Mlio karibu na Sadala mshaurini kama upeo wake umefika mwisho kwenye kutunga mashairi atafute watu wenye idea mpya wamwandikie yeye abaki kuimba tu.
Msisahau jana King kaachia Good music akiwa...
Kwanza tujue miongoni mwa tuzo kubwa duniani kwenye muziki basi jua BET ipo ndani ya nafasi tatu bora, yaap! Ipo, kwa hiyo ukiona umechaguliwa kushindania kwenye hizo tuzo, ni heshima, haijalishi...
Kama mpenzi wa movie najua utakua umeangalia movie nying sana na kwa bahati mbaya nyingine ziliishia hapo hapo na nyingine zilipata mwendelezo sasa je tueleze ni...
Wapendwa habari ya mapumziko ya Ijumaa Kuu.
Napenda kuwashirikisha mzigo wa Movies za ukweli nilizo nazo ili ukipata muda hasa kipindi hiki cha mapumziko marefu uzitazame(sema ndio hivyo bando...
Jaman habarini ningependa kuuliza kama ambavyo tumezoea kila siku wasanii karibia kote duniani huimba nyimbo kwa ajili ya kuwasifu wakina mama. Je ningependa kuuliza kuna mtu ata mmoja anaujua...
Wise men say,
Only fools rush in,
But I can't help falling in love with you.
Shall I stay?
Would it be a sin,
If I can't help falling in love with you?
Msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya Harmonize, ametoa wimbo mpya unaoitwa Sandakalawe, wimbo huo unaonekana kukubalika na kupata views 100,000 ndani ya saa moja, hatua iliyomfanya Harmonize...
Nakumbuka 2007 kwenye gazeti la udaku la MAISHA nilikuwa nafuatilia sana ila sikuimalizia hadi mwisho.
Anaweza Ku share nasi jamani
Gazeti lilikuwa linatoka j5 kila week kama sikosei
BAO la jioni dakika ya 87 la Luis Miquissone dhidi ya Azam limeifanya Simba iwafuate watani zao Yanga kwenye fainali ya Kombe la Azam Sports Federation (ASFC) iliyopangwa kuchezwa mwezi Julai...
Habari wana Jamvi,
Kuna huu mwimbo wa "Alikiba X Rude Boy - Salute" ambao umeachiwa karibu saa moja iliopita na Alikiba mwenyewe kwenye page zake.
Baada ya kuufungua na kuusikiliza, nikajikuta...
Wadau,
Leo nimefanikiwa kununua Gitaa langu la kisasa kwa pesa yangu, nimefurahi sana! Nilianza kupiga Gitaa nikiwa darasa la tano shule ya msingi hadi leo nimeshamaliza chuo, nina familia...bado...
Kuna wimbo wa TOT wa kumuaga hayati Magufuli una kiitikio kinaimba,
"Mpendwa Rais John Pombe Magufuli kamwe hatutamuona tena"
Hayati mpendwa Magufuli
Kipindi chake duniani
Japo kilikua kifupi...
Habari wakuu,
Siku kadhaa zimepita tangu watu wanaojiita wanaharakati wa mitandao kuwaongoza wananchi kuandaa na kusaini petition yenye lengo la kumdisqualify Diamond platnumz kushiriki tuzo za...
Kuna nyimbo moja inapigwa kwenye mahafali sanasana ya vyuo kuna sauti ya mwanadada inasikika akiimba everyday we wanna cerebrate ohoo.. nimegoogle sana mpaka lakin wap msaada anayeifahamu.
Na...
USHINDI wa 4-1 waliopata Simba dhidi ya Mbeya City unawafanya klabu hiyo kuhitaji pointi nnetu ili wawe mabingwa wa Ligi Kuu Bara.
Mabao ya Rally Bwalya, Luis Miquissone, John Bocco na Clatous...
Filamu (movie)kali hasa kitalii kwa afrika inafanyika sana kenya na nchi zingine.
Kenya kupitia filamu nyingi location inakuwa kenya wanajitangaza kiutalii mfano endangered species unaona mlima...
Wakuu habari ya Jumapili?
Ningependa kuwapa pongezi wale walipata chochote kwenye teuzi za mama na ambao hatujapata kazi iendelee yote maisha. Msaana naomba uniwekee SERIES ZAKO KALI ZA KIVITA...
Nimeichek hii movie director ameeitendea movie toka kampuni ya disney
estella anazaliwa akiwa na nywele zenye rangi mbili yaani nyeusi na nyeupe miaka inasogea estella anakua anaanza shule ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.