MUUAJI MWENYE BARAKOA - 30
Sultan Uwezo
[emoji1241]+255 764 857 776(wsp)
Catherine akaona ashuke kwenye gari na kujificha ili ajue askari huyu anamfuatilia kwa lengo gani. Alifunga mlango baada...
MUUAJI MWENYE BARAKOA - 29
Sultan Uwezo
[emoji1241]+255
"Kwangu wewe ni sawa na Maadui wengine Catherine, kuna kitu ambacho ulikuwa hukijui bila shaka mama bibi yako hakuwahi kukueleza vizuri juu...
Sultan Uwezo
🇹🇿 +255
Mchungaji Rodney alisimamisha gari lake kando ya mto senegal na kisha akashuka chini taratibu akijikagua suruali yake ya kadeti ya kaki ambayo ilikuwa imechafuka sana...
Mi sio mchambuzi mzuri saaana wa hizi Bongo Fleva lakini naona Bwana Konde hapa kalazimisha tu. Angeacha tu Altitude ibaki vile vile.
Kamuimbia Mh S.H.S Rais wa JMT vizuri kwa kumpa sifa, moyo...
Kwa wale wapenzi wa burudani wafutiliaji mziki wa nje US na pande zingine duniani leo nataka kuwapa elimu hii.
Kuna watu wanafatilia sana mziki wa nje nazungumzia Us wengi humu tuna wasanii...
Leo kipindi cha Planet Bongo huku Dj Summer na yale manjonjo yake balaa tupu kule Dula Planet mwenye Bongo yake mara paap nikasikia goma la Rayvanny na Zuchu Number One limechezwa hewani...
Good Doctor
Native Title: 굿 닥터
Also Known As: Green Scalpel , Green Mass
Director: Kim Jin Woo, Ki Min Soo
Screenwriter: Park Jae Bum
Genres: Romance, Life, Drama, Medical
Country: South Korea...
Habari waungwana wa JF.
Nimekuwa mdau sana wa kucheki movie kwa mda mlefu tangu vidudu naweza sema hichi ndicho kilevi changu pendwa hasaaa.
Kuna movie moja yakizungu sikubahatika kuijua jina na...
CHOMBEZO:
PAULA MFARANSA MWENYE VISA
SEHEMU YA KWANZA
Mtunzi: Eng. Kimox Kimokole - 0786507507
Ni asubuhi njema sana yenye kajimvua ka kiaina kanakosababisha kuwepo na hali ya vuguvugu lenye...
Sehemu ya Kwanza
Nikiwa tayari nimekaa kwenye kiti changu ndani ya Basi, nasubiri muda ufike tuanze Safari kuelekea jijini Mwanza, tukitokea jiji la Dar es salaam.
Natazama nje ya Basi naona...
MAMA USINIFUNDISHE UCHAWI.
SEHEMU YA KWANZA
“Mkoani Morogoro, wilaya ya Mvomero, kata ya Kibaoni, na kijiji cha Maharaka. Anga yote ilikuwa imetanda kuashiria mvua saa yoyote...
Mangudu Digi...
Dark Master
Ngwair!
Cowboys in the House!
Maseeeela, {Maheeela}
Cowboys in the House!
Maseeeela, {Maheeela}
C'mon, Cowboys in the...
Maseeela!
Nipeni, nipeni dili masela,
Nipeni...
Wadau wa Via Via tumeanza kupata taabu baada ya club yetu pendwa kufungwa.
Kila siku ya Alhamisi tulikuwa hatukosi disco na kuvizia vimwana wa kizungu katika hali ya kushangaza majuzi Club...
1. Wakuu sharti ni ziwe mobile games. Unapotaja aina ya game jaribu kutoa na source ya kulipata au ulivyolipata aidha ni Playstore, Appstore au Kwenye Browsers.
2. Pia unaweza kuweka link...
Najua kuna watu wanapenda kutengeneza beat za muziki zenye viwango vya juu kwa kutumia FL Studio. Hunabudi kuzijua plugins zitakazokusaidia katika hilo.
Basi kama unataka kujua Plugins zenye...
Hatuhitaji wanasiasa katika michezo kama waleice karia tunahitaji mtu sahihi anaefahamu nini maana ya michezo atakae jengo msingi ya michezo kuanzia huku chini huko AFCON NA WORLD CUP tutafika tu...
NITAKUUA MWENYEWE - 01
Sultan Uwezo
Robinson aliamka asubuhi na mapema kuelekea shambani akiwaacha wazazi wake wakiwa bado wamelala, lengo likiwa kwenda kumalizia kieneo kidogo ambacho...
Maana sasa hivi hawa vijana wa Bongo Fleva wanaimba matusi matupu, hata aibu hawana madhara kwenye jamii yatazidi hasa kuporoma kwa maadili.
Big up kwa wasanii wa zamani Bob Rudala, Remmy Ongala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.