jamvini?
Nilikuwa msomaji mzuri sana wa majarida ya mwezi kama Bongo, Sani na Tabasamu. Ndani ya haya majarida kulikuwa na riwaya nzuri sana za kusisimua kama MUSAKO WA HAYAWANI...
HII BEEF NI KAMA BEEF YA " THE GAME vs JADAKISS" beef ya the game na Jada ilisuburiwa kwa hamu sana lakini haikuwahi kutokea. Jada na Game wote ni lyricists wazuri...
Hii filamu ya F9 waliyoitoa naona ndiyo wameboronga zaidi kuliko, bora wangeishia 7 hizi kuendelea ni mbovu mno. Tunaelekea kuona action za wahindi ndani ya Hollywood, haiwezekani filamu gari...
Habari zenu wakubwa na wadogo zangu.
Naomba niende moja kwa moja kwenye swali/maswali..
Kisheria: Je mwanamke anaweza kuingia hatiani kwa kosa la kutoa mimba bila ya sababu ya...
Sasa BASATA mnafanya kazi nzuri kuzuia au kupunguza unyonyaji wa wasanii, Sasa Kuna inshu kubwa ya hao mnaowatetea pia hao ni wanyonyaji wakubwa Sana wa Maproducer, yaani producer wamebaki chawa...
Nimeona Ibra ametoa video ya wimbo Jipinde, YouTube masaa 16 yaliyopita views Mil 1 hadi sasa (Saa 5 mchana tar 19-08).
Hizo views Mil 1 vijana wa WCB Mbosso na Rayvanny wametumia week nzima...
NGUVU YA MUZIKI
Kila mikimtazama binti yangu Darina akijaribu kumumunya maneno na kucheza kwa hisia kila akiskia nyimbo anayoipenda ama kuifahamu kuipitia simu ya mama yake au radio au hata...
Habari wana burudani wa zilipendwa,
Kuna nyimbo mbili natafuta Audio zake au jina la wimbo
1. Hii nyimbo siijui "title" yake lakini inaimba:
" Kama wanipeenda, twende kwa baaba,
Akishakuonaa...
Nakwea Bila ngazi
Maskini huchechemea Bila vazi
Nchi wanaichezea kila dansi
Huku tukitizama wanavyojimegea ardhi
Wamezindikwa na mganga
Hii Siri Ni Kali nagubikwa na utata
Mtanza kajibanza chocho...
Nasikiliza kipindi cha Amplifier top10 countdown kinachorushwa hewani na redio ya watu Clouds FM na nimegundua kimepoteza kabisa taste yake, mvuto na burudani iliyokuwa inatolewa kipindi cha nyuma...
Lissa Lyrics by Rapcha
Tongwe Records baby Bin Laded
Saa sita mchana jua la utosi Chuo boom! limetema Nimekaa kiboss Ata presha ya msosi sina Somebody is calling… Oh kumbe Lissa Nimemsave Love...
Huyu mwana dada ananikosha sana kwa enzi zangu huyu ndo staring wa kike ninaye mkubali ni staring yupi unaye mkubali kpnd cha vhs Angalizo kwa wale vijana walozaliwa kipindi cha cd wasikoment...
War Horse 2011
Farasi wa Vita.
Hichi kisa cha War Horse
1912 Devon, England jamaa-Ted ananunua Farasi mnadani kwa mkwara anamu-outbid mwenye nyumba wake, watu wote wanamshangaa mbona Farasi sio...
Ee bwana unifadhili-by Aloyce Goden
Huu wimbo una fikirisha na kunibariki sana.
Hongereni sana wanakwaya wote mliohusika katika wimbo huu.
Kweli mliutendea haki, Mungu awabariki sana ni wimbo...
Katika mazingira ya kitanzania ni ngumu sana kukua kwa kufurahia maisha kwa kula unachokipenda kukaa sehemu nzuri; kuvaa vizuri; kukutana na watu smart yaani mtu mpaka anakuwa mtu mzima anakuwa na...
Kuna nyimbo ukiplay in an intimate setting zina amplify the mood mara dufu.
And one of the artists ambae anazipatia sana ni the weeknd.
Na one of the best song ni:
The Weeknd - Wicked Games
Kama ni mpenzi wa documentaries share nasi baadhi kati ya ulizoangalia. Itapendeza ukitueleza kidogo inahusu nini. Mimi naanza na darwins niightmares.
Hii imetengenezewa Mwanza Tanzania na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.