Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Sikujua kama series ya power waliamua kutoa Muendelezo wa Power kama series inayojitegemea lakini based on the same story. Jana nikakutana nayo mtandaoni nikaishusha, aisee ni bonge la kitu. Tariq...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
ANGALIZO kwa Msanii MARIO. MARIO: acha kutafsiri nyimbo zangu DON NALIMISON kwa Kiswahili, bunii vya kwako. Tikisa ume copy na ku paste wimbo wangu wa Congratulation ulioko You Tube tangu julai...
3 Reactions
25 Replies
5K Views
Hii ni series ya kizungu inayohusiana na baadhi ya polisi kupata hela za magendo tofauti na mshahara wanaolipwa kihalali na Serikali wanachokifanya wanaficha hela hizo magendo kwenye magodown na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndiyo nimemuona jana, nimecheka sana. Hii clip imenichekesha kichizi.
7 Reactions
40 Replies
10K Views
Ninamfahamu Lista kama mwanamuziki mkongwe wa Tanzania lakini hivi sasa anaishi Japan, anajihusisha pia katika shughuli za uandishi wa vitabu mbalimbali vya muziki. Ameeandika vitabu vinavyo husu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwanza naanza kwa kucheka zamani kuna gazeti lilikuwa linaitwa Sani lilikuwa kuna watu wanachorwa mle kama hadithi kupelekea mazingira kuona kama ni binadam kweli. Hivi kuna mtu ashawahi kuwaza...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Annex 3 LOST BOB MARLEY ALBUMS 1972-1980 Although it is an interesting field of study, how Bob Marley developed the songs while recording a couple of different demos with alternate vocals, there...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Heshima mbele wakuu. Kuna huu wimbo nilikuwa nikiusikia sana mwanzoni mwa miaka ya tisini. Chorus ya wimbo ilisema " Naona bora niende Zambia nikamtafute Monica, alinitoroka...
1 Reactions
25 Replies
18K Views
Mfano Sweete reggae --Busy signal-come over Hip hop--coolio-i see you when u get tgere Singeli---msaga sumu-mwanaume mashine Country-kenny rogers-gamble Rnb-chris brown-with you Morden...
2 Reactions
16 Replies
7K Views
SURA YA KWANZA Makaburi ya mashujaa wa vita vya dunia, Kijijini Mahiwa, Lindi. Kadamnasi ya watu walikuwa wamekusanyika wakiwa wamejikunyata vikundi vikundi. Nyuso zao zimegubikwa na majonzi na...
5 Reactions
184 Replies
35K Views
Tamthilia za kituruki tam bana na lazima ni kiri nme kua mtazamaji mzuri sana wa hizi tamthilia za kituruki tangu Azam waanzishe huu mradi wao. Kunazia kwenye Magnificent century(SULTAN) hadi...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Ukiachana donnie yen huyu max zhang namuelewa vibaya may be cause napenda ngumi mno ila ni moja wa actor wanafanya vizuri mchizi anaspidi anavyopigana anatulia anambwembwe tony jaa na mwezake wu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
A PLACE WITH NO NAME. (Sehemu isiyo na Jina) SEHEMU YA (1) Mtunzi........hemed mayugu UTANGULIZI. Ni Hadithi nzuri iliyoandikwa na Jumanne katika kitabu chake alichokitoa mwishoni mwa mwaka wa...
1 Reactions
31 Replies
8K Views
Wale wapenzi wa rock na sio geni kwenu maana kuna nyimbo zinaeleza kuabudu shetani,mpaka kujiua au kufanya lolote, tokea rock kuwa na wapenzi sana. Kwa nini rock imekuwa kama jicho la tatu au...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya maneno ya kiswahili yanaeleweka, lakini mengine ni mfanano na mengine ni kama kilugha, ni lugha ya wapi hii hapa bongo?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Sauti yake ni nzuri inafit vilivyo ndie mshiriki na mshindi wa BSS ninaemuelewa vilivyo kwa uwezo wake wa kuimba!. Sio kwamba wengine hawajui no,wanajua lakini huyu kwangu ndo best till now. BSS...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Leo ni fainali ya Bongo star search. Washiriki sita watachuana ili kupatikana mshindi. Washiriki hao ni: 1. Yusuph 2. Magaritha 3. Elisha 4. Petro 5. Neema 6. Zanael Je, unahisi nani atakuwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarini wandugu. Naomba msaada wa mtu kuniorodheshea zile nyimbo kalii zinazo Bamba clubs/sehemu zinazo amsha amsha ziwe za kibongo,afrika,au nchi yeyote ile.... Ahsanten, Karibuni Wana jf
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom