Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Kizimbani Sura ya 1: Kukamatwa - Mazungumzo na Bibi Gurubaki - Kisha Bi Basitena Lazima pana mtu aliyekuwa anatembeza maneno ya urongo kuhusu Josefu K., kwani mwenyewe alijua hakufanya kosa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Hili jambo sikuwa napenda sana kuwahadithia wadau. Lakini leo naona niwape kisa hiki kilichonipata miaka ya 2000s. Mimi nimekulia Sinza kivulini kwa miaka yangu yote na washkaji kibao ambao wengi...
25 Reactions
370 Replies
71K Views
Cha ajabu kwenye trending hayupo hata kumi bora
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Damn Nyimbo ya Diamondplatnumz ft Omarion African beauty [emoji91] Iseee ni nyimbo kali sana Unaweza kusahau shida zako zote za Duniani Mwana aliua sana utazani sio yeye aliyeimba #KAMATA [emoji3]
15 Reactions
40 Replies
4K Views
Mwak 2051 kinaibuka kiumbe hatari ambacho kinakaribia kumaliza binadamu wote. Wanatumwa watu kuja mwaka 2022 kuomba msaada wa kwenda mwaka 2051 kupambana na kiumbe hicho. Imenifurahisha, japo...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Napendaga kuangalia friday night live show inayorushwa na East Africa TV na East Africa Radio na host wa show ni Dullah Planet. Sasa kuna jamaa yake wanakuwaga wote kwenye show. Huyu jamaa nadhani...
4 Reactions
26 Replies
6K Views
Please follow me on Instagram account name mzee wembe comedian
1 Reactions
4 Replies
777 Views
Ulimwengu wa ajabu sana watu wanafanya maajabu pia ili kujipatia kipato, yawe ya kweli au ya uongo ilimradi tu wapate chochote mkononi kiende kinywani , sasa huyu jamaa nchi za wenzetu ameonesha...
2 Reactions
2 Replies
833 Views
INAPATIKANA: www.bongosimulizi.com Habari wanajukwaa najua ya kwamba kuna wakati ambao unataka kusoma simulizi unayoipenda lakini kutokana na kukosa mda unashindwa kukaa chini na kuisoma. Lakini...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mbona kwenye interviews nasikiaga YES, TO BE HONEST, nk, lakini sijawah sikia nyimbo kwa kizungu mwanzo mwisho.. Achana na zile wanataja vijimaneno viwili vitatu tu.
4 Reactions
51 Replies
7K Views
KIKI BILA KAZI NZURI NI ANGUKO LA MSANII Tarehe 27 December 1999, rapa Sean "Puffy" Combs maarufu pia kama P. Diddy alikamatwa kwa tuhuma za kupiga risasi ndani ya NightClub. Pamoja nae...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habar watanzania Leo Baada ya kuona Deal la Yanga na Azam ndio Nimegundua ni kwa kiasi Gan Moo anawaumiza wenye simba yao na Hakika huu ni utapel wa wazi wazi Yanga imeuza Haki ya Matangazo kwa...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
nimejiuliza kati ya hawa waigizaji weusi nani ni mkali zaidi sijapata jibu. we unaona nani mkali zaidi ya wenzake?
3 Reactions
139 Replies
17K Views
Mavi ya kale hayanuki. Hii ni simulizi nyingine ya kweli way back 2007 Mwananyamala.. Bado nilikuwa single hivyo naomba nisipigwe mawe na wale wanaharakati wa baki na mmoja Wanaopafahamu Royal...
33 Reactions
136 Replies
23K Views
Muziki wa dance uliwahi kutamba kwenye miaka ya 1990 hadi 2000, baada ya hapo muziki wa kizazi kipya uliingilia kati japo miaka ya hivi karibuni muziki huu umeishiwa pumzi mpaka unajikuta...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwanza nianze kwa Kusema hivi. Sijamfahamu kijana huyu kwa muda mrefu. Huenda nimesikia nyimbo zake nyingi ila sikujua kama ni yeye. Je! Ni lini ali breakthrough kwangu.., ni pale alipofanya...
6 Reactions
52 Replies
10K Views
Wakuu, Ushawahi kwenda Bar? Kuna Live band? Wale jamaa huwa wanapiga Nyimbo za Injili (Gospel) very touching! Achana na Gospel za Kwenye Makanisa ya Manabii! Gospel ya kwenye Bar ina upako very...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Wakuu msaada tafadhali. Kuna movie iitwayo If looks could kill ya mwaka 1991. Mwenye nayo tafadhali. Nimejaribu kui google inapatikana trailer tu. Mhusika mkuu anaitwa Michael Corben. Ni...
0 Reactions
3 Replies
875 Views
Back
Top Bottom