Namuangalia idris katika utengenezaji wa filamu bongo, tuseme wazi jamaa anakuja vizuri, kuanzia ubora wa kazi zake DANGA na leo kachia kazi nyingine NDOMU (nadhani ni promo ya condom mpya)...
Sehemu ya 1
Nilitoka kazini nikiwa nimechoka sana nikaamua kurudi nyumbani moja kwa moja tofauti na siku nyingine ambazo nilipitia hapa na pale nikiwa na lengo la kupoteza muda kabla sijarudi...
Asalaam aleykhum wanaJF,
Tuzo za Afrimma 2020 zinatarajiwa kufanyika mwaka huu, tayari wameshatoa majina ya nominees na vipengele vyote. Kitu pekee nilichokipenda ni jinsi ambavyo wamezigawa tuzo...
Mtoto wa Mwarabu mhamiaji aliyeitikisa Nchi kwa muziki
MOJA kati ya matukio ambayo wakazi wa Morogoro na Tanzania kwa ujumla hawatoyasahau ni kuondokewa na mwanamuziki bora sana kitaifa, Salum...
KINU CHA MAMA
Mussa N. Abubakari
UTANGULIZI.
Hii ni bunilizi tu. Usijaribu kugeuza maoni kuwa ukweli na kuharibu maisha ya watu.
ZINDUKO;
Moja ni jibu,
Ngono hutibu.
1. Romantic Star
Alishuka...
Kama nimkongwe fatilia biti alotumia Harmonize kwenye wimbo wake wa jeshi utasikia biti moja kali sana linasikika ambalo alishawahi kulitumia Chege na temba kwenye wimbo wao wa twenzetu kasoro ye...
Your can be a soldier without combat and army, be a soldier in your destiny, be a soldier to your carrier and have fun being a self soldier. Myself iam a soldier in my position as musician...
Wakuu wanaofahamu naomba kufahamishwa tafsiri ya wimbo KIJITI wa Marehemu Bi kidude. Baadhi ya maneno ni
"Tazameni tazameni alivyofanya kijiti, kumchukua mgeni kumchezesha foliti, kenda nae...
Leo Dunia inaadhimishwa Super Human Day ambayo ni siku maalum ya kuwatambua watu ambao ulemavu haujawazuia kufanya mambo makubwa kwenye jamii.
Embu Kama Mwana Jamii Forum Embu Mtaje Mtu Mwenye...
Aiseee kuna watu wanajua sanaa ila FIREBOY ni moja wa wasaniii wakali sana kwa sasa Nigeria huwezi ongea kuhusu mziki ukamuacha huyu mwambaa... Ametoa album mpya inaitwaa APOLLO baada ya LTG...
Mama Omary, mama aliyeishi maisha ya kifahari akiwa na mumewe miaka ya 1990s. Mume wake alikuwa anafanya kazi wizara ya Fedha miaka hiyo na bahati mbaya alipata ajali wakiwa kwenye shughuli za...
Janeth ni mwanamke mwenye urembo wa asili lakini alikuwa anapendwa kwa rangi yake yangozi na sura ndogo ya raundi, macho yake ya kurembua, sauti ya kubembeleza kama kinanda. Umbo lake simple na...
NIDA Wamesitisha Kutoa Copy za Vitambulisho Mtandaoni
44 minutes ago
[https://1]
Leo January 30, 2020 Nakusogezea hii taarifa mpya kutoka Mamlaka ya Vitambulisho Taifa NIDA ambapo wasitisha...
NJIA PANDA YA VWASU (Simulizi ya Huba)
DAVID NGOCHO SAMSON
0629077792
01
Naikumbuka vema ile siku. Alinipigia simu, nami nikaipokea kwa bashasha na furaha tele. Huyu alikuwa mpenzi wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.