Leo ni miaka miwili tangu kutokea kwa kifo cha mmoja wa Wanamuziki bora zaidi kuwahi kutokea katika Bongo Fleva, Albert Mangwea.
Mengi yamezungumzwa kuhusu kifo chake, na hakika ameacha pengo...
Ikiwa ina kama 2 weeks since iwe released with 1+M views na no.37 on treding, ngoma hii ya lavalava so far ni moja ya ngoma zinazohit kwa sasa without a doubt. Kiukweli lavalava hua simuelewi sana...
Nampenda,Kumuheshimu na kumfurahia kazi zake kila siku mzee Cosmas Chidumule,mimi kwangu sauti yake ni sauti ya dhahabu,zaidi ya TID,Q chief, Linex na wengine wengi......
Kuna nyimbo zake nyingi...
Je, umepata nafasi ya kuskiliza? "cheketua ya Barnaba akimshirikisha Alikiba...?km bado hujachelewa ...ila naeza sema ni moja kati ya kati za bora za mziki kwa mwaka huu...melodies beats na kila...
Sept. 2017
Cosmas Thobias Chidumule alipotokea mpaka alipofikia na historia ya maana za nyimbo zake kama ''Barua toka kwa Mama'' n.k na safari zake sehemu mbalimbali za ulimwenguni na anabainisha...
Nmejaribu kuangalia ngoma moja ya Rayvany na mtu mzima Jux iliyotengenezwa na Hanscana. Baada ya hapo nika compare na video za Director Kenny...
Kwangu nmeona keny ni mkali wa video
Eb dondosha...
Mwandishi: Hans Christian Andersen, 1837
Kimetafsiriwa na Pictuss.
Email: pictuspublishers@gmail.com.
Pictuss2021.
Haki zote zimehifadhiwa. Hakuna sehemu yoyote ya tafsiri hii inayoweza...
Leo hii BET wametoa majina ya wasanii ambao wanaenda kuwania tuzo katika vipengele mbalimbali moja ya wasanii hao ni Diamond Platnumz ambae anaenda kupepelusha bendela ya Tanzania [emoji1241] na...
FILM: KITISHO
MTUNZI: Richard MWAMBE
1
Mbowe club saa 1:23 usiku
RADI kali ilipasua anga na kufanya mchoro wa kutisha, mwanga wake ulilipoteza giza kwa sekunde kadhaa, kila kilichojificha...
JINA: MAAMUZI MAGUMU
MTUNZI: CHIAMARO MOKIRI
HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA. NI MARUFUKU KUNAKILI AU KUSAMBAZA KAZI HII BILA RUHUSA YA MAANDISHI KUTOKA KWA MWANDISHI. HATUA ZA KISHERIA ZITACHUKULIWA...
Wakuu huu uzi ni pendekezo la wadau na wapenz wa bongo fleva. Hapa tutataja wimbo/nyimbo ya/za bongo fleva za zaman unayoikubali/unazozikubali na kuiapload aka kuiweka ili kila mdau atayevutiwa...
JMT
Wakuu nimetokea kuzipenda movie za magenious( i mean sterling ndo genious mwenyewe.) ni nzuri saana
Baadhi ya movie/series nilizoziangalia ni
1.SCORPION
2. YOUNG SHIELDON
nimetokea kuzikubali...
Habarini Wana Jamvi
Inatakiwa ifike sehemu watanzania na Wana JamiiForums celebrity waipe heshima kubwa sana WCB kwa kuendelea kutoa ALBUMS Kali na zenye viwango vya juu sana.
WCB ikiwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.